Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 601
- 672
Ukilenga shimo gogo linarusha maji yanakuloanisha. tatizo hiloMkuu unaonyesha huna shabaha ya kulenga tundu ya choo,,,
Wengi hujisaidia kwenye sink la choo halafu wanaflash baadae hapo ndy tatizo linapoanza,,kwn hata ukiflash harufu lazima ijae kote..
1..Lenga shimo
2..maji mengi.
3.tumia dawa ya kusafisha sink baada ya haja..
4..usivute sigara wakati wa kukata gogo,,kutakufanya upoteze muda mwingi bila kuflash na harufu kuanza kuenea ndani..
si ndio vizuri unatawadha kabisa?Ukilenga shimo gogo linarusha maji yanakuloanisha. tatizo hilo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilishaachana na huo upuuzi wa kulala na choo
Air refreshers zitakusaidiaMambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu
Yaah hii nayo inachangiaCorrect, hiyo shingo ya bata huitwa "P trap"
Mafundi uchwara mara nyingi hawaiweki hiyo either kwakukwepa gharama yakuinunua, au levels za kuiset ili iendane la level ya bomba linalopeleka huo uchafu kwenye shimo. Ni muhimu sana hiyo katika zoezi la uzuiaji wa harufu kurudi ndani
temboniKodi elfu50 self ni wapi mkuu?
Choo kinahitaji maji mengi lakini pasiwe na mabaki yoyote ya uchafu
Ukiweka ndogo au kubwa mwaga maji
Majohe unapata50k chumba cha master? Ni wapi huko?
Piga Simu FireNamie napata hii tabu.
Halafu demu wangu anakuja leo kulala. Sijui itakuaje