Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

Unapata shida sana kumuelewesha huyo
We naye unataka tujue tu kuwa umewahi kufika Ethiopia, sasa unatafuta support. Bora mwenzako ametoa hoja. Na wewe toa hoja yako
Elezea ubaya wa Ethiopia kujenga viwanda na kuongeza investment ni nini?
Nimekuuliza kwa hiyo kwa kuwa Ethiopia ni masikini basi wasijenge nchi yao, sio?
 
Haya njoo uje kuwasaidia basi we mpuuzi uliye na akili hapa iringa wanapodakwa kila kukicha
 


Sisi tunahangaika na matundu ya choo
 
Haya njoo uje kuwasaidia basi we mpuuzi uliye na akili hapa iringa wanapodakwa kila kukicha
Kwani nani kasema Ethiopians sio masikini?
Au labda nikuulize kwani unabisha nini, inawezekana tunapoteza muda kumbe tunaongelea vitu viwili tofauti
 
Jadilini huko kwenu, manakaa na mavi nyumbani na barabara zinatiririsha maji taka. Sasa mnatawaliwa kijeshi
 
Pamoja na Maendeleo makubwa waliyonayo.
Human exposure ni ndogo kulinganisha na nchi kama kenya au Tanzania.

Tanzania kwa exposure hasa kizazi cha vijana kiko juu mno. Wanakosa tu kiongozi wa kuwapush.
Ethiopia wana kází kubwa ya kufanya kwenye human capital
 
Hii ngoma ni mvurugano
 
Lakini Mbona Raia wao wanaikimbia Nchi yao mara kibao wanakamatwa hapo Mbeya
 
Capitalism system haip okwa ajiri ya mnyonge, PAMBANA.
 
We mjinga hauna unachoelewa ktk uchumi

Siwezi kuendelea kujadili na wewe
Samahani mimi sifahamu sana mambo ya uchumi lakini unaposema Serikali ya Ethiopia iwekeze kwenye maisha ya watu unaweza kutoa mifano ni vitu gani ifanye ili kufanikisha hayo unayosema wewe?
 
Lakini Mbona Raia wao wanaikimbia Nchi yao mara kibao wanakamatwa hapo Mbeya
Kwa sababu ya migogoro ya wenyewe kwa wenyewe, maisha magumu, mishahara midogo na uhaba wa ajira
Ndio maana sasahivi wanajenga nchi yao kwa kasi, wana utilize resources, GDP ipande, wapunguze dependency kutoka kwa mabeberu ili isaidie kusolve haya matatizo
 
Shukran sana kwa kunielewesha vizuri
 
NIMEISHI ADDIS , NIMESOMA ADDIS 2006 , NIMEKAA MTAA WA DIPLOMASIA NA NAIJUA ADDIS VIZURI . TRUST ME WAETHIOPIA NI MASKINI WA KUTUPA , NI HERI TANZANIA , WACHAFU SANA , MADEMU NI WAZURI NA HAWAOGI , WANAKULA NYAMA MBICHI. NA PIA MAENDELEO NI YA HAPO HAPO MJINI NA UCHUMI WA MUETHIOPIA WA KAWAIDA NI MBAYA. ETHIOPIA NI NCHI AMBAYO HAIKUTAWALIWA SO KILA KITU KIKO OWNED BY THE GVT. NILICHOKIPENDA NI KIMOJA TU , SERIKALI YAO WANABANA MATUMIZI SANA , KULE NI KAWAIDA NA KUONA VIONGOZI WOTE WAKUBWA WANATUMIA SUZUKI, HAHAHA I MEAN MAWAZIRI WANAPANDA SUZUKI. I MISS ADDIS , I MISS BOLE, NIMEMISS MITAA YA AU, UBALOZI WA TZ NA PIA MAMBO MENGI. CHAKULA CHAO CHA INJELAAAAAA ( NIMEIANDIKA KIBONGO )
 
Mbona Raia wao wanaikimbia nchi tunawakamata kwenye maroli?
Kwa sababu ya migogoro ya wenyewe kwa wenyewe, maisha magumu, mishahara midogo na uhaba wa ajira
Ndio maana sasahivi wanajenga nchi yao kwa kasi, wana utilize resources, GDP ipande, wapunguze dependency kutoka kwa mabeberu ili isaidie kusolve haya matatizo
 
Mara ya mwisho kuwa Addis ni lini. Maana according to the video maendeleo makubwa yameonekana in recent 6 to 7 years
 


Mimi napenda CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…