Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Mkuu jiite nanga wa kwata ndiyo itapendeza zaidi.
 
Sawa kwa mbasha na kwa qchila je unatoa maoni gani
Ni walewale tu.
Q chilla alimwambia Adam, kwam mkewake(Mke wa Adam) anamlalamikia Q chilla kuwa Adam hamridhishi.

Sasa embu niambie huo utani gani hata kama niwewe.

Kipindi kinasikilizwa na mkeo mwenyewe, ndugu wa mkeo, ndugu zako, .
Mimi sijui mnachukuliaje mambo ya kuheshimiana.

Adam ana utani sana,, lakini utani wake ni wa kuchekesha tu. Sio utani wa hivyo wa kudhalilishana.

Bangi ni mbaya lakini isihusishwe moja kwa moja na vitu kama hivi ..!
 
Kuna interview DJ fetty alifanya na Salama, Fetty anasema Adam aliwahi kujamba studio makusudi ,sasa unaeza kuelewa jamaa ana akili gani
Hiyo ilikuwa kipindi Dj Fetty alipokuwa pale clouds fm kwenye kipindi cha xxl so far wakawa wanabishana ...Adamu akawa anasema Dj fetty kapumua lakn kumbe yeye ndo alipumua...duu mtoto wa watu aliumia sanaa kwa sababu walikuw live so ilikuwa mbilinge kweli.
 
Duuh hata ningekuwa mm ningemtwanga aisee
 

Nahisi Jamaa kama "Kalambishwa Mchanga" ,Jana alikuwa East Africa Radio akulizwa na Dulla mbona hausikiki hewani akajitetea kwamba yupo likizo na pia anasoma ila kwasisi tuliosoma "KYUBA" tushajua kwamba "TAYARI".
 
Mbona karudi kazini mkuu na clouds walimfanyia hadi birthday

Lini karudi? Interview kafanyiwa juzi na ameulizwa mbona hasikiki hewani ,akasema kwamba yupo likizo na anajiendeleza na masomo na pia anafanya mambo mengine.

Kufanyiwa birthday hakuna uhusiano na kurudi kazini ,akirudi kazini means atakuwa anasikikia hewani unless labda amehamia kitengo kingine ambacho sio cha kusikika hewani.
 
Nenda youtube sikiliza kipindi cha kuanzia Alhamis utampata. Hata siku anahojiwa na Dulla planet alikuwa amesharudi maama alipotoka pale ndo akaenda kwenye kipindi
 
Hiki ni kipindi cha jana ijumaa mkuu. Tusipende sana kuwaombea wenzetu hasa vijana wenzetu mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…