Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Kwenye Mathayo 4:1 neno ROHO limetumika si katika mapana yake bali NENO ROHO limekusudia ROHO MTAKATIFU. Na kupandishwa nyikani maana yake ni kupelekwa. Hilo halina shaka. Anyway huyo SPRITUAL CREATURE atakuwa ni mtakatifu hawezi kuwa shetani. Kwa hiyo mtakatifu akampeleka Yesu nyikani kwa Ibilisi. Hilo halina shaka!!!
Roho siyo roho takatifu. Siyo spiritual creature ni spirit creature kiumbe wa kiroho kwa maana ya malaika, majini, mapepo na Shetani ni viumbe wa kiroho.

Mathayo:4.1
"Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi."

Roho iliyompandisha Yesu nyikani haikuwa takatifu bali yakiovu.
 
Nashukuru umeingia kwenye eneo la penalty.
 
Roho siyo roho takatifu. Siyo spiritual creature ni spirit creature kiumbe wa kiroho kwa maana ya malaika, majini, mapepo na Shetani ni viumbe wa kiroho.

Mathayo:4.1
"Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi."

Roho iliyompandisha Yesu nyikani haikuwa takatifu bali yakiovu.
Kwa hiyo Yesu kama Mungu wakati anachukuliwa na roho ya kiovu yeye uwezo wake uliziildiwa na uwezo wa shetani?
 
comments za humu
jamaan dini zenyewe tumeletewa tu lkn watu mnatoleana maneno makali mngekua saud arabia jambia lingewahusu
 
Kwa hiyo Yesu kama Mungu wakati anachukuliwa na roho ya kiovu yeye uwezo wake uliziildiwa na uwezo wa shetani?
Kwa kifupi, unajaribu kusema Mungu alizidiwa na Shetani? Mungu hazidiwi na Shetani hata siku moja kwa kuwa yeye ndiye aliye waumba. Yesu alisema baba ni mkuu kuliko mimi na alikuwa anamuomba Mungu mara nyingi. Kwahiyo hoja ya Yesu kama Mungu alizidiwa uwezo na Shetani haina mantik!

Sababu ya Yesu kwenda jangwani ilikuwa ni kutafakari na kujiimarisha yeye binafsi katika siku 40 alizotumia kufunga baada kubatizwa na kutiwa mafuta.
(Luka 4: 1, 2)

Yesu alipokuwa jangwani ndipo alikutana moja kwa moja na Shetani mpinzani wa baba yake. Na huyo Shetani alitumia mbinu sawa na zile za bustani ya Edeni. Shetani Ibilisi alijaribu kumshawishi Yesu ili aonyesha ubinafsi, ajiinua, kumjaribu na kutomtegemea Mungu. Tofauti na Adamu, Yesu aliendelea kuwa muadilifu na, kwa mara nyingi Yesu alinukuu maandiko ambayo yalikuwa mapenzi ya Mungu. Na hiyo ilisababisha Shetani kushindwa kumshawishi na kuondoka zake, "mpaka wakati mwingine unaofaa."
(Lu 4: 1-13)
 
Kama wanauana waarabu na wazungu sisi waafrika hatuhusiki waache wauane
 
Umekuwa msemaji wa yesu ?? hayo maelezo yako unayapata kwenye kitabu gani ??
 
Pole sana kwa jina lake utauona ufalme wa mbingu

Jina lake lipi ??? Jesus Jehovah au Jesus Joseph ??

Two_Dads_Just_Fine.jpg
JesusHadTwoDads.jpg

jesus-dadsjpg-fbab227977d50f1c.jpg
 
Luka 4: 1-13

Hiyo Luka 4:1-13 hii hapa

4:1 Yesu alitoka katika mto Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani.

4:2 Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa.

4:3 Ndipo Ibilisi akamwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate."

4:4 Yesu akamjibu, "Imeandikwa: `Mtu haishi kwa mkate tu."`

4:5 Kisha Ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia,

4:6 "Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza.

4:7 Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu."

4:8 Yesu akamjibu, "Imeandikwa: `Utamwabudu Bwana Mungu wako, na utamtumikia yeye peke yake."`

4:9 Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa Hekalu, akamwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu,

4:10 kwa maana imeandikwa: `Atawaamuru malaika wake wakulinde,`

4:11 na tena, `Watakuchukua mikononi mwao usije ukajikwaa mguu wako kwenye jiwe."`

4:12 Lakini Yesu akamjibu, "Imeandikwa: `Usimjaribu Bwana Mungu wako."`

4:13 Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.

HAYA MANENO YAKO, NI AYA IPI HAPO ???

1. Sababu ya Yesu kwenda jangwani ilikuwa ni kutafakari na kujiimarisha yeye binafsi katika siku 40 alizotumia kufunga baada kubatizwa na kutiwa mafuta.

2. Yesu alipokuwa jangwani ndipo alikutana moja kwa moja na Shetani mpinzani wa baba yake. Na huyo Shetani alitumia mbinu sawa na zile za bustani ya Edeni. Shetani Ibilisi alijaribu kumshawishi Yesu ili aonyesha ubinafsi, ajiinua, kumjaribu na kutomtegemea Mungu. Tofauti na Adamu, Yesu aliendelea kuwa muadilifu na, kwa mara nyingi Yesu alinukuu maandiko ambayo yalikuwa mapenzi ya Mungu. Na hiyo ilisababisha Shetani kushindwa kumshawishi na kuondoka zake, "mpaka wakati mwingine unaofaa."
 
Kwani hayo maneno yangu ni dhambi? Hiyo ni just expansion ili mtu aelewe!
Katika hayo maneno yangu kama unavyodai, ni neno lipi au statement hipi ambayo hukubaliani nayo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom