Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo

Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Acha mambo ya kifodo wewe, yaani mwana wa fasi ya Ara anafedheheshwa na yule kinabo halafu ale ganzi.

Dawa ya vinabo kama yule ni buti la jeje tu
 
Hii wiki Tamu sana
[emoji117]Barca kachezea 8
[emoji117]Huku Lissu anatema Sumu
[emoji117]Mkutano wa Lissu umepigwa mawe
[emoji117]Morrison kashinda dhidi ya mkataba wa kitapeli
[emoji117]Man city kachezea za chembe na kitoto
[emoji117]Adam mchomvu kamlamba ngwala E Mbasha jukwaani
[emoji117]Temba kawatolea uvivu policcm jukwaani.

Tuendelee kunawa mikono kwa sabuni.
 
Hakika ubaya haufichiki. Leo tamasha la "waigizaji" walio agizwa kuja uwanja wa taifa na Polepole na Rais kuwapigia simu kuwa yuko pembeni ya TV analishuhudia limedhibitisha yasemwayo kuwa CCM ni chama kipendacho fujo na ugomvi.
Tukio la kushangaza ni pale Mshereheshaji Adamu Mchomvu alipo amua kumkata mitama mwimbaji ajifanyaye wa Injili stajini hadi chali.
Hiyo haikutosha akamfuata back stage na kwenda kupambana naye bila aibu wala soni huku Polepole na maofisa wengine wa CCM wakishuhudia. Chama hiki ugomvi ni asili yake.





 
Mchomvu amezingua sana. Nakiomba chama changu Cha Mapinduzi kimshughulikie au laaa watanzania wapenda haki tumfungulie mashtaka kwa mujibu wa Sheria. Unamdhalilishaje mwanaume mwenzako vile? Au ndo kudhihirisha Bangi Bangi zake? Ameonyesha mfano mbaya ikizingatiwa kuwa tamasha hilo lilikuwa likifuatiliwa na watanzania wengi wakiwemo watoto.
Next time tutakuwa hatufuatilii matamasha ya CCM kwa sababu wahuni wameanza kuchukua nafasi.
 
Kama kawaida yenu !, Mmeamua kuchukua hako katukio kama habari kwenu !! Acheni kuweweseka !. Unafikili CCM kama vyama vyenu uchwara hivyo!.
 
Back
Top Bottom