Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
THE BOLD

....Ahsante kwa kuelewa vile ambavyo ulivinukuu ambavyo vilikuwa na makosa ndani take.
Labda niseme tu lengo langu halikuwa kukupinga kuwa eti watu hawachinjwi laa.
Ni sawa na kukataa kuwa Tanzania watu hawanyongwi ila nilichokuwa naweka sawa ni zile sehemu nilizoziona zina makosa au hazina ukweli ndani yake.
Ijapokuwa nimetaja kwa uchache na kingine nilichopinga ni kupotosha lengo la kuchinja mbele ya hadhara.
Ni sawa umkute mkristo kaweka sanamu ya yesu ndani ya nyumba ww ukaita kapamba nyumba kumbe yy kamuweka kwa ajili ya ibada inakuwa unapotosha maana kwa kujitia kujua kwako.
Ikumbukwe ktk kujadili jambo au kuliandika jambo huwa na malengo makuu matatu..
(1) Kuelimisha
(2)kufurahisha
(3)Kuasa
Na hii mada imeegemea kwenye kuasa jamii ila ss ktk kuasa kwako unapotoka katika ukweli ukaingiza uongo tutaita propaganda.
Leo hii tutajisikiaje watanzania tutakapozushiwa kuwa tumeweka hukumu ya kunyonga kwa ajili kuwaasiri wapinzani .?
Na ndicho kinachosambazwa kwa wasaudia kuwa wanaochinjwa wanaonewa jibu likiwa ndio tutajiuliza tena je wanaonewa kwa mlengo UPI au minajili ya nani..?
Katk huu ulimwengu zipo minzani za kupima mambo kimitazamo tofauti kwa mfano jamii zetu za kiafrika mwanamke kuoa tutamtazama kwa jicho la tatu na India ukimchinja ng'ombe unaonekana umefanya kufuru na imekubalika kwenye serikali zao.
Kipi kinachoonesha km cha ajabu had kizue mjadala ktk hukumu za kiislam ikiwa tunakubaliana kuwa kila jamii IPO na mambo au itikadi zinazoaminiwa sehemu husika iweje patokee watu wajione wao ndo miongozo ya wengine na wengine hatuko sahihi.
......MKUU THE BOLD
Katika ulimwengu wa fitna tunapaswa kukwepa na kukaa mbali nazo harakati wafanyazo watu Fulani hii binafsi nimeona INA mlengo wa kuasa jamii ili tuseme no kwa kinachofanywa na Saudia ila kiukweli hii itakuwa inaharifu imani za sisi wengine ambao tunaamini na kile kinachofanywa na nchi km saudia km vile Yemen, Brunei ,Pakistan n.k

Nawasilishaaaaa
....Mkandu....
Chalileeee
 
Ulishamwona huyu Myahudi akisujudu kwa kubinua mat*ako hewani?





See how Jesus (Issa), and other honorable Biblical personages prayed, click the figure above.


Read Your Bible!


Matthew 26 : 36 - 39
Then Jesus went with them to a place called Gethsemane, and he said to his disciples, "Sit here, while I go yonder and pray." And taking with him Peter and the two sons of Zebedee, he began to be sorrowful and troubled.

Then he said to them: "My soul is very sorrowful, even to death. Remain here, and watch with me."

And going a little farther, he fell on his face and prayed.

Genesis 17 : 1 - 5
When Abram was ninety-nine years old The Lord appeared to Abram, and said to him, "I am GOD Almighty; walk before me, and be blameless. And I will make my covenant between me and you, and will multiply you exceedingly." Then Abram fell on his face; and GOD said to him, "behold, my covenant is with you, and you shall be the father of a multitude of nations. No longer shall your name be Abram, but your name shall be Abraham; for I have made you the father of a multitude of nations."

Numbers 20 : 6
Then Moses and Aaron went from the presence of the assembly to the door of the tent of meeting, and fell on their faces. ant the glory of the Lord appeared to them...

Joshua 5 : 13 -15
When Joshua was by Jericho, he lifted up his eyes and looked, and behold, a man stood before him with his drawn sword in his hand; and Joshua went to him and said to him, "are you for us, or for our adversaries?" And he said, "No; but as commander of the army of The Lord I have now come." And Joshua fell on his face to the earth and worshipped, and said to him, What does my Lord bid his servant?" And the commander of The Lord's army said to Joshua, "Put off your shoes from your feet, for the place where you stand is holy." And this Joshua did so.

