Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Utakimbia tu we lete mchezo tu. Hapa utatulia....
Hahaha.....weyeeee usiniletee matisho ya akina Abou sufian waliorithi kwa bwn. Mudy

Nenda kawatishe waumi'nin wenzio

Hunifahamu weyeeee....!
 
Hapa ni maandiko tu. Kama huna maandiko ondoka usituketee hadith za Abunuwasi.
Ewe mfuasi wa Bwn. Mudy

Usituketee [emoji117] Usituletee

Nawewe hujui kusoma na kuandika kama Bwn. Mudy? Eeh! [emoji23]
 
Ndio ujiulize sasa maana shetani mwenyewe ni rafiki wa roho mtakatifu....
Roho mtakatifu alishirikiana na Ibilisi kule nyikani kumjaribu Yesu. Sasa utajiuliza roho mtakatifu alipompeleka Yesu akajaribiwe na Ibilisi wakati Ibilisi akimjaribu Yesu yeye roho mtakatifu alikuwa pembeni anaangalia au alimtelekeza huko? Kuna uhusiano gani kati ya roho mtakatifu na ibilisi?
Unaelimu na hicho ukiitacho roho mtakatifu au unadhani ni kiumbe? Itafute elimu hata ikipatikana uchina, ninyi mbona mnalala tu? Nadhani hata huyo shetani na bifu lake na Mungu hulijui vyema, unahisi ni kama lile lililokuwa likiendelea katika filamu ya wamarekani wawili Bush na Osama, haipo hivyo. Walishindana ktk ideologies za utawala tu, sawa na Democratic na Republic.
 
"Yesu alichukuliwa na roho mtakatifu ili ajaribiwe na ibilisi....". Mathayo 4:1. Umeona? Elimu ninayo!!!
 
Roho mtakatifu ndio nini hicho hadi kimchukue Yesu kimpeleke huko kujaribiwa. Nimekuuliza juu ya ujuzi wako kuhusu hicho kiitwacho roho mtakatifu, unao?
 
Iulize biblia. Kumbe ulikuwa hujui? Mathayo 4:1!!!!
 
Hujui tafsiri ya neno KAFIR wewe. Kafir ni mtu yeyote asemaye MUNGU ANA MTOTO WA PEKEE....au mtu yeyote anayesema binadam ni Mungu....!!!
Kafiri maana yake siyo mtu anasemaye Mungu wa pekee au mtu asemaye binadamu ni Mungu!! Umepata wapi hiyo maana wakati haiko ndani ya Quran?

Kafiri maana yake hiyo hapo
[emoji116]

al-kafirun (Wasioamini)109:1-6

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Wewe unaiamini Quran?
 
Hujui tafsiri ya neno KAFIR wewe. Kafir ni mtu yeyote asemaye MUNGU ANA MTOTO WA PEKEE....au mtu yeyote anayesema binadam ni Mungu....!!!
Ni wazi Allah na Muhammad wanampinga Mungu na mwanaye Yesu kristo. Dawa yao iko jikoni, ole wao!
Soma warning hiyo [emoji116]

Yohana:5.20
Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu.
Yohana:5.21
Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao.
Yohana:5.22
Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;
Yohana:5.23
ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyempeleka.
Yohana:5.24
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
 
Nioneshe Muhammad katika biblia...
Siyo ku quote maandiko irrelevant to the topic. Acha bange!!!
 
Watu wanakataa andiko 19:27 . Kataeni lakini huo ndio ukweli.......
Mnajifanya kuleta tafsiri yenu ili kufuta hilo andiko....HALIFUTIKI!!!
Tena kwa taarifa tu hakuna mtu duniani aliyeua watu wengi kama MTUME PAULO lakini hili hamlisemi!!! Mnaishia kumsema Mtume Muhammad kuwa alibaka!!! Bange hizo!! Hebu jaribuni kubalance equation kwa kumzungumzia mtume Paulo japo kidogo.....anzeni japo kwa kumtetea tu muone maandiko tutakavyoyamwaga humu. Mpaka mtakimbia....
Tofautisha mtume Paul na mtume wa uwongo Muhammad! Mtume Paulo aliacha kuwa persecute wakristo baada kuja kuwa mfuasi wa kristo, wakati Muhammad hakuwa mkristo ila aliendelea kuwa persecute wakristo na wayahudi akishirikiana na Allah mpaka anakufa. Leo hii bado wakristo wachache waliobakia nchi za kiarabu kama Misri wanauwawa kwa mabomu makanisa.
 
Kwa wakristo mnavyomdhihaki Mungu...nimeamini siku ya hukumu itakuwa nzito sana kwenu,Kwani mna macho lkn hamuoni,mna masikio lkn hamsikii mbaya zaidi mnasoma Quran kwa chuki Na si kuelewa,Na hata mnaposoma bible vifungu vinavyoelezea Muhammad au uislam huwa mnaviruka...Ni swala la muda tu kila kitu utakiona kwa ukweli wake ila itakuwa too late ushakufa Na kusawazisha haiwezekani,its the point of no return..
 
Tofautisha mtume Paul na mtume wa uwongo Muhammad! Mtume Paulo aliacha kuwa persecute wakristo baada kuja kuwa mfuasi wa kristo, wakati Muhammad hakuwa mkristo ila aliendelea kuwa persecute wakristo na wayahudi akishirikiana na Allah mpaka anakufa. Leo hii bado wakristo wachache waliobakia nchi za kiarabu kama Misri wanauwawa kwa mabomu makanisa.
Mtume Paulo ni mtume wa uwongo!! Ukibisha nakupa andiko...
 
Nioneshe Muhammad katika biblia...
Siyo ku quote maandiko irrelevant to the topic. Acha bange!!!
Neno Muhammad halimo katika biblia.
Mpinga Kristo ni yule anayekataa Yesu hakusulubiwa; Muhammad alikataa kusulubiwa kwa Yesu; Kwahiyo, Muhammad ni mpinga Kristo.
 
Wewe mkuu V Kweli Tupu utachemka tu hapa katika maandiko sisi ndio mabingwa!!!. We subiri tu muda si mrefu utaanza kutukana badala ya kutoa hoja.....
 
Neno Muhammad halimo katika biblia.
Mpinga Kristo ni yule anayekataa Yesu hakusulubiwa; Muhammad alikataa kusulubiwa kwa Yesu; Kwahiyo, Muhammad ni mpinga Kristo.
Muhammad kwenye biblia hayumo!! Kwa hiyo hayo yote unayoongea ni upuuzi tu!!
 
Ni muomgo kwa Muhammad kwa sababu alimuanika upinga Kristo wake!
Muhammad na Allah Shetani ni wapinga Kristo namba one.
Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!
 
Muhammad anatajwa indirectly kwa mantiki ya upinga Kristo.

Back
Top Bottom