Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hahaha.....weyeeee usiniletee matisho ya akina Abou sufian waliorithi kwa bwn. MudyUtakimbia tu we lete mchezo tu. Hapa utatulia....
Nenda kawatishe waumi'nin wenzio
Hunifahamu weyeeee....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.....weyeeee usiniletee matisho ya akina Abou sufian waliorithi kwa bwn. MudyUtakimbia tu we lete mchezo tu. Hapa utatulia....
Ewe mfuasi wa Bwn. MudyHapa ni maandiko tu. Kama huna maandiko ondoka usituketee hadith za Abunuwasi.
Unaelimu na hicho ukiitacho roho mtakatifu au unadhani ni kiumbe? Itafute elimu hata ikipatikana uchina, ninyi mbona mnalala tu? Nadhani hata huyo shetani na bifu lake na Mungu hulijui vyema, unahisi ni kama lile lililokuwa likiendelea katika filamu ya wamarekani wawili Bush na Osama, haipo hivyo. Walishindana ktk ideologies za utawala tu, sawa na Democratic na Republic.Ndio ujiulize sasa maana shetani mwenyewe ni rafiki wa roho mtakatifu....
Roho mtakatifu alishirikiana na Ibilisi kule nyikani kumjaribu Yesu. Sasa utajiuliza roho mtakatifu alipompeleka Yesu akajaribiwe na Ibilisi wakati Ibilisi akimjaribu Yesu yeye roho mtakatifu alikuwa pembeni anaangalia au alimtelekeza huko? Kuna uhusiano gani kati ya roho mtakatifu na ibilisi?
"Yesu alichukuliwa na roho mtakatifu ili ajaribiwe na ibilisi....". Mathayo 4:1. Umeona? Elimu ninayo!!!Unaelimu na hicho ukiitacho roho mtakatifu au unadhani ni kiumbe? Itafute elimu hata ikipatikana uchina, ninyi mbona mnalala tu? Nadhani hata huyo shetani na bifu lake na Mungu hulijui vyema, unahisi ni kama lile lililokuwa likiendelea katika filamu ya wamarekani wawili Bush na Osama, haipo hivyo. Walishindana ktk ideologies za utawala tu, sawa na Democratic na Republic.
Roho mtakatifu ndio nini hicho hadi kimchukue Yesu kimpeleke huko kujaribiwa. Nimekuuliza juu ya ujuzi wako kuhusu hicho kiitwacho roho mtakatifu, unao?"Yesu alichukuliwa na roho mtakatifu ili ajaribiwe na ibilisi....". Mathayo 4:1. Umeona? Elimu ninayo!!!
Iulize biblia. Kumbe ulikuwa hujui? Mathayo 4:1!!!!Roho mtakatifu ndio nini hicho hadi kimchukue Yesu kimpeleke huko kujaribiwa. Nimekuuliza juu ya ujuzi wako kuhusu hicho kiitwacho roho mtakatifu, unao?
Kafiri maana yake siyo mtu anasemaye Mungu wa pekee au mtu asemaye binadamu ni Mungu!! Umepata wapi hiyo maana wakati haiko ndani ya Quran?Hujui tafsiri ya neno KAFIR wewe. Kafir ni mtu yeyote asemaye MUNGU ANA MTOTO WA PEKEE....au mtu yeyote anayesema binadam ni Mungu....!!!
Wewe unaiamini Quran?Kafiri maana yake siyo mtu anasemaye Mungu wa pekee au mtu asemaye binadamu ni Mungu!! Umepata wapi hiyo maana wakati haiko ndani ya Quran?
Kafiri maana yake hiyo hapo
[emoji116]
al-kafirun (Wasioamini)109:1-6
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Ni wazi Allah na Muhammad wanampinga Mungu na mwanaye Yesu kristo. Dawa yao iko jikoni, ole wao!Hujui tafsiri ya neno KAFIR wewe. Kafir ni mtu yeyote asemaye MUNGU ANA MTOTO WA PEKEE....au mtu yeyote anayesema binadam ni Mungu....!!!
Nioneshe Muhammad katika biblia...Ni wazi Allah na Muhammad wanampinga Mungu na mwanaye Yesu kristo. Dawa yao iko jikoni, ole wao!
Soma warning hiyo [emoji116]
Yohana:5.20
Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu.
Yohana:5.21
Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao.
Yohana:5.22
Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;
Yohana:5.23
ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyempeleka.
Yohana:5.24
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
Tofautisha mtume Paul na mtume wa uwongo Muhammad! Mtume Paulo aliacha kuwa persecute wakristo baada kuja kuwa mfuasi wa kristo, wakati Muhammad hakuwa mkristo ila aliendelea kuwa persecute wakristo na wayahudi akishirikiana na Allah mpaka anakufa. Leo hii bado wakristo wachache waliobakia nchi za kiarabu kama Misri wanauwawa kwa mabomu makanisa.Watu wanakataa andiko 19:27 . Kataeni lakini huo ndio ukweli.......
Mnajifanya kuleta tafsiri yenu ili kufuta hilo andiko....HALIFUTIKI!!!
Tena kwa taarifa tu hakuna mtu duniani aliyeua watu wengi kama MTUME PAULO lakini hili hamlisemi!!! Mnaishia kumsema Mtume Muhammad kuwa alibaka!!! Bange hizo!! Hebu jaribuni kubalance equation kwa kumzungumzia mtume Paulo japo kidogo.....anzeni japo kwa kumtetea tu muone maandiko tutakavyoyamwaga humu. Mpaka mtakimbia....
Mtume Paulo ni mtume wa uwongo!! Ukibisha nakupa andiko...Tofautisha mtume Paul na mtume wa uwongo Muhammad! Mtume Paulo aliacha kuwa persecute wakristo baada kuja kuwa mfuasi wa kristo, wakati Muhammad hakuwa mkristo ila aliendelea kuwa persecute wakristo na wayahudi akishirikiana na Allah mpaka anakufa. Leo hii bado wakristo wachache waliobakia nchi za kiarabu kama Misri wanauwawa kwa mabomu makanisa.
Neno Muhammad halimo katika biblia.Nioneshe Muhammad katika biblia...
Siyo ku quote maandiko irrelevant to the topic. Acha bange!!!
Muhammad kwenye biblia hayumo!! Kwa hiyo hayo yote unayoongea ni upuuzi tu!!Neno Muhammad halimo katika biblia.
Mpinga Kristo ni yule anayekataa Yesu hakusulubiwa; Muhammad alikataa kusulubiwa kwa Yesu; Kwahiyo, Muhammad ni mpinga Kristo.
Ni muomgo kwa Muhammad kwa sababu alimuanika upinga Kristo wake!Mtume Paulo ni mtume wa uwongo!! Ukibisha nakupa andiko...
Ndiyo naamini contradictions na uwongo wa Allah na kibaraka wake Muhammad katika Quran!Wewe unaiamini Quran?
Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!Ni muomgo kwa Muhammad kwa sababu alimuanika upinga Kristo wake!
Muhammad na Allah Shetani ni wapinga Kristo namba one.
Muhammad anatajwa indirectly kwa mantiki ya upinga Kristo.Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!