Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Hakuna mtu Mwenye akili na aka Support CCM
 
Hicho chama ni cha vurugu kinaeleweka kabisa.
Habari ambazo hazija dhibitishwa zinasema mwenyekigoda alikuwa anatazama kwenye TV tamasha zima na ndio maana alipiga simu.
Lakini Mchomvu alipo mweka chini Mbasha mwenyekigoda alisikika akisema "safi sana, kata mtama hiyo!"
Nachunguza ukweli wa hili tokea vyanzo vya ndani zaidi hasa toka kwa Jeska kujua nini sababu ashabikie mtama mzee wetu?
 
Mafala fala wote kama Mbasha , mitama ni haki yao
 
Mtoa mada ndio unao uhuru wa kuwasilisha mawazo yako lakini kwa mawazo kama hayo uwe unajitafakari kwanza kabla ya kuyatoa
 
Kavumilia nini mume mwenye utani na mcheshi? Na anayepigwa na kudhalilishwa hadharani lakini harudishi wala halipi kisasi? Kweli mke wa Mbasha alipata mume mvumilivu!
Mbona wote wanaitana mbasha nani Original apo sasa?
 
Alishindwa Gadaffi, Saddam, bashiru,Yahya Jameih,mobutu,Mugabe ndo nyie mtaweza?
Raia wa hayo mataifa sio legelege kama raia wa nchi yako.
Pia level yao ya uelewa ni kubwa kuliko ya watanzania wenzako hapo Tanzania
 
Yule Ana damu ya kizalendo Lile tamasha Ni la kipuuzi
 
Yesu?

sawa tumeelewa Una mme
 
Crap..
 
Unajua haya yote yanayotokea kwenye shughuli za CCM hayatokei kwa bahati mbaya, hapana.Ni mpango wa Mungu.
Mungu Mkuu Ana makusudi maalumu,CCM wanamkufuru Sana ,hivyo anawafarakanisha,na ninaongea bila Shaka Mungu Sasa yupo na Chadema.
Yaani kila njama mbaya ikipangwa dhidi ya Chadema Mungu anaihamishia CCM.
Unaukumbuka kauli za Inelijensia imeonesha mikusanyiko ya chadaema kutatokea uvunjufu wa amani hivyo msikusanyike Airport kumpokea Lissu.
Watu walikusanyika na hakukua na vurugu zozote Tena bila ya Ulinzi wa mapolisi.
 
Mkuu
Naomba namba ya Jeska
 
Tuiangalie kwa namna nyingine.

Ingekuwa Chadema kwa ile nyomi tayari wangetangaza wameshashinda uchaguzi.

Na kelele humu zingekuwa nyingi saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…