Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Hizi ni pumbawakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu! Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Sasa wewe kwenye huo u.h.a.r.o wako ndio umechambua niniwalikuwa watt kibao tu sema vibabu mashekhe na mapdri wanatudanganya hawachambui vizuri
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Umejuaje kwamba hakunyonya.Au ww ndio wa pili!
Maandiko yanaeleza wazi kwamba baada ya Yehova kumaliza kazi ya uumbaji wa vitu vingine vyote, Alimuumba "Mtu" yaani "Adam" neno aedam au mtu siyo jina la specific person. Kwa hiyo obviously, kulikuwa na mtu wa kwanza tena alikuwa mwanaume tena hakuzaliwa akiwa katoto kachanga. bali aliumbwa wala hakunyonya maziwa maana hakuwa na mama.
Nimecheka mpaka basi.....duuuu hii kiboko!Yani mkishashiba lazma mnye popote si ndio?
hujaelewa nini hapo MTu wa kwanza sio adam au huelewi
Ondoa ujinga humu sio kijiwe cha watafuna bangi mbichi hiki; unaulizwa ulichochambua hapo ni kipi hadi kufikia conclusion? unasema wenzio hawachambui wewe umechambua nini? umemwaga tu pumba hata kiswahili hujui mara useme " ukweli huu" mara umekuwa "uongo huu" au ndio unataka na wewe uonekane mjanja wakati zezeta tuuuuu