Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

nimeanzisha thread mimi na mimi sio hao uliowataja,whats a big deal km ni ujinga unacheza ngoma ya nini,save your phone's charge by ignoring not by comment.

wewe utakuwa fetty bila shaka! si mnayo website yenu na fb account pelekeni huko ujinga wenu mnategemea JF! simu siji kwako kuchaji!
 
mkuu sidhan kama wataendelea kuwepo clouds hawa watu nadhan walio kuwa wanafuatilia kipind ndo wanaweza kujua hatma ya hawa vijana kurudi clouds sio rahisi tena kama wadau wengine wanavyofikiri!

kurudi watarudi sema wamefanya hili tukio wakati kikiwa ndo kipindi chao cha mwisho kabla hawajachukua likizo,all in all wanatafuta kiki ili wauze izo cd zao za fiesta ndo mjiandae kununua,wasinge igiza kugombana mngepata wapi wazo la kujua kama kuna cd znakuja.
 
The thing is hamna ugomvi pale...
Kinachofanywa pale ni kuvuta watu waisikilize hio redio ambayo kwa sasa imekamatwa makalio na 93.7 EFM

hio ni propaganda tu wameiandaa.
 
Ujinga wa clouds ni kuwafukuza fina na kipanya kwa issue serious na za faida na kuwa retain adam na fetty kwa upuuzi.. kweli huu ni mzigo sana kwa hii nchi
 
Ujinga wa clouds ni kuwafukuza fina na kipanya kwa issue serious na za faida na kuwa retain adam na fetty kwa upuuzi.. kweli huu ni mzigo sana kwa hii nchi

Hivi what was the issue kwa masoud kipanya na Mamaa FINA?
 
Hivi what was the issue kwa masoud kipanya na Mamaa FINA?

According to kipanya mitambo ilikuwa inazingua na walikuwa na interview na baloz wa marekan kamasikosei na hilo tatizo lilikuwa la mda mrefu na walishatoa taarifa lakini clouds wakazingua...

Siku ya ugeni wa balozi ikawakuta tena hiyo fedhea.. ile interview haikwenda vzur, wakamind na kuamua kugoma kwenda kipindi..

Next day wakatimuliwa bila kupewa warning letter na barua ya kujielezea.
 

Mambo ya lugemarila hayo duuu
 
Wakisema Tanzania ni nchi inayoongoza kuwa na watu wenye IQ ndogo mnasema wazungu wanatutukana.
 
cream katika darasa la mburulaz,upeo?? to hell creams
 

gerald hando msaliti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…