Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 221
Kusema kweli bado inanishangaza na itaendelea kunishangaza kama hadi leoo hii tunapozungumza haya mambo ni mwaka 2016, mwezi wa tatu tarehe 6,eti bado kuna waafrika wanaamini hadithi za kwenye biblia kuwa Adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa?kweli hii minyororo ya utumwa iliyofungwa kwenye akili zetu ni mikali aiseee....khaaaa.....hivi waafrika ni lini mtaamka na kufunguka kwa akili zenu??
unajua nini watu wananitolea mapovu ila katika kuelimishana adam alikuwa ni mwa watu waliokuwa wakiishi baada ya mungu kuotesha viumbe dunianin
kwa mtazamo wangu jamaa alikuwa mteule katika wale watu wengi waliokuwepo pale katika lile eneo
Ukiwa mdadisi sana unaweza umiza kichwa, mfano, mwanzo alikuwapo Adam tu kisha akaja Hawa, wakazaa watoto 2 Abel na Cain, Abel akauliwa na Cain! Baada ya hapo Cain nae akapata watoto! Sasa KAMA HAKUMLALA mama yake, maana yake kulikuwa na mwanamke mwingine mbali na Hawa! Hivyo walikuwapo watu kabla ya hapo.
Mkuu kama unategemea watu wengine wasome waje wakuchambulie unavyotaka wewe pole sana,vitabu vipo soma mwenyewe.Uzembe wa watu kusoma neno la Mungu umewafanya wadanganywe na wamwache Mungu,kuna vita shetani hajalala.Kama unataka kuiponya nafsi yako jibidiishe kujifunza neno la Mungu,viongozi wapo kukuongoza lakini na wao ni wanadamu wanaweza kukosea sasa kama wewe hujui,hata wakikosea huwezi jua kama wamekosea.walikuwa watt kibao tu sema vibabu mashekhe na mapdri wanatudanganya hawachambui vizuri
Mkuu hats mm hii elimu na itaka sana. Niliwahi kuckia vtabu vya kiyahudi ndo vmemuelezea sana huyu mwanamke mwenye elimu hii atupatia zaid. NawasilishaAisee! kupitia wachangiaj wa mada hapa naanza kuunganisha vitu kuhusu habari za mwanamke "Lilith".
ambaye nmewahi sikia ni wife of satan pia huwakilishwa na alama ya bundi /owl.
sema nlikua cjui kuwa ndo alikua mke wa Adam before Eva. So it mean if it is real satan exist, kajimilikisha Lilith !!. tena ina maana Lilith hajafa had leo b'cause hakula tunda!?!
emu mwenye chanzo Cha habari za Lilith anipe b'cause Bible Haijaeleza. (sichagui nasoma elimu zote)
Mbona bibilia inasema hata we ni munguDah,
Issue za mungu bana ziko senstive sana aisee. ukifikiria sana waweza kujikuta unapotoka. Juzi kati hapa akatokea jamaa mmoja anaitwa LIKUD akadai yeye mwenyewe ni mungu, duh!!!!.
Wacha kunisingizia wewe, Mimi sijafikia bado level ya u-munguMbona bibilia inasema hata we ni mungu
Mkuu usijidharau,ni ii inasababisa setani anatesa watu kwa sababu wanadamu awajui wanauwezo mkubwa kiasi gani.Shetani anachofanya anawapa vitu vinavyoonekana kwa macho ya nyama kama majumba na magari kisa anawaibia vile vya thamani visivyoonekana kwa macho ya nyama.Biblia imesema sisi ni miungu,na kwani mkuu hujui kama Mungu ametuumba kwa mfano wake?Wacha kunisingizia wewe, Mimi sijafikia bado level ya u-mungu
Mkuu usijidharau,ni ii inasababisa setani anatesa watu kwa sababu wanadamu awajui wanauwezo mkubwa kiasi gani. Shetani anachofanya anawapa vitu vinavyoonekana kwa macho ya nyama kama majumba na magari kisa anawaibia vile vya thamani visivyoonekana kwa macho ya nyama. Biblia imesema sisi ni miungu, na kwani mkuu hujui kama Mungu ametuumba kwa mfano wake?
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!