McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
nasikia leo hadi heka heka wamewahoji
Aibu yako...si umeona watu walivyoichangia?mbona sometime watu mnakuwa ivi?ivi kama radio huipendi ni lazima kuichangia...nakwambia kwa tabia kama hii utasubiri sana wakati wenzako wanapaa!Sijui kama utapata jibu humu maana hakuna mwana JF anaesikiliza Clouds FM, anyway kama unafikiri natania subiri uone kama mada yako itapata wachangiaji zaidi ya watu kuulizana habari zao kama eg hivi Marekani na Ubelgiji walifungana ngapi ngapi
nimeanzisha thread mimi na mimi sio hao uliowataja,whats a big deal km ni ujinga unacheza ngoma ya nini,save your phone's charge by ignoring not by comment.
Hapa ndipo unajua kuwa Clouds Fm hawako serious kabisa Yani watu wameharibu reputation ya company Alaf bado wanapewa promo....... Nilitegemea wange chukuliwa hatua za kinidhamu badala ya kuwapa air time.Heka heka bado ni clouds fm so simply wanaendelea ku-create stunts tu ili kuongeza umaarafu haiwezekani wapigane huku wamesogelea mic maana sauti ziko clear vile na wamefanikiwa dzain maana kule IG wameongeza comments na followers haswaaa.
nasikia leo hadi heka heka wamewahoji
wamegombana ila asa hv wanataka kulizima kimtindo km wanigiza ila ni kweli ugomvi wanataka kuepuka kashfa
Heka heka bado ni clouds fm so simply wanaendelea ku-create stunts tu ili kuongeza umaarafu haiwezekani wapigane huku wamesogelea mic maana sauti ziko clear vile na wamefanikiwa dzain maana kule IG wameongeza comments na followers haswaaa.
kama hawakuhusu ulipoona title ya thread usingefungua, otherwise we ni mmbea.
mi sina io clip mwenye nayo anisaidie
kwanini leo hawajatangaza watangaze kina Raymond ...??
watakua ni matahnani kama walikua wanafanya maigizo
Leo kutangaza Raymond ni muendelezo wa series yao nadhani wapo epsode ya 2 unakumbuka walivyodanganya kua wamefukuzwa walikua hawatangazi pia.
Ngoja tuone mwisho wao.
dah kwa umbea wako nahis utakuwa umeshamwambukiza bwanaakoMi nawasikilizaga wambea wenzangu tu akina geah na heka heka, hao labda na millard akitangaza anaeleweka, hao wengine hat siwaelewi na swaga zao sijui dats what it is mmh mi yashanishindag
Heaven on Earth wanaweza kuwa Sawa kabisa lakini kuisambaza na kuitangaza hile clip na kuendelea kuwapa air time kunatia shaka sana kwa kampuni inayolinda kweli reputation yake!nimesikiliza ile clip sidhani kama ilikua utani walipandishiana haswa
na kama ilikua wanaigiza how comes leo kina Raymond ndo watangaze.. halafu na Adam anavyopost huko insta