DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ccm tutashinda tu, hayo mengine ni mbwembwe tuCcm ijiandae kukatwa mtama na watz Safari hii, Nani achague njaa 5 yrs again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm tutashinda tu, hayo mengine ni mbwembwe tuCcm ijiandae kukatwa mtama na watz Safari hii, Nani achague njaa 5 yrs again
Hakuna mtu Mwenye akili na aka Support CCMCCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Hata kwa wizi amtoboi Safari hiiCcm tutashinda tu, hayo mengine ni mbwembwe tu
Endelea kujidanganya, sisi tutamia nguvu zozote kulinda utawala wetu.Hata kwa wizi amtoboi Safari hii
Mafala fala wote kama Mbasha , mitama ni haki yaoWakuu,
Jana tumeona Mtangazaji Adam Mchomvu akimpiga buti Bwana Emmanuel Mbasha Jukwaani, kama vile haitoshi, Adam akamfuata Backstage na kutaka kuendelea kumpa kichapo.
Hii ni Baada ya Mbasha kumusema "Adam unajua wewe Banghe" sana Jukwaani.
Kitendo kile cha aibu na kihuni kimetokea kwenye tukio lilirotabiwana Chama cha Mapinduzi CCM
Sio Ustaarabu na wala sio Maadili ya ki Tanzania Mtu kumuita mwenzake Banghe Kwenye kadamnasi, yaani unamuita Mwenzako anatumia mihadarati, tunajua Banghe ni haramu kwa Sheria zetu,na iko kwenye category ya Madawa ya Kulevya.
Pia Kitendo cha Adam kumchapa Mbasha pia ni cha kihuni na ni jinai,japokuwa ni dhahiri alikuwa provoked na Mbasha.
Kama Wananchi wenyeMapenzi Mema na Taifa letu, Tunamtaka Msajili wa vyama vya Siasa kukiandikia Chama cha Mpinduzi Barua kuonesha na kukuchukulia hatua kali za Kinidhamu kwa tukio la Jana.
Tunajua ingekuwa ni CHADEMA tayari Msajili angeshatia neno
Mbona wote wanaitana mbasha nani Original apo sasa?Kavumilia nini mume mwenye utani na mcheshi? Na anayepigwa na kudhalilishwa hadharani lakini harudishi wala halipi kisasi? Kweli mke wa Mbasha alipata mume mvumilivu!
Alishindwa Gadaffi, Saddam, bashiru,Yahya Jameih,mobutu,Mugabe ndo nyie mtaweza?Endelea kujidanganya, sisi tutamia nguvu zozote kulinda utawala wetu.
Raia wa hayo mataifa sio legelege kama raia wa nchi yako.Alishindwa Gadaffi, Saddam, bashiru,Yahya Jameih,mobutu,Mugabe ndo nyie mtaweza?
Yule Ana damu ya kizalendo Lile tamasha Ni la kipuuziHuyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.
Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?
Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Yesu?Nakukubalia kabisaaa, mchomvu hata ukimsikiliza kwenye radio huwa anaongea matusi, Mimi mwenyewe niliwahi mkataza mume Wangu asisikilize kipindi chao kile na nikamwambia kuwa hao vijana hawajitambui wanavuta bangi hao maaana kile kipindi wanaongea tu matusi na huyo mchomvu ndio anaeongoza kuongea matusi, na hiyo inaonyesha kuwa ni mvuta bangi, na Kama sio mvuta bangi hangewexa kufanya kitendo Kama kile mbele Ya kamera, Wakati anajua fika kuwa TV hutazamwa na mamilioni Ya watu, Kakosea Sana mno Na kaharibu Kazi Ya watu, hivi hajui kuwa tamasha lilikuwa linaangaliwa na rais? A. K. A. Yesu? Hana akiri hata kidogo Yule mchomvu
Crap..Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaida
Unajua haya yote yanayotokea kwenye shughuli za CCM hayatokei kwa bahati mbaya, hapana.Ni mpango wa Mungu.Wakuu,
Jana tumeona Mtangazaji Adam Mchomvu akimpiga buti Bwana Emmanuel Mbasha Jukwaani, kama vile haitoshi, Adam akamfuata Backstage na kutaka kuendelea kumpa kichapo.
Hii ni Baada ya Mbasha kumusema "Adam unajua wewe Banghe" sana Jukwaani.
Kitendo kile cha aibu na kihuni kimetokea kwenye tukio lilirotabiwana Chama cha Mapinduzi CCM
Sio Ustaarabu na wala sio Maadili ya ki Tanzania Mtu kumuita mwenzake Banghe Kwenye kadamnasi, yaani unamuita Mwenzako anatumia mihadarati, tunajua Banghe ni haramu kwa Sheria zetu,na iko kwenye category ya Madawa ya Kulevya.
Pia Kitendo cha Adam kumchapa Mbasha pia ni cha kihuni na ni jinai,japokuwa ni dhahiri alikuwa provoked na Mbasha.
Kama Wananchi wenyeMapenzi Mema na Taifa letu, Tunamtaka Msajili wa vyama vya Siasa kukiandikia Chama cha Mpinduzi Barua kuonesha na kukuchukulia hatua kali za Kinidhamu kwa tukio la Jana.
Tunajua ingekuwa ni CHADEMA tayari Msajili angeshatia neno
MkuuHicho chama ni cha vurugu kinaeleweka kabisa.
Habari ambazo hazija dhibitishwa zinasema mwenyekigoda alikuwa anatazama kwenye TV tamasha zima na ndio maana alipiga simu.
Lakini Mchomvu alipo mweka chini Mbasha mwenyekigoda alisikika akisema "safi sana, kata mtama hiyo!"
Nachunguza ukweli wa hili tokea vyanzo vya ndani zaidi hasa toka kwa Jeska kujua nini sababu ashabikie mtama mzee wetu?
Mchomvu ana wazazi na watu wanaoheshimiana ambao hawaamini kama anavita bangi sasa kumwambia ivyo ni jau hata mimi nakukata.Yaani hapo inaonyesha kabisa alichosema ni kweli kabisa
I see...!!![emoji23][emoji23]ule mtama alochotwa ilikua zaidi ya tanganyika jerk
Nenda na wewe ukagegedwe upewe kazi..Lazima uwe na talent,then mengine ndo yanafuataClouds hawaangaliii wasomi wanaangalia wahuni, uhuni ndio kibali cha kuajiriwa clouds Au utoe hongo Ya ngono