zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Kazi za shetan, dini zote zinahubir Mungu Ni "UPENDO " Sasa hapa cjui wanafanya Nn, Kwel tunaangamia kwa kukosa maarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa,wengi wanakuja kusema hii dini ya shetani lakini hajawahi hata siku moja kusoma hicho kitabu cha hiyo dini wanayoita ya shetani.Kazi za shetan, dini zote zinahubir Mungu Ni "UPENDO " Sasa hapa cjui wanafanya Nn, Kwel tunaangamia kwa kukosa maarifa
Tena wengine wanasema tunapaswa kuziheshimu hizi mamlaka maana zimetoka kwa Mungu,lakini ndani ya hizi mamlaka kuna utesaji na mauaji ndani yake.Ni sawa na hapa, Saudia wanaweka wazi, hapa wanaua kwa usiri...kuteka! Ben et al!
Ndiyo maana mambo ya dini (biblia inasema tuzitii mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa Mungu), nonsense! niliachana nayo, ni ujinga na upuuzi wa kuwatawala watu kimawazo, to soften them to rule them peacefullyTena wengine wanasema tunapaswa kuziheshimu hizi mamlaka maana zimetoka kwa Mungu,lakini ndani ya hizi mamlaka kuna utesaji na mauaji ndani yake.
Maana mtu anakuja kujisifu kuwa Mungu wake wa upendo lakini Mungu wake huyo huyo wa upendo anamwambia atii mamlaka zilitoka kwake ambazo zinauwa watu,mambo mengine ya kushangaza kweli mkuu.Ndiyo maana mambo ya dini (biblia inasema tuzitii mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa Mungu), nonsense! niliachana nayo, ni ujinga na upuuzi wa kuwatawala watu kimawazo, to soften them to rule them peacefully
Mbona mimi sipo[emoji15] [emoji15]Nifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden
bwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY
Umemsahau faizafoxyNifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden
bwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY wa stendi
Hii post yako ilifaa umu imbobo faizafoxyBado kuna mtu anasema dini ya amani.. hehehe kalio kabisa, itapita miaka laki kadhaa kama bado binadamu wapo watajishtukia dini ilikua ujinga tu uliotungwa na watu wachache kucontrol people's mind, watakua wanasoma tu kwenye vitabu vya history jinsi dini ilivyoua watu. Anayebisha aone list ya mataifa yanayoua watu hapo ni dini gani.
Sijui hata kama bado anatumia jf siku hizi, nilimuweka kwenye ignore list zamani sana pamoja na wenzake, hua sioni post zao zozote zile.Hii post yako ilifaa umu imbobo faizafoxy
Mamlaka zinatoka kwa Mungu unatakiwa uzitii.Kama sharia zenyewe ndio hizi, basi uislamu ni dini ya KISHETANI.
Hahaha! Namuheshimu sana mamangu huyo..Umemsahau faizafoxy
Kutii mamlaka kulikosemwa katika Biblia kunamaanisha kuutii mfumo mzima wa utawala katika jamiiNdiyo maana mambo ya dini (biblia inasema tuzitii mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa Mungu), nonsense! niliachana nayo, ni ujinga na upuuzi wa kuwatawala watu kimawazo, to soften them to rule them peacefully
Acha simple reasoning, go deeper and deeper, open up your mind in a wider perspective. serikali ni watu, hao ndio serikali, ukitii serikali unatii watu! Watu ambao ni serikali wanavamia clouds, Ben anapotea serikali ambayo ndiyo watu inapuuza, halafu tuitii eti imetoka kwa Mungu, hapana! Mungu aliagiza hivyo kama walioshika mamlaka ya kutekeleza maagizo ya Mungu hawafanyi hivyo... hatupashwi kuwatii!Kutii mamlaka kulikosemwa katika Biblia kunamaanisha kuutii mfumo mzima wa utawala katika jamii
Yaani kuanzia jirani yako, mjumbe, mwenyekiti wa kitongoji, Mahakama, Bunge na Serikari kwa ujumla.
Jambo hili ndilo lililomaanishwa
Tatizo
Hapo shida inatokea kama viongozi wa mihimili hiyo kwa ubinafsi wao wanatawala bila kuzingatia mamlaya yao yanavyo waelekeza
Mfano Hakimu anaamua kupokea rushwa na kumyima haki mnyonge.
Au Raisi anakuwa dikteta na kuanza kutesa wananchi. Inamaanisha anakiuka sheria elekezi zinazomuongoza kutenda kazi zake.
Hakimu akiwa mla rushwa hapo ni yeye binafsi lakini Muhimili wa mahakaba unabaki kuaminika na jamii katika dhana nzima ya kutafsiri sheria
Hivyo Biblia ulinavyo sema tuzitii mamlaka kwani zimewekwa na Mungu inamaanisha katika ngazi ya kitaasisi, yaani Mahakama, Bunge na Serikali zimewekwa na Mungu ili kumlinda mwananchi.
Kosa la mtendaji wa vyombo hivyo siyo kosa la Serikari.
Nadhani nimeeleweka maana sina utaalamu sana wa kuelezea kwa kina kiasi cha kumwelewesha kila mtu.
Mfano.
Ninamaanisha kuwa kosa la polisi mmoja haliihukumu wizara ya mambo ya ndani.
Wizara ya mambo ya ndani imewekwa na Mungu, Polisi mwovu anaamua mwenyewe kukiuka sheria ya jeshi hilo na kumwonea mwananchi.
Kwenye maswala ya dini kila mtu anajifanyaga mjuaji yaanAcha simple reasoning, go deeper and deeper, open up your mind in a wider perspective. serikali ni watu, hao ndio serikali, ukitii serikali unatii watu! Watu ambao ni serikali wanavamia clouds, Ben anapotea serikali ambayo ndiyo watu inapuuza, halafu tuitii eti imetoka kwa Mungu, hapana! Mungu aliagiza hivyo kama walioshika mamlaka ya kutekeleza maagizo ya Mungu hawafanyi hivyo... hatupashwi kuwatii!