andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Zaidi ni bibi Makula (mama yao) ndiye mtu wa watu, anacheka na kila mtu, amesaidia wengi kwenye ajira kupitia watoto wake.Atazikwa na nyome ya watu maana mdogo wake Gen DAM ni mtu wa watu na anakubalika sana.