Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mambo ya kifodo wewe, yaani mwana wa fasi ya Ara anafedheheshwa na yule kinabo halafu ale ganzi.Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo
Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Hahah naona mshaanza kujawa na wivu na kujifariji! Inawauma sana dah!.kwa taarifa yako tamasha lile 80% ni mamluki
Hawa vilaza wanadhani tuliokuja kwenye hili fiesta lao wote ni wanachama waokwa taarifa yako tamasha lile 80% ni mamluki
HahahahahahhahaHii dunia kila mtu ni kichaa,ila tunatofautiaba katika ku balance ukichaa wetu au sio bana🤣🤣🤣
Sasa utaendaje? Kwenye tamasha ambalo wewe c mwanachama wa ccm? Na nyimbo zinazoimbwa hapo za Kuisifia CCM. Mnajukuta mnajua kumbe hamjui!Hawa vilaza wanadhani tuliokuja kwenye hili fiesta lao wote ni wanachama wao
Na ukapata mpaka machale ya kurikodi. Ingekuwa si ajali sijui ingekuwaje? 😎😎Mkuu ilikua kama ajali kuwasha Tv wakati nabadili channel nikapokea simu nikawa nimestack ndo naona hilo tukio.
Lile teke kwa kustukizwa utatambaa tu bila kupenda..Mbasha mlaini kama mwanamke,kaenda chini mzimamzima