Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
MKUU BOLD UMETUFANYA KUWA WAHANGA WA MAKALA ZAKO,,,TUNAOMBA MUENDELEZO WA BINTI WA SRILANKA
 
Heheheheheheh sijui kama unafahamu shetani ibilisi Lucifer alikuwa nani kabla ya kuwa baba Wa uovu wote duniani.

Dini unayoamini inamkiri kuwa jamaa yupo .

Lakini ushawahj kujifunza asili yake?

You are uninformed and misinformed respectively.

Labda pengine ni kosa la vitabu mnavyoviamini.

MUNGU hakuumba majini ,mapepo na roho wachafu.

Hao matokeo ya uasi huko mbinguni kabla ya uumbaji Wa duniani .

Na chanzo cha yote ni uasi Wa Lucifer mmoja kati malaika wakuu na wenye nguvu sana pamoja na genge lake .

Kasome tena .
 
Ukiangalia yanayotokea duniani, wakati mwingine unaweza kukufuru kwamba pengine Mungu hayupo, kifo cha mtoto Rizana kimenifanya niichukie sana Saud Arabia japo nchi zote zinazotekeleza Sharia sizipendi hata ku-connect flight, lakini Saudi Arabia nimeichukia sana, Muacheni Mungu aitwe Mungu kwasababu kwa hali ya kawaida Mungu angekua na hasira za kawaida nadhani Saud Arabia pangechimbika
 
Kaka story ya mtoto rizana iliendelea mpaka mwisho??
 
Ndio maana Iran waliita Saudi Arabia taifa la kigaidi sababu matendo wanayofanya hayana tofauti na Isis na alqaeda kama kuchinja hadharani.
hata mafundisho ya imani kali zinazopelekea ugaidi yameanzia Saudi arabia.
 
Yani mimi NAWAHUKIA waarabu wote hua nikiwaona natibuka nyongo hua nashindwa kuelewa hawa wanoufuata uislamu, haya maarabu majitu yaliyowaua babu zetu na kuwapeleka utumwani.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Na pia UARABU na Uislam sio kitu kimoja(ingawa kuna vitu vinashabihiana)..we shud know that.
Na wewe ndo male wale maosema mchuzi wa ngurue hauna uhusiano na nyama ya ngurue. Uislam ndo uarabu ndo ugaidi period.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yani mimi NAWAHUKIA waarabu wote hua nikiwaona natibuka nyongo hua nashindwa kuelewa hawa wanoufuata uislamu, haya maarabu majitu yaliyowaua babu zetu na kuwapeleka utumwani.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Na wale watumwa kule America walipelekwa na waarabu?
Utumwa ulianza kabla hata waarabu na wazungu hawajakuja huku africa. Walianza kuuzana wenyewe kwa wenyewe....rudi shule bro
 
Kwanini the Bold kafungiwa?

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
ficha upumbavu wako wewe kima
 
Lengine na hakika umekurupuka na nikutoe shaka ikiwa una ref zilete madamu tu ziwe sahihi. Na zikiwa sahihi ntakufafanulia mana na hakika ref sahihi hazina utata ndani yake. Na zikiwe ref za kutunga ntakuacha nazo mwenyewd hazitakua na kazi nami.

kajifunza kwanza kuandika
 
Yani mimi NAWAHUKIA waarabu wote hua nikiwaona natibuka nyongo hua nashindwa kuelewa hawa wanoufuata uislamu, haya maarabu majitu yaliyowaua babu zetu na kuwapeleka utumwani.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni pumbafu na vihistoria vyako vya kidini kuna mtu aliyeua wa Afrika kama Mjerumani? Si bora kukatwa kichwa kuliko kuhalalisha kufirana mpaka makanisani acha ujuha soma historia za mataifa mbalimbali si kung'ang'ania hii uliodanganywa nayo hapa

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…