Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Toa andiko yule shetani aliyefukuzwa kule ndio yule aliyetumika na Mungu kumtesa Ayubu!!!Haijalishi kama Mungu alianza kumuuliza shetani au la. Cha muhimu ni kwamba uhusiano wa shetani kupiga story kama unavyodai haupo tena maana alishafukuzwa maeneo ya binguni. Sasa yupo dunia anavuruga watu wasiijue neno la kweli la Mungu....biblia. Akaamua kuanzisha Quran kupitia Muhammad.