Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

adam amesema awezikuzungumza adimkewake amruhusu.kumbe ameoa!!ckujua bfo.

Haaa jamaa kaoa!! Kwani na watu wa namna hii hua nao wanaoa? Kuna mwingine taarifa zimeenea humu jf kua ataolewa na pedejhee hivi karibuni.
 
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"

NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.
LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.

So ieleweke halikua Tukio la kweli.

Niliposikia hizi habari kwa mara ya kwanza nilishtuka coz sikupata fursa ya lusikiliza redio hiyo jana, ila baada ya kusikiliza hiyo clip na kusikiliza mwenendo mzima wa watangazaji wa cloudz...

Mfano kwenye leo tena Gea na mwenzake waliliongelea na ndio niliposhtuka, na nadhani wengi pia watakuwa wameshtukia deal...na lengo zima la xxl na mbinu yao basi Gea ndio kashindwa kutengeneza sura lionekane halisi.

Ila ipo siku Adam atashikana shati na msanii/mgeni pale studio asipoacha uchokozi/kero zake zinazovuka mipaka sometimes.
 
Yanayoashiria tukio ni lakuigiza :-kuongelewa na Gea/leo tena confotably, kuletwa kwa clip ya audio (na tusishangae tukaambiwa ipo video au cctv ya tukio), ugomvi wa vijana usio na maneno makali, ie sipati picha ni kwa vipi Fetty aliye "loose it" asiseme Adam acha useng.e., wote wapo kwenye mfungo/mwezi mtukufu.
 
Hivi na wewe unaamini huu ni mwezi wa kufunga?
 
Hlo tukio n la kweli kabsa sema watu mmezaliwa kuwa na negatve minds skuzote,tuliopoa kwenye systm tunajua n kip knaendelea haya nyie pigen kelele tu hhuku

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hii itakiwa ishu kamaya kipindi kile tuu...hkuna cha ugovi wala nn....

Sent from my iPad
 
Ukiitaja radio inabidi useme ni ya nchi gani?????
Haya hiyo radio ni ya nchi gani?
 
nimesikiliza ile clip sidhani kama ilikua utani walipandishiana haswa

na kama ilikua wanaigiza how comes leo kina Raymond ndo watangaze.. halafu na Adam anavyopost huko insta
 
Nina miaka mitano sasa sisikilizi tena hiyo radio ya kipuuzi
 
nimesikiliza ile clip sidhani kama ilikua utani walipandishiana haswa

na kama ilikua wanaigiza how comes leo kina Raymond ndo watangaze.. halafu na Adam anavyopost huko insta

ni kweli kabisa ila wanazuga kama utani but its true!
 
wewe uliyeanzisha thread hii utakuwa ni madam mchovu au bibi 12. si mnayo website yenu pelekeni huko u.ji.nga wenu!
 
nimeanzisha thread mimi na mimi sio hao uliowataja,whats a big deal km ni ujinga unacheza ngoma ya nini,save your phone's charge by ignoring not by comment.
 
Back
Top Bottom