Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Mitama imepigwa kwenye kipindi gani?
Kwani ni lazima iwe kwenye kipindi?Yule ni mtangazaji wa CMG,anabeba brand ya CMG,balozi wa CMG chochote akufanyacho nje au ndani kitaathiri CMG +ve or -ve na ndio maana yy mwishoni aliomba msamaha,show jana ni kubwa na ilikuwa inatizamwa na watu wengi hasa viongozi wa CCM.

So kwa kile alicho kifanya hata TCRA kuna siku wanaweza kufanya maamuzi kwa ku-refer tabia aliyo ionyesha jana.

AU WEWE UNAZANI AKIWA STUDIO ADAM,ILA NJE RAIA WA KAWAIDA?
 
Kwanza sio mara ya kwanza TCRA kufungia vipindi cmg

Pili tcra inafungia maudhui ya kipindi

Kuhusianisha hili na kufungiwa redio, umeamua kuchangamsha genge

Nendq fb au insta
Wewe vp kwa hiyo wewe kufungiwa kipindi unaona kawaida?

Najua nakukera sasa mimi humu JF nipo jana ,leo,kesho na nitaendelea kuwepo ,ww kama upendi unaweza ukani-IGNORE ruksa,kinyume chake ni SHOBO ZAKO MWENYEWE KUNIFUATILIA.

Mimi nimezungumzia angle nyingine,Mchomvu ni mtangazaji wa CMG,balozi wa CMG kila akifanyacho kina affect CMG +ve au -ve,event ya jana ilikuwa na ilikuwa ya watu wengi hasa viongozi wa nchi hata Mchomvu baadaye aliomba msamaha,sababu aligundua alichokifanya alikosea.

KIJANA JF BADO NIPO NA NITAENDELEA KUWEPO ,huna nafasi ya kunipangia platform ya kutumia kuchangia KWANI WE SO MKE WANGU wewe kama upendi pita kimya.
 
Kwani ni lazima iwe kwenye kipindi?Yule ni mtangazaji wa CMG,anabeba brand ya CMG,balozi wa CMG chochote akufanyacho nje au ndani kitaathiri CMG +ve or -ve na ndio maana yy mwishoni aliomba msamaha,show jana ni kubwa na ilikuwa inatizamwa na watu wengi hasa viongozi wa CCM.

So kwa kile alicho kifanya hata TCRA kuna siku wanaweza kufanya maamuzi kwa ku-refer tabia aliyo ionyesha jana.

AU WEWE UNAZANI AKIWA STUDIO ADAM,ILA NJE RAIA WA KAWAIDA?
Kijana pale yupo kama Adam na sio Clouds so unavyosema eti TCRA wataendelea kuwafungia clouds kipindi cha jahazi kwasababu ya mitama ya Adam aliyotembeza kwenye shuhuli za CCM unafeli.
Hebu amka unywe chai kwanza.
 
Wanamuziki wa congo wanalalamika kwamba wanashindwa kupata show ulaya na marekani sababu ya haya haya ya kuchanganya biashara na Siasa. Walikuwa wakimsapoti kabila kufanya udikteta wakipata show ulaya hazifanyiki sababu ya makombatanti yaani umoja wa wacongomani waishio ulaya na USA uwafanyia vurugu Hadi show zao hazifanyiki ni sababu ya haya haya ya Hawa mabongoflavor uangalia njaa ya Leo kwa kuharibu soko Lao la kesho. Hakuna msanii yeyeto aliyewahi tumika na ccm na akabaki salama kisanii. Wote ni lzm wafie njiani
 
Sij
Walizungumz jamb gn mkuu ambalo lmepelkea kufungw kwa kipnd?
Sijazungumzia mzangumzo ila kitendo alichokifanya,kipo kinyume kimaadili na ni cha kihuni kwa mtu wa hadhi kama yake,ndio mbasha kamkosea ila hakutakiwa kuonyesha ile tabia.

Kwani kwa wanayo yapitia CMG kwa kipindi cha Jahazi kufungiwa,kama labda CMG wakiomba msamaha,TCRA still wanaweza kutumia kitendo alichokionyesha jana kama sehemu ya kuwa bana CMG.
 
Kijana pale yupo kama Adam na sio Clouds so unavyosema eti TCRA wataendelea kuwafungia clouds kipindi cha jahazi kwasababu ya mitama ya Adam aliyotembeza kwenye shuhuli za CCM unafeli.
Hebu amka unywe chai kwanza.

Wewe unafeli kutaka kuleta usela kwenye kampuni za watu.

Sijui unafanya kazi kwenye kampuni gani,mimi kwenye kampuni yangu nifanyayo kwenye mkataba wangu,moja ya kipengele nilicho saini "lazima niwe na nidhamu nje na ndani ya kampuni sababu mimi ni mwakilishi wa kampuni sehemu yoyote ile".

