V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 528
Mungu anakataza wizi ndani ya biblia. Kama wewe unaiba ingawa biblia haijakutaja directly, bado wewe ni mwizi kulingana na biblia sababu unaiba; Kwahiyo Malyenge utakuwa mwizi sababu unaiba. Ni logic tu hapo ambayo huelewi!Umeshakiri Muhammad hayumo kwenye biblia mada ishaisha. Huna hoja tena. Yaliyobaki unayoongea ni ubabaishaji!!!
Ndiyo maana nasema Muhammad anatajwa indirectly kwa mantiki ya upinga Kristo.
Mpinga Kristo ni yule anayekataa Yesu hakusulubiwa; Muhammad alikataa kusulubiwa kwa Yesu; Kwahiyo, Muhammad ni mpinga Kristo.