Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Unamuongelea vipi mwenzio kidwanzi. Adam yupo sahihi. Kachimba msingi kisha kamchimbua kimo cha mchizi Mox. Safi sana!
 
Mbasha nae kajidhalilisha.anadai anaimba injili sasa kwanini alienda kwenye tamasha la muziki wa kidunia..mbona waimba injili wenzake hawakwenda...yule amejitakia mwenyewe
 
Itakuwa hamkubari halafu bado anasema amejua kwanini aliachwa na flora jamaa ni mdwanzi ila emmanuel nimemwonea huruma
 
Back
Top Bottom