Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Kwa hapa Tz mtu kuwa na ndugu wa imani tofauti na yeye sidhani kama ni jambo la kushangaza hadi kuja kulizungumzia hapa,ila tatizo ni chuki zilizo mioyoni mwenu na kwa sababu humu Jf hatujuani basi ndiyo imekuwa pahala pa kuonesha hizo chuki.

Kwani hao wakina Mohamed said hawaoni wakristo jina humu? mbona yeye hajikukashifu ukristo kisa et kuna wakristo jina?

We ungekuwa mstaarabu na mwenye kupenda upendo hata usingekuja kutukana humu au unataka kusema unachokifanya humu ndiyo mafundisho ya Yesu yasemavyo?
 
YEHOVA sio Yehova,

YEHOVA ni mwenye kusamehe na kusahau 7×70, ilimradi mtu ametubu na kumaanisha kuacha uovu.

Ila hao wasiomwamini YEHOVA watamwombaje msamaha?
Kwani Huyo YEHOVA zifa zake ni zipi ?
 
Weyeeeee Ally kijana wa Bwn. Mudy, unajua kwanini Wanaume wa kiarabu hawana haja ya kukimbilia bikira ya mbele ya wachumba zao?

Ni kwasababu ya style hii iliyowafanya waumi'nin wengi kuanza kufukua wenzao kunako Clowaqa.
 

Attachments

  • 2017-01-22-13-35-03-1650490119.jpeg
    23.3 KB · Views: 67
Ukitaka wafuasi wa Mudy wakutolee mapovu mkashifu mtume wao
Walah Cha moto utakiona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ni huyo huyo mmoja tu? maana mara zote unamuweka huyo tu[/QUOTE]
Hapana....wapo 7 maarufu hadi wa South Africa

Unapenda niwaweke na wengine?
 
UTAITWA KAFIRI NA ADHABU YA KAFIRI NI KUONGENEZA CHEO... MREHEM........

What do I care? Yesu Christo Bwana wangu, aliambiwa na watu waovu kwamba yeye anatoa pepo kwa nguvu za Belzebuli, Belzebuli ambaye wao wanaye siku zote na hakuwahi kuwasaidia kutoa mapepo yao wenyewe.

Name calling ni tabia za shetani lakni hazibadilishi ukweli. Shetani kazi yake ni kuchinja kuiba na kuharibu ijapokuwa anatakaga aitwe malaika wa nuru kiasi hata cha kujigeuza na kujifananisha na malaika wa nuru lakini ukweli unabaki pale pale kwamba yeye ni shetnai.

Ukweli ndiyo huo haijalishi nani anasema nini lakini hii imani ni imani ya mashetani ambayo haina zaidi ya kuchinja, kuiba na kuharibu. Hakuna sehemu ilikokwenda pakawa na amani, uzima, kweli wala upendo. Ni mamwaga damu tu.
 
Hapana si mafundisho ya YESU KRISTO hata kidogo.

Jaribu kuangalia kuwa kama huwa ninaanza kuikashifu dini ya mtu pasipo yeye kuanza kuukashifu Ukristo.

Kuna mijadala mizuri ya mafundisho, kukosoana na kueleweshana watu wa dini tofauti na naipenda ila sasa yategemea na mihemko na uelewa wa mtu huyo.
 
Ukitaka wafuasi wa Mudy wakutolee mapovu mkashifu mtume wao
Walah Cha moto utakiona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapovu yanawatoka kila siku na mimi nasokomeza mapovu yao kwenye midomo yao mpaka waache upinga Kristo, lakini jamaa wabishi kama Muhammad wao mzee wa mashetani!
 
YEHOVA si wa kuelezewa sifa zake.

Allah ana sifa zipi?
Nilijua tu hutoweza kutaja sifa zake maana mnatumia tu hilo jina ila la YEHOVA ila mnayemkusudia ni mwengine kabisa mwenye sifa tofauti.Hahaha..
 
Shetani si asili yao malaika ama sivyo?
 
Tizama katika huu Uzi nani aliyeanza kuukashifu uislamu.

Na kama unajua unachokifanya humu ni kinyume na mafundisho ya Yesu sasa kwanini unaendelea kufanya?
 
Hapa kwetu Tanzania, na katika nchi nyinginezo adhabu ya kifo hutekelezwa. Katika shariah ya Kiislamu,adhabu ya kifo pia ipo. Tujadili kwa hoja, kuna tatizo lipi hasa? Kuuawa hadharani au kwa kuwa adhabu hiyo imetolewa katika nchi yenye Waislamu wengi?
 
Na ndio lengo la makala kukuogofya kipropaganda.
Hv kuna ndugu au mtu yoyote ulowahi kuskia kachinjwa alipoenda kuhiji..?
Tuwe makini na makala za mafasiq.
 
DUNIA HII HAKUNA MKAMIRIFUU SASA WEWE UNAYE KATA KICHWA CHA BINADAMU ..ETI KISA AMETENDA ZAMBI....ZAMBI ZENYEWE SASA NI MAMBO YA KIPUUZI TYUU.....JE WEWE HUJAWAI TENDA DHAMBI !????? NA KWA KADRI DUNIA INAVYOENDA UARABUNI MASHOGA WATAZIDI ONGEZEKA KILA SIKU.
 
Shetani si asili yao malaika ama sivyo?
Wewe mpaka leo shetani asili yake hujui ingawa tulishakuelewesha

Hii ni mara ya mwisho kukufundisha, wacha biblia iseme shetani alikuwa nani katika Ezekiel 28:13-15.
Soma uelewa shetani alikuwa nani
[emoji116]
13. Ulikuwa katika Edeni, bustani ya Mungu. Kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, zabarijadi, topazi na yaspi; krisolito, shohamu na yashefi; yakuti, feruzi na zumaridi; nao ufundi wa viwekeo na wa vitundu vyako ulikuwa wa dhahabu ndani yako. Vilitayarishwa katika siku ya kuumbwa kwako. 14 Wewe ndiye kerubi aliyetiwa mafuta anayefunika, nami nimekuweka wewe. Ulikuwa katika mlima mtakatifu wa Mungu. Ulitembea katikati ya mawe yenye moto. 15 Hukuwa na kosa katika njia zako tangu siku ya kuumbwa kwako mpaka ukosefu wa uadilifu ulipoonekana ndani yako."
 
We nae unaongea nini? we endelea kutukana tu ili kuonesha ukubwa wa imani ya Yesu uliyonayo.
 
Sijakuelewa, naomba ufafanue.
Ni kwamba mashetani asili yao ni malaika au tuseme kwamba mashetani ni malaika maana hakuna kiumbe alichoumba Mungu chenye kuitwa shetani.

Kwahiyo ukisikia shetani ujue ni malaika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…