Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Mi nawasikilizaga wambea wenzangu tu akina geah na heka heka, hao labda na millard akitangaza anaeleweka, hao wengine hat siwaelewi na swaga zao sijui dats what it is mmh mi yashanishindag
 
kama hawakuhusu ulipoona title ya thread usingefungua, otherwise we ni mmbea.
Huku mujini Dar kuna mtu hataki umbea huyo anataka details vizuri au jamaa anaka element cha Unaa mwache tuu.
 
sijawahi kusikia ugomvi wa vijana wa Dar usiokuwa na TUSI hata moja...ule wa Clouds wa jana ndio wa kwa kwanza, itakuwa wale vijana wa Clouds wanajishemu sana kwenye suala la kutumia lugha za MATUSI
 
Igizo lao lenyewe hata mtoto mchanga akilisikiza anaweza kuigiza poa kuliko wao sio kuhema na kupiga kelele kama wehu
 
sijawahi kusikia ugomvi wa vijana wa Dar usiokuwa na TUSI hata moja...ule wa Clouds wa jana ndio wa kwa kwanza, itakuwa wale vijana wa Clouds wanajishemu sana kwenye suala la kutumia lugha za MATUSI

Hilo hata mm nilijiuliza kwa kweli, ama vile walikuwa wanajua wako on air maana Adam lazima angespit shit.
 
Ngoja leo tusikilize "kwenye gaaaazeti la makorokocho leo....kuna boboboboboboboooonge moja la storiiiiii....nafungua gaaaazeti pyaaaaaaaa!"
 

Khaaa! Dada inakuaje? Ni lini nimeomba umodereta humu? Watu mnajiwazia mbali! Endelea kuwatumia wala sijakuzuia. Uwe na siku njema.
 
Mkuu mwache huyo akae na bichwa kama skype hapo, nimeku-pm namba yangu unirushie kwa whatsapp comrade.

Daaa! Wajumbe wa humu mna maneno! Yaani mnafoka kana kwamba nimemzuia asiwatumie? Pole aise nishamruhusu hapo juu na atakutumia wala usijali.
 
Hawa clouds cjui ndo kutokujielewa hata kama ni kiki sio kwa njia hyo wamefulia na wanajizalilisha kwa Watanzania aibu wajipange kisa redio imepungua wasikilizaji
 
Jamaaa anashangaza sana,,eti tukio halikuwa la kweli,,anamaanisha nn? anyway Clouds moja ya radio za kihuni sana nchini

huyo mwanamke anamgea kibangebange hv ana umr gan watoto wake wakikuta mama yao anaongea hovyo lazma na watoto watakuwa hovyo,na inaelekea amelelewa hovyo
 
Hebu waacheni wafu wazike wafu wao.
 
kitendo cha kuwazungumzia hapa tayari ushawapa kick na free promo, hata mimi niliyekuwa siwajui imenibidi nifungue hii thread niwajue ni kina nani hao! bora ungekaa kimya tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…