Kwani hayo maneno yangu ni dhambi? Hiyo ni just expansion ili mtu aelewe!
Katika hayo maneno yangu kama unavyodai, ni neno lipi au statement hipi ambayo hukubaliani nayo?
Kwani hayo maneno yangu ni dhambi? Hiyo ni just expansion ili mtu aelewe!
Katika hayo maneno yangu kama unavyodai, ni neno lipi au statement hipi ambayo hukubaliani nayo?
Maneno yangu hayako contradictory na Luka 4:1-13. Kama hipo eleza badala kupinga jambo ambalo nahisi ulielewi!Maneno yako yatakuwa ni dhambi kwani kila mmoja ana maneno yake na expansion yake . Sasa tumwamini nani ??
kama hayo maelezo yako uliyapata kwenye tafsiri ya maneno ya luka yaliyofanywa na Luka mwenyewe ningaliamini
Sasa hiyo picha ndiyo jibu au unatafuta marumbano na ugomvi? Mbona unakosa busara? Wewe kama muislamu unapaswa kueshimu dini za wengine kama jinsi nyiye mnavyolazimisha wakristo wasimtukane Muhammad.
Maneno yangu hayako contradictory na Luka 4:1-13. Kama hipo eleza badala kupinga jambo ambalo nahisi ulielewi!
Sasa hiyo picha ndiyo jibu au unatafuta marumbano na ugomvi? Mbona unakosa busara? Wewe kama muislamu unapaswa kueshimu dini za wengine kama jinsi nyiye mnavyolazimisha wakristo wasimtukane Muhammad.
Kwani maelezo yangu yanapingamana na Luka 4:1-13? Katika kusoma biblia au kuhubiri inabidi utoe explanation kwa anayetaka kujua ili aelewe. Wewe unachoniambia mimi ni kusoma tu bila kutoa maelezo.Na kila atayetoa maelezo yake atasema maneno hayo hayo kama wewe .
Kama huna tafsiri au maelezo ya Luka mwenyewe ni dhana tu na hiyo haikubaliki ki sheria
Kwahiyo hiyo drawing ni Muhammad, Allah, Shetani au Isa bin Mariam?Kwani nimetukana hapo ??? kuna tusi hapo au ndiyo yale ya dhana ambayo unaendelea kutuandikia. Mimi sijasema kitu chochote hapo
Kwahiyo hiyo drawing ni Muhammad, Allah, Shetani au Isa bin Mariam?
Ok kumbe Isa bin Mariamu!Sasa umeanza yale unayoyapenda , kutukana . Huyo ni Yule tunayeambiwa alikuwa na Baba wawili Na hapo amebebwa Na kipenzi chake
Mbona anafanana na Shetani Allah pamoja na Muhammad?Sasa umeanza yale unayoyapenda , kutukana . Huyo ni Yule tunayeambiwa alikuwa na Baba wawili Na hapo amebebwa Na kipenzi chake
Ok kumbe Isa bin Mariamu!
Kwani maelezo yangu yanapingamana na Luka 4:1-13? Katika kusoma biblia au kuhubiri inabidi utoe explanation kwa anayetaka kujua ili aelewe. Wewe unachoniambia mimi ni kusoma tu bila kutoa maelezo.
Biblia haisomwi kama quran kwa kukariri! Sheria ya Quran kwa kukariri sawa, lakini si sheria ya biblia.
Ndiyo hoja zako sikuhizi? Umefilisika kimawazo na kifikra wewe. Tumekuzoea kwa kuleta utumbo wako hapa!Aliyekuwa Na Baba wawili kwani humjui??
Ndiyo hoja zako sikuhizi? Umefilisika kimawazo na kifikra wewe. Tumekuzoea kwa kuleta utumbo wako hapa!
Mkuu, unajua uislamu unachanganya dini na utawala. Ukristo na mafundisho ya biblia hauwatakiwi kuchanganya dini na utawala. Inaweza ikahojiwa kwamba nchi zisizo za kiislamu zina ustaarabu kuliko nchi za waislamu.Inasikitisha lkn kama wametenda makosa kama kuua ni haki yao kukatwa kichwa.Hii itaonekana kama ni ukatili kumkata kichwa lkn ni sawa tu na kuua kwa risasi.
Kama una nia thabiti ya kuhiji kwa ajili ya kutegemea malipo kutoka kwa Allah(s.w),huwezi kukatishwa tamaa na unyama unaofanywa na viumbe dhalili.Usimuogope kiumbe bali muogope Allah tu,,InshaAllah MwenyeziMungu akujaalie nia yako iwe sahihi,,,Ami[emoji120] [emoji120] [emoji120]Duuuuuuuh hadi hamu ya kwenda kuhij imekata.
Kwetu sisi waislam tunaamini Saudi Arabia ndio ardhi takatifu,sasa kusikia unyama kama huu unafanyika ktk ardhi hiyohiyo takatifu inaleta ukakasi sana...tena kwa interest za watawala na sio Dini!
Makala hii imenihuzunisha na kuniogofya sana,nasubiri muendelezo anyway.
Shukraan
Ndugu,sasa hivi tunapigania katiba mpya kwa kuwa tunaona katiba tuliyonayo ni kandamizi so utaona hata katiba zilizotungwa na watu pia ni mbaya.Kusema quran inafundisha ukatili si sawa,mbona mtu akiua anahukumiwa kunyongwa? Hapo huoni kama ni ukatili ila kukata kichwa tu!!!!!!Mkuu, unajua uislamu unachanganya dini na utawala. Ukristo na mafundisho ya biblia hauwatakiwi kuchanganya dini na utawala. Inaweza ikahojiwa kwamba nchi zisizo za kiislamu zina ustaarabu kuliko nchi za waislamu.
Huwezi kuta nchi inajiita serikali ya kikristo au nchi ambayo inahukumu kwa sheria kutoka kwenye biblia! Yesu alifundisha wafuasi wake wasiwe moja ya serikali.
Serikali nyingi za waarabu au uislamu zinahusisha Quran kama kitabu cha sheria kwa kuchanganya dini na utawala. Quran inafundisha wanadamu kuwa makatili kwa kuchukua sheria mikononi mwao, huo ni mfano wa UUNGU MTU kwa Ufalme wa Saudia!
Kwa kweli inasikitisha sana binadamu wana enjoy kuona mwanadamu mwenzao kukatwa kichwa kama mbuzi mbele ya kadamnasi! Mimi sijui ustaarabu wa waarabu huko wapi ingawa neno "ustaarabu" ni neno lenye asili ya kiarabu!!? Imagine ustaarabu gani wa kunywa mkojo wa ngamia, wakati mkojo wake usababisha magonjwa lakini waarabu wanakunywa eti ni dawa! Nini sababu? kasema Mtume Muhammad!