Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!
Mungu anakataza wizi ndani ya biblia. Kama wewe unaiba ingawa biblia haijakutaja directly, bado wewe ni mwizi kulingana na biblia sababu unaiba; Kwahiyo Malyenge utakuwa mwizi sababu unaiba. Ni logic tu hapo ambayo huelewi!
Ndiyo maana nasema Muhammad anatajwa indirectly kwa mantiki ya upinga Kristo.
Mpinga Kristo ni yule anayekataa Yesu hakusulubiwa; Muhammad alikataa kusulubiwa kwa Yesu; Kwahiyo, Muhammad ni mpinga Kristo.
 
Muhammad kwenye biblia hayumo!! Kwa hiyo hayo yote unayoongea ni upuuzi tu!!
Siyo upuuzi! Mpuuzi ni wewe husiye elewa. Elimu ya madrasa inayoongozwa na majini imewapumbaza, maana mlikita kwenye kukariri Quran pasipo ku analyse kama mnayosoma ni kweli.
 
Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!
Kama yamekushinda alamsik! Kafanye kazi kwa bidii utunze familia yako, bila kusahau sala 4 kwa siku kwa ajili ya Muhammad atakaye kuokoa husiende motoni. Zawadi za mabikira 72, whisky na beer zinawasubiri peponi.
 
Siyo upuuzi! Mpuuzi ni wewe husiye elewa. Elimu ya madrasa inayoongozwa na majini imewapumbaza, maana mlikita kwenye kukariri Quran pasipo ku analyse kama mnayosoma ni kweli.
Kukariri usichokijua kwa mwanadamu ni upungufu autakao kukufanya kiumbe dhaifu asiye na akili ya kufikiri kama kasuku, si yule mwenye utambuzi. Hawa wanajifinya wenyewe akili zao.
 
Nilijua tu utaanza kurusha maneno yasiyofaa....
 
Mimi huwa nawapa pole watu ambao bado wamefungwa kwenye minyororo ya dini. Jichomoeni huko, dini ya kweli ni wewe kufika katika level ya juu ya kujitambua ambapo hata kumchinja kuku hutaweza. Sembuse binadamu mwenzio! Ingekuwa Mungu ana hasira kiasi hicho juu ya wakosaji basi dunia angekuwa ameingamiza kwa makombora zaidi ya nyuklia.
 
Kukariri usichokijua kwa mwanadamu ni upungufu autakao kukufanya kiumbe dhaifu asiye na akili ya kufikiri kama kasuku, si yule mwenye utambuzi. Hawa wanajifinya wenyewe akili zao.
Unajua mkuu kusoma kunatia ndani kuelewa, kufikiria na kuhoji unachosoma.
Sasa hawa wenzetu wameweka kukariri mbele zaidi kuliko kusoma kwaku question Quran yao.
 
Unajua mkuu kusoma kunatia ndani kuelewa, kufikiria na kuhoji unachosoma.
Sasa hawa wenzetu wameweka kukariri mbele zaidi kuliko kusoma kwaku question Quran yao.
Huo ndio mbinyo mkubwa ktk sehemu kubwa ya ubongo wao wa utambuzi, ukiyafuatilia wanayoyaamini unacheka hadi ufe. Waajabu sana hawa, hata mchanga asingewaamini.
 
Nilijua tu utaanza kurusha maneno yasiyofaa....
Maneno gani yanayofaa ambayo unarusha wewe? Wewe Malyenge mimi siyo mgeni nawe tunakujua jinsi unavyo kebehi ukristo na biblia kutokana na ignorance yako. Na tuko hapa kukuweka sawa ili uondokane na ubweha!
 
Sikebehi. Ninyi ndio mnakebehi uislam.
 
Sikebehi. Ninyi ndio mnakebehi uislam.
Ndugu Malyenge, dini ya kiislamu ndiyo pekee duniani ambayo ina kebehi ukristo waziwazi ndani ya Quran. Na mkebehi mkuu ni mtume wenu Muhammad ambaye alidharau biblia, wayahudi na wakristo. Haishangazi leo muislamu ana amini akiua mkristo anaenda zawadiwa bikiri na vileo!
 
Jibu kwa maandiko. Toa andiko katika yote hayo usemayo.
 
Vipi kuhusu Mathayo 4:1 nayo ni kebehi?
Sioni ukebehi hapo wa Mathayo:4.1
"Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi."

Wanadamu wote tunapata majaribu na Shetani, ni jambo la kawaida lakini Mungu ametuambia tukimkaribia yeye shetani atakimbia mwenyewe kama alivyomkimbia Yesu.
 
Sioni ukebehi hapo wa Mathayo:4.1
"Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi."
Hamna kebehi kwa hiyo ni kweli roho alipelekwa nyikani kwa ibilisi...yaani jini ama shetani right??
 
Hamna kebehi kwa hiyo ni kweli roho alipelekwa nyikani kwa ibilisi...yaani jini ama shetani right??
Wanadamu wote tunapata majaribu na Shetani, ni jambo la kawaida lakini Mungu ametuambia tukimkaribia yeye shetani atakimbia mwenyewe kama alivyomkimbia Yesu.
 
Kwa hiyo roho alimpeleka Yesu nyikani kwa jini ama shetani sawa?
 
Wanadamu wote tunapata majaribu na Shetani, ni jambo la kawaida lakini Mungu ametuambia tukimkaribia yeye shetani atakimbia mwenyewe kama alivyomkimbia Yesu.
Sijazungumzia kukimbia kwa shetani. Nazungumzia Yesu kupelekwa kwa shetani nyikani na roho mtakatifu. Hilo lilifanyika ama halikufanyika?
 
Kwa hiyo roho alimpeleka Yesu nyikani kwa jini ama shetani sawa?
Yesu alipandishwa nyikani na roho siyo kupelekwa. Neno roho ni pana sana, inawezekana Yesu alikuwa katika hali ya kiroho huko nyikani au roho (spirit creature) alimpandisha nyikani.
 
Yesu alipandishwa nyikani na roho siyo kupelekwa. Neno roho ni pana sana, inawezekana Yesu alikuwa katika hali ya kiroho huko nyikani au roho (spirit creature) alimpandisha nyikani.
Kwenye Mathayo 4:1 neno ROHO limetumika si katika mapana yake bali NENO ROHO limekusudia ROHO MTAKATIFU. Na kupandishwa nyikani maana yake ni kupelekwa. Hilo halina shaka. Anyway huyo SPRITUAL CREATURE atakuwa ni mtakatifu hawezi kuwa shetani. Kwa hiyo mtakatifu akampeleka Yesu nyikani kwa Ibilisi. Hilo halina shaka!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…