kissambivi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 218 Reaction score 119 Sep 6, 2022 #61 Ukisema unamnyima mtoto kucheza basi mnyime na kula
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Sep 6, 2022 #62 Mchanya said: Kumbe tatizo ni wewe, you need to create time and commitment, kwanini hufanyi hivyo?, kumbe tatizo si watoto! Click to expand... Sina huo muda.
Mchanya said: Kumbe tatizo ni wewe, you need to create time and commitment, kwanini hufanyi hivyo?, kumbe tatizo si watoto! Click to expand... Sina huo muda.
Majs JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 232 Reaction score 516 Sep 6, 2022 #63 Mbali na adhabu ya viboko kwa watoto matumizi ya maneno magumu na machafu ni adhabu kubwa kuzidi hata ya viboko kwasababu yanaaathiri saikolojia ya mtoto tangu akiwa mdogo. Viboko vibaki ila viwe vichache t
Mbali na adhabu ya viboko kwa watoto matumizi ya maneno magumu na machafu ni adhabu kubwa kuzidi hata ya viboko kwasababu yanaaathiri saikolojia ya mtoto tangu akiwa mdogo. Viboko vibaki ila viwe vichache t