Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

B12, Mchomvu na Fetty in da hauz on XXL today...tega sikio kwenye segment yao ya 255 watazungumzia kilichotokea
 
mngeweza kuweka kwenye gazeti lenu la uhuru nadhani ingesomwa na watu wengi au website yenu ya ccm pia ingetosha tu!
 
Wanadai ilikuwa "staged"...waongo...wanafunika sababu wameambiwa wajieleze TCRA
 
Mimi nimesikiliza vizuri,
Eti zoezi halikuwa na uhalisia, lilitengenezwa kwa dhamira ya kuona kama ukipaza sauti utasikika kwa jamii, na kweli habari zilisambaa sana, na hivyo namna ile ile zile clip za ugomvi zilivyosambaa basi watanzania wapaze sauti kwa magnitude hiyo hiyo kwa jambo lolote la uvunjifu wa amani. Refer kampeni yao ya #Paza Sauti, Ukimya hausaidii, so eti wanasema wao ni jamii iliyodhamiria kudumisha amani ya Tanzania. So kwa chochote utakachokiona ambacho sio sawa basi Paza Sauti. Hawa watangazaji ni pasua kichwa kwa kweli.
 
toka hapo sisikilzi clouds na ndo nimeacha rasmi
 
Wanatuzuga tu.. ule mtiti ulikuwa serious. Kama ni kweli issue ilitengezwa tutasikia kama wataendelea kudiscuss mpango wao wa compilation album ya fiesta.
 
Unakuwaje mjanja wa town ka walikuchota kwa ishu ya kitoto namna hii na ukawaamini? Hivi ulishindwa hata kutambua yule aliyekuja kumaliza kipindi raymond sijui alikuwa anahema kwa kuigiza?
 
attachment.php
 
Mimi nimesikiliza vizuri,
Eti zoezi halikuwa na uhalisia, lilitengenezwa kwa dhamira ya kuona kama ukipaza sauti utasikika kwa jamii, na kweli habari zilisambaa sana, na hivyo namna ile ile zile clip za ugomvi zilivyosambaa basi watanzania wapaze sauti kwa magnitude hiyo hiyo kwa jambo lolote la uvunjifu wa amani. Refer kampeni yao ya #Paza Sauti, Ukimya hausaidii, so eti wanasema wao ni jamii iliyodhamiria kudumisha amani ya Tanzania. So kwa chochote utakachokiona ambacho sio sawa basi Paza Sauti. Hawa watangazaji ni pasua kichwa kwa kweli.

Clouds fm utoto umewaelemea kabisa.
Ukisikiliza hiyo clip utagundua ni maigizo na lengo halikuwa ni kuigiza bali kutafuta umaarufu zaidi.
Sasa kama ni kweli walikuwa wanaigiza mbona kuna sehemu nimesom kuwa Ruge alikuwa atoe tamko?tamko la nini wakati walipanga?
 
Unakuwaje mjanja wa town ka walikuchota kwa ishu ya kitoto namna hii na ukawaamini? Hivi ulishindwa hata kutambua yule aliyekuja kumaliza kipindi raymond sijui alikuwa anahema kwa kuigiza?
Aaah wapi.. imekuwaje jana hawakuhost show, ule mtiti ulikuwa serious. Wanapiga chini kiaina.
 
they were serious very serious me mtu akisema walikua wana create awareness I jus can't understand

Hii issue ilianza siku moja kabla wakati wanamhoji Ney wa Mitego alopodai kuwa nyumba yake ametumia 400m kununua akaivunja then akaihenga upya. Ktk mazungumzo Adam akauliza kwa maaana hiyo music unalipa kihivyo? Akajibu ndiyo lakini mimi nimeanza siku nyingi. Ndipo ilipoanza hiyo issue ya kutoa albamu ya Fiesta. Wakabishana kati ya Fetty na Adam kuhusu nani hasa anaitoa albamu ya Fiesta. That was a day before the saga!! Hata mimi am notconvincied kuwa they staged
If its true that they staged, then hawajui mipaka ya kazi yao. Very unprofessional...
 
Inasemekana walikuwa wana act kama vile wana ugomvi , media promo imefanya kaz.
 
Back
Top Bottom