Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Cdm ni taasisi siyo kama kundi lenu la kihuni ccm,Mwaka 3020? Wewe utakuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm ni taasisi siyo kama kundi lenu la kihuni ccm,Mwaka 3020? Wewe utakuwepo
Mmepanga kumfanyia ivyo?Jumatatu tu hapo. Mchomvu llazima akae benchi mwaka mzzima na faini miI mil5
mkusanyiko ULIDODA.Kama ni wale wapambe wa CCM sio mbaya hata wakiuana.
Mi sio Tcra. We unadhani ataachwa?Mmepanga kumfanyia ivyo?
Walizungumz jamb gn mkuu ambalo lmepelkea kufungw kwa kipnd?Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.
Mtama umerushwa hewani😀Mitama ya kwenye shuhuli za CCM inahusiana vipi na TCRA ?
Taasisi ya mbowe ?Cdm ni taasisi siyo kama kundi lenu la kihuni ccm,
Hamna ila yule ni mtangazaji wa CMG ni balozi wa CMG,chochote akifanyacho kita affect CMG +ve au -ve.Pale alikua kwenye kipindi gani cha redio?
Ya dengeruwaTaasisi ya mbowe ?
Hiyo ndiyo hali halisiPoor Lumumba .sio ajabu wanapiganaga mpk kwenye vikao vyao . spikq
Mitama imepigwa kwenye kipindi gani?Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.