Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Alafu analazimisha kuwa mashabiki wanamtaka 🤣Huwaga ana kiherehere sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu analazimisha kuwa mashabiki wanamtaka 🤣Huwaga ana kiherehere sanaa
Alafu analazimisha kuwa mashabiki wanamtaka 🤣
Kwani ni lazima iwe kwenye kipindi?Yule ni mtangazaji wa CMG,anabeba brand ya CMG,balozi wa CMG chochote akufanyacho nje au ndani kitaathiri CMG +ve or -ve na ndio maana yy mwishoni aliomba msamaha,show jana ni kubwa na ilikuwa inatizamwa na watu wengi hasa viongozi wa CCM.Mitama imepigwa kwenye kipindi gani?
Wewe vp kwa hiyo wewe kufungiwa kipindi unaona kawaida?Kwanza sio mara ya kwanza TCRA kufungia vipindi cmg
Pili tcra inafungia maudhui ya kipindi
Kuhusianisha hili na kufungiwa redio, umeamua kuchangamsha genge
Nendq fb au insta
Kijana pale yupo kama Adam na sio Clouds so unavyosema eti TCRA wataendelea kuwafungia clouds kipindi cha jahazi kwasababu ya mitama ya Adam aliyotembeza kwenye shuhuli za CCM unafeli.Kwani ni lazima iwe kwenye kipindi?Yule ni mtangazaji wa CMG,anabeba brand ya CMG,balozi wa CMG chochote akufanyacho nje au ndani kitaathiri CMG +ve or -ve na ndio maana yy mwishoni aliomba msamaha,show jana ni kubwa na ilikuwa inatizamwa na watu wengi hasa viongozi wa CCM.
So kwa kile alicho kifanya hata TCRA kuna siku wanaweza kufanya maamuzi kwa ku-refer tabia aliyo ionyesha jana.
AU WEWE UNAZANI AKIWA STUDIO ADAM,ILA NJE RAIA WA KAWAIDA?
Sijazungumzia mzangumzo ila kitendo alichokifanya,kipo kinyume kimaadili na ni cha kihuni kwa mtu wa hadhi kama yake,ndio mbasha kamkosea ila hakutakiwa kuonyesha ile tabia.Walizungumz jamb gn mkuu ambalo lmepelkea kufungw kwa kipnd?
Kijana pale yupo kama Adam na sio Clouds so unavyosema eti TCRA wataendelea kuwafungia clouds kipindi cha jahazi kwasababu ya mitama ya Adam aliyotembeza kwenye shuhuli za CCM unafeli.
Hebu amka unywe chai kwanza.
Kuna watu wanaona hiki kitu kidogo sana,ila kina -ve effect kubwa sana kwa CMG na ndio tukio linalo trend kutokea jana mpaka leo.Jumatatu tu hapo. Mchomvu llazima akae benchi mwaka mzzima na faini miI mil5
Hata Mimi nakuunga mkono, mbasha ndio alikosea Sana ila inawezekana mbasha alikosea kutokana na Uwezo wake wa kufikiri, huenda mbasha akiri ndogo ilimpelekea akatenda kosa pasipo kujua hivyo mchovu alitakiwa baada Ya pale ndio amuadhibu Nyuma Ya kamera, sasa akawa na kosa kubwa kumxid mbasha maaana yeye katenda akiwa amekusudia na akatenda mbele Ya kamera, kiujumla mchovu alitenda kosa zaid, hili litapelekea uhasama Kati ya clouds na Ccm, na Ccm inaweza kuitumia tcra kuiadhibu clouds kuwa inawaajiri watu ovyo, wavuta bangi na Kwa maaana nyingne mbasha na mchovu hawatashirikishwa Jambo lolote na Ccm na clouds bila Shaka itamtimua mchovu KaziSij
Sijazungumzia mzangumzo ila kitendo alichokifanya,kipo kinyume kimaadili na ni cha kihuni kwa mtu wa hadhi kama yake,ndio mbasha kamkosea ila hakutakiwa kuonyesha ile tabia.
Kwani kwa wanayo yapitia CMG kwa kipindi cha Jahazi kufungiwa,kama labda CMG wakiomba msamaha,TCRA still wanaweza kutumia kitendo alichokionyesha jana kama sehemu ya kuwa bana CMG.
Kusimamia maadaili za vyombo vyote vya habari .Unajua kazi ya TCRA
Hawa wasanii ni wa kuwasamehe tu,maisha yao wengi ni duni sana tofauti na tambo na mikogo yao kwenye social media na television.Wanamuziki wa congo wanalalamika kwamba wanashindwa kupata show ulaya na marekani sababu ya haya haya ya kuchanganya biashara na Siasa. Walikuwa wakimsapoti kabila kufanya udikteta wakipata show ulaya hazifanyiki sababu ya makombatanti yaani umoja wa wacongomani waishio ulaya na USA uwafanyia vurugu Hadi show zao hazifanyiki ni sababu ya haya haya ya Hawa mabongoflavor uangalia njaa ya Leo kwa kuharibu soko Lao la kesho. Hakuna msanii yeyeto aliyewahi tumika na ccm na akabaki salama kisanii. Wote ni lzm wafie njiani
Ni Sahihi, hili tamasha linaenda kuharibu kibarua cha mtu na hawa wamelifanya liitwe tamasha la wavuta bangiKuna watu wanaona hiki kitu kidogo sana,ila kina -ve effect kubwa sana kwa CMG na ndio tukio linalo trend kutokea jana mpaka leo.
Unafanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi eh ?Wewe unafeli kutaka kuleta usela kwenye kampuni za watu.
Sijui unafanya kazi kwenye kampuni gani,mimi kwenye kampuni yangu nifanyayo kwenye mkataba wangu,moja ya kipengele nilicho saini "lazima niwe na nidhamu nje na ndani ya kampuni sababu mimi ni mwakilishi wa kampuni sehemu yoyote ile".
Maanake unavyongea hivyo unaona CMG kama genge la wahuni mtu unajiamulia vyovyote ukiwa nje.
Ni kanywe chai kwani na kula kwenu?
Nipo kwenye kampuni ya Mawasiliano na sometimes ni wapo kazini ninavaaga reflector na kofia zote zina jina la kampuni.Unafanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi eh ?
Okey soon utapandishwa cheo.Nipo kwenye kampuni ya Mawasiliano na sometimes ni wapo kazini ninavaaga reflector na kofia zote zina jina la kampuni.
Au labda nyinyi kazi yenu ya ulinzi ndio haitaji maadili?
Kabisa. Ni huge blowKuna watu wanaona hiki kitu kidogo sana,ila kina -ve effect kubwa sana kwa CMG na ndio tukio linalo trend kutokea jana mpaka leo.
Naona karibu wote walikaririshwa maneno ya kuimba, polepole asipotajirika kipindi hiki bahati haiji Mara mbiliHawa wasanii ni wa kuwasamehe tu,maisha yao wengi ni duni sana tofauti na tambo na mikogo yao kwenye social media na television.
Ni ngumu kwao kukataa hiyo chambo ya CCM ya siku chache ingawa wanajua baada ya hapo wana msoto wa miaka mitano mbele.
Wachache wanaojitambua huwezi waona wakijipendekeza,Nay huwa namkubali hapa tu.