1 Kings 18 : 41 - 42
And Elijah said to Ahab, "Go up, eat and drink; for there is sound of the rushing of rain." So Ahab went up to eat and to drink. And Elijah went up to the top of Carmel; and he bowed himself down upon the earth, and put his face between his knees.

1 Kings 8 : 54
Now as Solomon finished offering all this prayer and supplication to The Lord, he arose from before the altar of The Lord, where he had knelt with hands outstretched toward heaven...
 
Hahaha...ewe Kijana wa Mudy, Mzee wa kucopy na kupost bila hoja ya kujieleza peke yako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila mbona maswali yangu yooote tokea mwaka juzi nakuuliza huyajibu?

Unataka nisubiri mpaka siku ya ngama yako?
 


UMEELEWA KAZI KWAKO NA MATUSI YAKO LAKINI UKUMBUKE BWANA YESU ALISEMA ;

KILA UNALOLISEMA LITAHUKUMIWA
 
The truth is....I never discouraged this style of worshipping as I do believe that even Mosses (Musa) and other God's prophet did so n I honour them.

My blame ni kwa waislam jina wajifanyao wanajua kiila kitu...ukiwauliza jambo kwa ajili ya kupeana elimu wao ni mitusi tu na kashfa.

Mimi nawapenda hao ili niwajuze na kuwaonesha hasaa kashfa ni zipi.

Tizama maswali ambayo nimeyauliza na wenye utindio wa ubongo walivyonijibu

Sawa bwn. Sheikh?
 
UMEELEWA KAZI KWAKO NA MATUSI YAKO LAKINI UKUMBUKE BWANA YESU ALISEMA ;

KILA UNALOLISEMA LITAHUKUMIWA
Sii huko kwenye issue ya Hukumu, Hivi Mkuu ikiwa wewe kweli ni Muislam...hebu analyse comment yangu ifuatayo kisha uitoe makosa, niliuliza swali hili:-

Hivi wake wa Mtume Muhammad (S.A.W) walipata recognition gani baada ya kifo cha Mtume?

Watu wakiendelea kuwajali na je walikuwa watumishi katika dunia ya wakati ule au walikuja kuolewa tu kama wanawake wengine?

Nduguzo wakaanza kunitusi na Mwenyezi Mungu anajua lengo langu halikuwa baya.

Wangenielewesha au wangenidirect katika mistari ya Qur'an ya kiswahili kungekuwa na tatizo gani?

Mimi nilitaka nijue nafasi ya Wanawake wa zamani katika uislam ipoje.
 
Saudia hakuna uislam huo tunaodhani wanao nao ni washenzi tu kama washenzi wengine hakuna uislam wa hivyo.
Uislam unasema shoga, mwizi, kafiri etc wachinjwe hadharan
Saudia wanatimiza hilo

Utasemaje hamna uislam saudia?
Huon kama wanatimiza sharia za Allah?

Au wee unasemaje kuhusu hizo sharia, wamezitunga wenyewe?
 
Uongo uko wapi? Kanusha kwa hoja sio maneno mengi yasiokuwa na maana
 


Hujatosheka na yale majibu uliyopewa kwenye hiyo thread yako uliyoifungua kwenye ukumbi wa dini ????

Umeileta huku kwa dhamira gani kama si kutafuta shari ???

Hii Thread inasema hivi

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Kuna mke wa mtume hapo ??
 
Hapana, hilo halikuwa katika thread hii...ni thread nyingine iliyopita.

Wahusika ni hao hao

Ila angalia katika thread hii aliyeanzishwa umbumbumbu bwabwajaji ni nani, ilhal mtoa mada ameweka angalizo?
 
Hapana, hilo halikuwa katika thread hii...ni thread nyingine iliyopita.

Wahusika ni hao hao

Ila angalia katika thread hii aliyeanzishwa umbumbumbu bwabwajaji ni nani, ilhal mtoa mada ameweka angalizo?

Unataka ubishi??? kule ulijibiwa vizuri tu lakini ukaona uje huku uanzishe ligi nyengine, usifikiri unatudanganya sisi , Hapana

Unajidanganya mwenyewe tu , Kila mtu atabeba mzigo wake , wewe kama hujali endelea tu na matusi na kejeli

Ukumbuke kila unalolisema litahukumiwa
 
Huna unachokijua, toka hapa mnafiki wee! Narabuk.
 


Kuna tofauti sana kati ya haki na batili....sitoshangaa ukasema huyo ni muislamu mwenzetu na hapo ni msikitini.

Allah Akbar.
Maalim Ally7, hiyo zawadi yako
[emoji116]

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…