Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

nasikia leo hadi heka heka wamewahoji

Heka heka bado ni clouds fm so simply wanaendelea ku-create stunts tu ili kuongeza umaarafu haiwezekani wapigane huku wamesogelea mic maana sauti ziko clear vile na wamefanikiwa dzain maana kule IG wameongeza comments na followers haswaaa.
 
Ni mojawapo ya njia za kujipa umaarufu uliopotea
 
Sijui kama utapata jibu humu maana hakuna mwana JF anaesikiliza Clouds FM, anyway kama unafikiri natania subiri uone kama mada yako itapata wachangiaji zaidi ya watu kuulizana habari zao kama eg hivi Marekani na Ubelgiji walifungana ngapi ngapi
Aibu yako...si umeona watu walivyoichangia?mbona sometime watu mnakuwa ivi?ivi kama radio huipendi ni lazima kuichangia...nakwambia kwa tabia kama hii utasubiri sana wakati wenzako wanapaa!
 
Ah hawana sera hao wanawake wa XXL. Sikumbuki lini nimepoteza rasilimali zangu kuwasikiliza. ( I need a middle finger smiley for them) 😀😛:thumbdown:
 
nimeanzisha thread mimi na mimi sio hao uliowataja,whats a big deal km ni ujinga unacheza ngoma ya nini,save your phone's charge by ignoring not by comment.

safi sana...mana kuna watu humu kujifanya wenyewe ndo wenyewe! CLOUD JUU JUU ZAIDI!!
 
Heka heka bado ni clouds fm so simply wanaendelea ku-create stunts tu ili kuongeza umaarafu haiwezekani wapigane huku wamesogelea mic maana sauti ziko clear vile na wamefanikiwa dzain maana kule IG wameongeza comments na followers haswaaa.
Hapa ndipo unajua kuwa Clouds Fm hawako serious kabisa Yani watu wameharibu reputation ya company Alaf bado wanapewa promo....... Nilitegemea wange chukuliwa hatua za kinidhamu badala ya kuwapa air time.

Na kitendo cha Clouds Fm kusambaza hile clip kinaendelea Kunitia shaka kuwa ilikuwa ni serious fight!

Clouds Fm wanaendesha mambo ya kuhuni sana haingii akilini kuona watovu wa kinidhamu wanApewa air time kiasi hiki!
 
Utoto..kuna kitu kinauzwa hapo. Kaeni chonjo. Clouds ni zaidi ya wezi wa mifukoni.
 
Huyooo kaogopaaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Heka heka bado ni clouds fm so simply wanaendelea ku-create stunts tu ili kuongeza umaarafu haiwezekani wapigane huku wamesogelea mic maana sauti ziko clear vile na wamefanikiwa dzain maana kule IG wameongeza comments na followers haswaaa.

kwanini leo hawajatangaza watangaze kina Raymond ...??
watakua ni matahnani kama walikua wanafanya maigizo
 
kama hawakuhusu ulipoona title ya thread usingefungua, otherwise we ni mmbea.

We ndo mmbea kama ulikuwa wataka wasema unegepeleka maon yako kwenye box la maon kwenye ofis zai zlipo sio hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
kwanini leo hawajatangaza watangaze kina Raymond ...??
watakua ni matahnani kama walikua wanafanya maigizo

Leo kutangaza Raymond ni muendelezo wa series yao nadhani wapo epsode ya 2 unakumbuka walivyodanganya kua wamefukuzwa walikua hawatangazi pia.
Ngoja tuone mwisho wao.
 
Leo kutangaza Raymond ni muendelezo wa series yao nadhani wapo epsode ya 2 unakumbuka walivyodanganya kua wamefukuzwa walikua hawatangazi pia.
Ngoja tuone mwisho wao.

let us wait and see.....

nasubiri tamko la Ruge pia tuliambiwa leo
 
Mi nawasikilizaga wambea wenzangu tu akina geah na heka heka, hao labda na millard akitangaza anaeleweka, hao wengine hat siwaelewi na swaga zao sijui dats what it is mmh mi yashanishindag
dah kwa umbea wako nahis utakuwa umeshamwambukiza bwanaako
 
nimesikiliza ile clip sidhani kama ilikua utani walipandishiana haswa

na kama ilikua wanaigiza how comes leo kina Raymond ndo watangaze.. halafu na Adam anavyopost huko insta
Heaven on Earth wanaweza kuwa Sawa kabisa lakini kuisambaza na kuitangaza hile clip na kuendelea kuwapa air time kunatia shaka sana kwa kampuni inayolinda kweli reputation yake!

Tulitegemea hiyo clip Ingekuwa ni kwa matumizi Human resoure officer ili kuhakikisha wana chukua hatua za kinidhamu na si kuisambaza.

Na swala hili lisinge pewa muda wa hewani ili kulinda reputation ya kampuni au taasisi.
Hivi unategemea Haya kutoka IPP?

Clouds wanapaswa kujitazama upya.
 
Back
Top Bottom