TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Namkumbuka miaka ya nyuma tulikutana sana buguruni sewa bar akiwa na kmpani zake..
Na akionekana dhoofu kitambo sana
Nadhani alikuwa anaishi yale maghorofa karibu na kituo cha daladala Rozana kuelekea Malapa
 
Hi Hii kali
 
Mwalimu mkuu mmoja ni shabiki mkubwa wa mpira akisimama msitarini asubuhi hadi kwanza ataniane na wanafunzi kuhusu mechi za jana.Shule yake daima ndiyo inayoshika mkia.Na askari anayeshinda kunywa pombe na wahalifu hawezi kumkamata jambazi.
Kisa cha Toyota Mark II Grand, mayai, TZP1660
 
Atazikwa na watu wa kutosha, kule kijijini kwao Ngonga mama yake ni mtu poa sana, anahudhuria misaba ya wengine hivyo wanyakyusa hawawezi kumtupa.
Uko sahihi mkuu yule mama yao Mbije hana makuu watu watakuwa wakumwaga msibani pale Ngonga mpakani na Isanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…