Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Mbasha nasikia kapigwa ngwara hadi akaenda kuangukia Lumumba.

Utani na wavuta bangi we mtu wa gospel we ulisikia wapi? Mbasha jifunze kubalansi shobo shime wacuta bangi.
 
Mbasha ana bahati mbaya sana.
Kanyang'anywa mke na mkereketwa na mfurukutwa wa ccm ndani ya kanisa la ufufuo na sasa kalambwa mtama katika tamasha la kuikikisha ccm..
Na mamasukari wake alishaenda Mbinguni
 
Na wewe naye unazidi kha!
Usitaje bure jina la bwana Mungu wako.....
Sio kila mahala pa kuleta Ulokole.
 
ila mbasha amezingua


na kipigo lazzima kiendelee popote walipo wapuliza bhange

'you hit me... we hit you'
 
Mbasha kazingua kinyama nahisi alikuwa kalewa.
Adam nae kaharibu zaidi angemkaushia tu huyo kinega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…