Maanake unavyongea hivyo unaona CMG kama genge la wahuni mtu unajiamulia vyovyote ukiwa nje.

Ni kanywe chai kwani na kula kwenu?
 
Sij

Sijazungumzia mzangumzo ila kitendo alichokifanya,kipo kinyume kimaadili na ni cha kihuni kwa mtu wa hadhi kama yake,ndio mbasha kamkosea ila hakutakiwa kuonyesha ile tabia.

Kwani kwa wanayo yapitia CMG kwa kipindi cha Jahazi kufungiwa,kama labda CMG wakiomba msamaha,TCRA still wanaweza kutumia kitendo alichokionyesha jana kama sehemu ya kuwa bana CMG.
Hata Mimi nakuunga mkono, mbasha ndio alikosea Sana ila inawezekana mbasha alikosea kutokana na Uwezo wake wa kufikiri, huenda mbasha akiri ndogo ilimpelekea akatenda kosa pasipo kujua hivyo mchovu alitakiwa baada Ya pale ndio amuadhibu Nyuma Ya kamera, sasa akawa na kosa kubwa kumxid mbasha maaana yeye katenda akiwa amekusudia na akatenda mbele Ya kamera, kiujumla mchovu alitenda kosa zaid, hili litapelekea uhasama Kati ya clouds na Ccm, na Ccm inaweza kuitumia tcra kuiadhibu clouds kuwa inawaajiri watu ovyo, wavuta bangi na Kwa maaana nyingne mbasha na mchovu hawatashirikishwa Jambo lolote na Ccm na clouds bila Shaka itamtimua mchovu Kazi
 
Wanamuziki wa congo wanalalamika kwamba wanashindwa kupata show ulaya na marekani sababu ya haya haya ya kuchanganya biashara na Siasa. Walikuwa wakimsapoti kabila kufanya udikteta wakipata show ulaya hazifanyiki sababu ya makombatanti yaani umoja wa wacongomani waishio ulaya na USA uwafanyia vurugu Hadi show zao hazifanyiki ni sababu ya haya haya ya Hawa mabongoflavor uangalia njaa ya Leo kwa kuharibu soko Lao la kesho. Hakuna msanii yeyeto aliyewahi tumika na ccm na akabaki salama kisanii. Wote ni lzm wafie njiani
Hawa wasanii ni wa kuwasamehe tu,maisha yao wengi ni duni sana tofauti na tambo na mikogo yao kwenye social media na television.

Ni ngumu kwao kukataa hiyo chambo ya CCM ya siku chache ingawa wanajua baada ya hapo wana msoto wa miaka mitano mbele.

Wachache wanaojitambua huwezi waona wakijipendekeza,Nay huwa namkubali hapa tu.
 
Kuna watu wanaona hiki kitu kidogo sana,ila kina -ve effect kubwa sana kwa CMG na ndio tukio linalo trend kutokea jana mpaka leo.
Ni Sahihi, hili tamasha linaenda kuharibu kibarua cha mtu na hawa wamelifanya liitwe tamasha la wavuta bangi
 
Wewe unafeli kutaka kuleta usela kwenye kampuni za watu.

Sijui unafanya kazi kwenye kampuni gani,mimi kwenye kampuni yangu nifanyayo kwenye mkataba wangu,moja ya kipengele nilicho saini "lazima niwe na nidhamu nje na ndani ya kampuni sababu mimi ni mwakilishi wa kampuni sehemu yoyote ile".

Maanake unavyongea hivyo unaona CMG kama genge la wahuni mtu unajiamulia vyovyote ukiwa nje.

Ni kanywe chai kwani na kula kwenu?
Unafanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi eh ?
 
Nipo kwenye kampuni ya Mawasiliano na sometimes ni wapo kazini ninavaaga reflector na kofia zote zina jina la kampuni.

Au labda nyinyi kazi yenu ya ulinzi ndio haitaji maadili?
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
 
Hawa wasanii ni wa kuwasamehe tu,maisha yao wengi ni duni sana tofauti na tambo na mikogo yao kwenye social media na television.

Ni ngumu kwao kukataa hiyo chambo ya CCM ya siku chache ingawa wanajua baada ya hapo wana msoto wa miaka mitano mbele.

Wachache wanaojitambua huwezi waona wakijipendekeza,Nay huwa namkubali hapa tu.
Naona karibu wote walikaririshwa maneno ya kuimba, polepole asipotajirika kipindi hiki bahati haiji Mara mbili
 
Wahuni wote
 
Attachments

  • VID-20200815-WA0006.mp4
    2.7 MB
Back
Top Bottom