Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

Adela anajitafutia Promo JF. Very stupid
Hapana mkuu ,mimi ni Kibori Nangai namtafuta Adela ,na sina uhusiano wowote na yeye ,ninachojua ni mtumishi wa wasafi media basii

Najua Adela ni greater Thinker na ni mwaandishi wa habari soo jamiiforums hawezi kukosa
 
Adela Tilly wa WASAFI

Kama huko hukuu tafadhalii okoa moyo wangu unakufaaaa ganzii

Njoo DM najua uko hukuu

Sifa zako
1. Mcha Mungu tena unasali. KKKT kijitonyamaa.

2. Mzuri asee.

3. Unajielewaa sana.

4. Machaga

Njoo PM sasa hivi twende Moshi
Siku hizi mnajiandikia threads wenyewe , kanisani huko, mtaani , kazini kwako hakuna bwana mpka unakuja jf kujianzishia uzi ???
 
Back
Top Bottom