Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Haijalishi kama Mungu alianza kumuuliza shetani au la. Cha muhimu ni kwamba uhusiano wa shetani kupiga story kama unavyodai haupo tena maana alishafukuzwa maeneo ya binguni. Sasa yupo dunia anavuruga watu wasiijue neno la kweli la Mungu....biblia. Akaamua kuanzisha Quran kupitia Muhammad.
Toa andiko yule shetani aliyefukuzwa kule ndio yule aliyetumika na Mungu kumtesa Ayubu!!!
 
Haijalishi kama Mungu alianza kumuuliza shetani au la. Cha muhimu ni kwamba uhusiano wa shetani kupiga story kama unavyodai haupo tena maana alishafukuzwa maeneo ya binguni. Sasa yupo dunia anavuruga watu wasiijue neno la kweli la Mungu....biblia. Akaamua kuanzisha Quran kupitia Muhammad.
Toa andiko kwenye ufunuo yule shetani ndioi Muhammad. Hilo andiko huna na wala huwezi kulipata!!!! Ubabaishaji mtupu!!!!
 
Yakiandikwa kwenye biblia mnaona ni parable ila yakiandikwa kwenye uislam ni kweli......!!!!!! Hongera. Hebu lete ushahidi Allah na Muhammad ni masherani. Umesoma kwenye biblia gani? Mbona mimi nimesoma biblia yote sijakuta Allah na Muhammad? Ninyi mmetoa wapi? Toa andiko kwenye biblia Allah ni shetani!!! Toa sasa hivi!!!
Mimekwambia kila mtu ana uelewa wake. Wewe una amini Allah ni mungu wako na Muhammad mtume, lakini sisi tunakataa na vigezo kibao. Haiwezekani majini yaliyofukuzwa mbinguni, yaje kuslimu kwenye uislamu na Shetani akojoe kojoe ovyo kwenye masikio eti kwa sababu muislamu akisali anasinzia? Hiyo siyo dini ya kweli na Mungu hawezi ruhusu uchafu wa namna hiyo!
 
Toa andiko acha kuleta hadithi za kukojolewa na popo ama shetani. Lete andiko wewe.........!!!!!
 
Imani ni kitu kigumu kukidadafua zaidi kikifika katika final stages of no reasoning, no thinking behind the written Nanihiiii.
Reasoning ipi sasa,we umeua unataka uwekwe jela ule msosi wa bure?,umebaka unataka upewe miaka 30,kata shingo iwe funzo kwa wengine
 
Reasoning ipi sasa,we umeua unataka uwekwe jela ule msosi wa bure?,umebaka unataka upewe miaka 30,kata shingo iwe funzo kwa wengine
Kubaka imo kwenye penal code. Toa andiko kwenye biblia kubaka no kitendo cha namna gani....
 
Kubaka imo kwenye penal code. Toa andiko kwenye biblia kubaka no kitendo cha namna gani....
Mkuu mi sio mjuvi wa biblia.pia siungi mkono mtu kuuwawa kwa kuonewa,lakini kama mtu kaua kwanini nayeye asiuwawe
 
Huna andiko wewe....utalitoa wapi? Maandiko mchezo? Mpaka uwe umebobea....huna andiko ww. Na ukilitoa mimi leo najikojolea kitandani!!!!
Kama unataka maandiko kujua sehemu alizotajwa shetani, yako mengi na sihitaji kujisifu kwamba nimebobea! Hakuna mtu aliyebobea katika maandiko ya biblia. Biblia ina mawazo au God's thought na hamna cha kushangaza kwamba tunaitaji msaada wa roho takatifu, ndiyo maana kabla ujasoma biblia unatakiwa usali kwa Mungu ili akusaidie kupitia roho mtakatifu.(Luka11:13;1Wakor 2:10)

Jambo moja ambalo waislamu wengi wanakosea ni kusoma biblia ili kubisha. Unaposoma andiko jiulize je, hili andiko naweza litumia vipi katika maisha yangu. Kwa mfano, ungeweza jiuliza kwa ile illustration ya Yesu katika Luka 19:1-27. Umejifunza nini pale na unaweza apply vipi hilo andiko katika maisha yako? Jibu ni raisi kwamba fanya bidii ya kumtumikia Mungu ili kuingia kwenye ufalme wa Mungu la sivyo utakatiliwa mbali au utachinjwa(figuratively)
 
Nina swali moja tu.. hivi BIBLIA ILIANDIKWA WAKATI YESU YUPO HAI AU ASHAENDA PINGUNI?? NA JE YEYE MWENYEWE AMEWAHI KUSOMA HIYO BIBLIA HATA MARA MOJA..??
 
Nina swali moja tu.. hivi BIBLIA ILIANDIKWA WAKATI YESU YUPO HAI AU ASHAENDA PINGUNI?? NA JE YEYE MWENYEWE AMEWAHI KUSOMA HIYO BIBLIA HATA MARA MOJA..??
Biblia ni neno la Kigiriki likiwa na maana ya vitabu vidogo vidogo. Vitabu hivyo jumla ni 66 ambavyo vimewekwa pamoja kufanya mkusanyiko kuwa biblia.

Katika biblia kuna vitabu vya agano la kale ambavyo viliandikwa na manabii na wafalme tofauti kwa uongozi wa Mungu kabla ya Yesu kuzaliwa. Ndiyo maana ata Yesu aliweza kusoma na kunukuu maandiko wakati akiubiri na kufundisha.
(Mathayo 4:4; Kumbukumbu 8:3)

Biblia ya agano jipya iliandikwa na baadhi ya wanafunzi na wafuasi wa Yesu waliotambulika kama wakristo. Biblia yenyewe inasema kila andiko liliandikwa kwa uongozi wa Mungu siyo mawazo ya binadamu (2 Timotheo 3:16,17)
 
Sasa huyo Al Beshi chinjachinja wa Saud Arabia mbona ni mweusi tii, walimkodi toka Afrika au inakuwaje hapo?
Mkuu The Bold, kwa hisani yako ninaomba ufafanuzi.
 
Hawa Wasaud Arabia ni Washenzi na Makafir Wakubwa.

Hivi kwanini sioni comments za FaizaFoxy hapa?
 
Hawa Wasaud Arabia ni Washenzi na Makafir Wakubwa.

Hivi kwanini sioni comments za FaizaFoxy hapa?
Faizafoxy mweupe hamna kitu zaidi ya kubeba mapepo au majini. Utamuona tu ngoja majini yamwamshe. Majini yanaona tunavyo yakandia, kwahiyo yatamstua aje huku kutapika utumbo wake au kuwa wakilisha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom