Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Kazi za shetan, dini zote zinahubir Mungu Ni "UPENDO " Sasa hapa cjui wanafanya Nn, Kwel tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kazi za shetan, dini zote zinahubir Mungu Ni "UPENDO " Sasa hapa cjui wanafanya Nn, Kwel tunaangamia kwa kukosa maarifa
Ni kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa,wengi wanakuja kusema hii dini ya shetani lakini hajawahi hata siku moja kusoma hicho kitabu cha hiyo dini wanayoita ya shetani.

Yani mtu anaamini kile anachokisia watu wanasema ila yeye binafsi hajawahi hata kusoma andiko moja,huku ni kuangamia kwa kukosa maarifa.
 
Ni sawa na hapa, Saudia wanaweka wazi, hapa wanaua kwa usiri...kuteka! Ben et al!
 
Ni sawa na hapa, Saudia wanaweka wazi, hapa wanaua kwa usiri...kuteka! Ben et al!
Tena wengine wanasema tunapaswa kuziheshimu hizi mamlaka maana zimetoka kwa Mungu,lakini ndani ya hizi mamlaka kuna utesaji na mauaji ndani yake.
 
Tena wengine wanasema tunapaswa kuziheshimu hizi mamlaka maana zimetoka kwa Mungu,lakini ndani ya hizi mamlaka kuna utesaji na mauaji ndani yake.
Ndiyo maana mambo ya dini (biblia inasema tuzitii mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa Mungu), nonsense! niliachana nayo, ni ujinga na upuuzi wa kuwatawala watu kimawazo, to soften them to rule them peacefully
 
Maana mtu anakuja kujisifu kuwa Mungu wake wa upendo lakini Mungu wake huyo huyo wa upendo anamwambia atii mamlaka zilitoka kwake ambazo zinauwa watu,mambo mengine ya kushangaza kweli mkuu.
 
Mbona mimi sipo[emoji15] [emoji15]
 
Kama sharia zenyewe ndio hizi, basi uislamu ni dini ya KISHETANI.
 
Umemsahau faizafoxy
 
Hii post yako ilifaa umu imbobo faizafoxy
 
Hii post yako ilifaa umu imbobo faizafoxy
Sijui hata kama bado anatumia jf siku hizi, nilimuweka kwenye ignore list zamani sana pamoja na wenzake, hua sioni post zao zozote zile.
 
Ndiyo maana mambo ya dini (biblia inasema tuzitii mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa Mungu), nonsense! niliachana nayo, ni ujinga na upuuzi wa kuwatawala watu kimawazo, to soften them to rule them peacefully
Kutii mamlaka kulikosemwa katika Biblia kunamaanisha kuutii mfumo mzima wa utawala katika jamii

Yaani kuanzia jirani yako, mjumbe, mwenyekiti wa kitongoji, Mahakama, Bunge na Serikari kwa ujumla.

Jambo hili ndilo lililomaanishwa

Tatizo
Hapo shida inatokea kama viongozi wa mihimili hiyo kwa ubinafsi wao wanatawala bila kuzingatia mamlaya yao yanavyo waelekeza

Mfano Hakimu anaamua kupokea rushwa na kumyima haki mnyonge.
Au Raisi anakuwa dikteta na kuanza kutesa wananchi. Inamaanisha anakiuka sheria elekezi zinazomuongoza kutenda kazi zake.
Hakimu akiwa mla rushwa hapo ni yeye binafsi lakini Muhimili wa mahakaba unabaki kuaminika na jamii katika dhana nzima ya kutafsiri sheria

Hivyo Biblia ulinavyo sema tuzitii mamlaka kwani zimewekwa na Mungu inamaanisha katika ngazi ya kitaasisi, yaani Mahakama, Bunge na Serikali zimewekwa na Mungu ili kumlinda mwananchi.
Kosa la mtendaji wa vyombo hivyo siyo kosa la Serikari.

Nadhani nimeeleweka maana sina utaalamu sana wa kuelezea kwa kina kiasi cha kumwelewesha kila mtu.

Mfano.
Ninamaanisha kuwa kosa la polisi mmoja haliihukumu wizara ya mambo ya ndani.
Wizara ya mambo ya ndani imewekwa na Mungu, Polisi mwovu anaamua mwenyewe kukiuka sheria ya jeshi hilo na kumwonea mwananchi.
 
Acha simple reasoning, go deeper and deeper, open up your mind in a wider perspective. serikali ni watu, hao ndio serikali, ukitii serikali unatii watu! Watu ambao ni serikali wanavamia clouds, Ben anapotea serikali ambayo ndiyo watu inapuuza, halafu tuitii eti imetoka kwa Mungu, hapana! Mungu aliagiza hivyo kama walioshika mamlaka ya kutekeleza maagizo ya Mungu hawafanyi hivyo... hatupashwi kuwatii!
 
Kwenye maswala ya dini kila mtu anajifanyaga mjuaji yaan
 
Retired

Hao wanaofanya mambo hayo ndo wanaitia doa Serikari ikibainika wametumia rasrimali za serikari au dhamana ya Serikari kufanya uovu hatua stahiki zinachukuliwa dhidi yao

Pili usi ituhumu Serikali au mtu binafsi kufanya uovu flani hadi uthibitishe madai yako.

Mambo haya ya kutuhumiana bila ushahidi tuliyakataa wote kipindi fulani.

Wewe mbona unaendelea kutuhumu bila idhahidi ?

Nia ya Serikali yoyote duniani ni kutoa huduma bora kwa wananchi wake ili ibaki madarakani

Ahadi hizi hata vyama shindani vina ahidi.
Serikali kweli huwa inaweza kifanya makosa sehemu flaniflani ndomaana kuna chombo kama Bunge kazi yake ni kuikosoa na kuisimamia serikali pale inapo kosea kama serikali.

Ukichunguza hakuna serikali duniani isiyolaumiwa na wananchi wake kuhusu jambo flani, kitendo hicho hakimpi mwananchi kuto itii serikali yake

Unataka kututhibitishia wewe ungekuwa kiongozi usingekosea mahali ?
Kama hapana basi inawea kutokea kwa yeyote kwa bahati mbaya au kwa kukusudia

Kuitii Serikali ni lazima.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…