Aden Rage kumshauri Try Again na Mangungu kudai Tsh. Milioni 100 za bango la Yanga kuifunga Simba 5

Mwanasheria uchwara kwa hiyo hujaona biashara iliyotangazwa pale? Saifi Store hafanyi biashara?
 
huoni kama logo ya Simba ina rangi nyeupe hapo kwenye bango wametumia rangi nyekundu?
Kwenye sheria za copyright Copyright colour scheme

Ikiwa umecopy trademark logo ukatumia rangi za mwenzako ambazo zinajulikana au kuzoeleka katika bidhaa zake ili ni kosa tiari



Mfano Ukizungumzia tigo wantumia blue/ white the same kwa voda ni red/white hata bidhaa zao kama simcard,maduka n.k yana rangi hizi

Huwezi kuta voda Anatoa line za machungwa km za TTCL ..sababu watakuwa wanaharibu colour symbol ya trademark

The same kwa simba jina ni Lao kweli,Logo ni yako kweli na hata bidhaa zao kama jezi, page zao za kijamii wanatumia red na white.....


Kama yanga ilivyo kwao kwa yellow/green


la
 
Kweli Simba tumefungwa ila kwa hili la mabango Yanga wamejidhalilisha, wamedhihirisha udogo wao. Yanga wanahitaji viongozi wenye uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi.
 
Hizi tano zinawauma sana na bado kuna kubwa zaidi inakuja hiyo mtatupeleka mpaka FIFA.
 
Sio jukumu langu kueleza labda nenda Brella au hata yanga kaulize Kama logo yao imesajiliwa, pia nenda kajifunze kuhusu image right ukishaelewa hivyo vitu utapata jibu la swali lako.
Huna hoja! Hiyo image right unaielewa au kuna mtu anakusimulia?
 
Mambo mengine bwana ni utahaira tu, jambo Kama ilo Wala ahiitaji kutumia akili ya chuo kikuu, kwa wale mbumbumbu wanadhani wao walioliweka ilo bango awakujiridhisha kwanza Kama wamevunja Sheria ama lah?? Lazima wamejiridhisha na wanachokifanya ndio wakapandisha ILO bango sio watu wote ni mbumbumbu bwana!
 
Endeleen kuweweseka[emoji41][emoji41][emoji41]
 
S

Subiri uone! Watadaiwa zaidi ya m100! Nembo kutumika bila kibali ni kosa kubwa! Especialy ka,ma umeitumia kwa lengo la kuifedhehesha!! Ujinga ni mzigo mkubwa sana!!
Hivi mkuu, ukiangalia kwa makini bango ile ndiyo nembo ya Simba iliyosajiliwa?

Mkuu Mahakamani ukienda kichwa kichwa unakula 5 zingine ..

Mahakamani ni sehemu ya kwenda kwa utulivu bila hasira
 
Elezea ni biashara gani Yanga wanatangaza?
Anayetangaza biashara ni huyo "outdoor" mkuu ,anayeshitakiwa ndo huyo aliyepower hiyo bango na siyo Yanga.
 
Sawa mbona Simba nao wame post hayo matokeo kwenye page yao kukiwa na logo ya Yanga na wadhamini wa Simba?
 
Angalieni vizuri kama Logo ya Simba iko vile kabla hamjadhalilika.

Zile red and white kwenye Logo siyo nembo ya Simba ilivyo.

Walioandaa hilo bango wala hawajakurupuka.
Una kitu kichwani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…