Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Secret gospel of Mark
And they come into Bethany. And a certain woman whose brother had died was there.
And, coming, she prostrated herself before Jesus and says to him, “son of David, have mercy on me.” But the disciples rebuked her.
And Jesus, being angered, went off with her into the garden where the tomb was, and straightway, going in where the youth was, he stretched forth his hand and raised him, seizing his hand.
But the youth, looking upon him, loved him and began to beseech him that he might be with him. And going out of the tomb they came into the house of the youth, for he was rich.
And after six days Jesus told him what to do and in the evening the youth comes to him, wearing a linen cloth over his naked body.
And he remained with him that night, for Jesus taught him the mystery of the Kingdom of God.
And thence, arising, he returned to the other side of the Jordan
[emoji15] nafanya jihadi nikunusuru na moto aliokuandalia allah [emoji117]Bange za Malawi zinakusumbua MGEN
unacho pigania nini wee muntu [emoji15] [emoji4]
[emoji15] nafanya jihadi nikunusuru na moto aliokuandalia allah [emoji117] View attachment 703890 wee unaona bange [emoji15] au unanaona kauli ya allah ni maskhara [emoji46] allah hana utani na mtoto wa mtu dogo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji15] nafanya jihadi nikunusuru na moto aliokuandalia allah [emoji117] View attachment 703890 wee unaona bange [emoji15] au unanaona kauli ya allah ni maskhara [emoji46] allah hana utani na mtoto wa mtu dogo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu si mafundisho ya Mungu
Kwa kweli, zaidi ya masimulizi ya Wainjilisti na wanaadamu wengine kwa ujumla, hakuna kamwe mafundisho sahihi ya Mungu yanayothibitisha kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu (a.s.). Kinyume chake, tunaona maandiko mengi ya Mungu yanashutumu vikali tendo zima la mtu kusulubiwa kwa kutundikwa mtini, kama lile linalodhaniwa kufanyika kwa Bwana Yes (a.s.)
Na ndio maana sambamba na kutoa amri ya Pasaka kabla ya kuzaliwa Yesu, tendo hilo (la mtu kutundikwa) mapema Mungu alilishutumu vikali kwa kusema:
"...kwa aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu..."
(Kumbukumbu la Torati 21:22-23).
Aidha, kabla ya shutuma hiyo (ya Mungu) dhidi ya mtu aliyetundikwa (aliyesulubiwa), Mungu alieleza bayana wasifu wa laana kwa mtu, kwa kusema:
"Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizapo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine".
(Kumb. 11:26-28)
Kuhusu laana, Mungu pia hakuacha kuelekeza mahali ambako laana yake hupatikana kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:
"Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki". (Mithali 3:33).
Kwa shuhuda hizo, tunachojifunza hapa ni kwamba yeyote aliyetundikwa (aliyesulubiwa) basi anahesabika kuwa amelaaniwa, asiyesikiza maagizo ya Mungu na kukengeuka njia yake, mshirikina (anayemuabudu Mungu pamoja na miungu mingine) na kwa ujumla mtu huyo ni mwovu. (rejea Mithali 3:33).
Zaidi ya hivyo, kwa maandiko hayo, yaonyesha wazi Mungu hafurahishwi na kwa ujumla hapendi tendo la mtu kusulubiwa. Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa dhana ya kusulubiwa Yesu ingelikuwa sahihi iwapo tu Mungu asingelishutumu tendo la mtu "kusulubiwa" kwa kiwango hicho, hasa unapolinganisha shutuma hizo (za Mungu) na hadhi, utukufu na ucha Mungu kwa ujumla wa Bwana Yesu (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu. Isitoshe, Mungu asingeacha kueleza tukio zito na 'muhimu' kama hilo kwa ufasaha, kwa uwazi na kwa maelezo ya kukinaisha.
Aidha, dhana hiyo ya kusulubiwa Yesu pia ingelikuwa ni sahihi na tendo la wokovu, iwapo tu Yuda Iskariote angeliitwa "Mwokozi wa kwanza" kwa 'kuharakisha' wokovu wa walimwengu, kinyume na anavyoitwa mpaka sasa kwamba ni "msaliti" aliyemsaliti Yesu! (tazama Mathayo 26:25). Kwani inasimuliwa kuwa ndiye aliyewaonyesha maadui wamuue Yesu baada ya kuahidiwa fedha (tazama Mathayo 26:14-15). Ni ajabu watu wa timu moja wamshutumu mtoa pasi kwa mchezaji aliyeifungia goli timu yao!
Vile vile dhana hiyo (ya kusulubiwa Yesu) ingekuwa sahihi na tendo la "ukombozi" wa wanaadamu, iwapo tu Yesu asingemkemea mapema yule atakayemsaliti kwa kumwambia:
"...Lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa". (Mathayo 26:24)
Kinyume na andiko hilo juu, dhana ya kusulubiwa Yesu ingekuwa sahihi na nzuri iwapo Yesu angelimpongeza yule atakayemsaliti, kwa kumwambia:
"Lakini pongezi zake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Imekuwa heri kwake mtu yule amezaliwa".
Na kubwa zaidi, masimulizi ya Mwinjilisti Mathayo ya kudai kuwa eti Yesu alipokuwa msalabani alisema: "... Eloi, Eloi, lamasabakhtani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Tazama Mathayo 27:46) yanapingwa vikali na mwenyewe Bwana Yesu (a.s.) kwa kusema:
"Naye aliyenipeleka yu pamoja nami; hakuniacha peke yangu, kwa sababu nafanya siku zote yale yampendezayo". (Mathayo 8:29).
Kwa kauli hiyo peke yake ya Yesu inadhihirisha wazi kuwa yule aliyekuwa akilalamika kuachwa na Mungu hapo msalabani hakuwa Yesu. Yesu hawezi kuachwa na Mungu kwa sababu kama mwenyewe anavyoeleza katika andiko hilo hapo juu kwamba siku zote hufanya yanayompendeza Mungu.
Na kwa ujumla ukombozi wa wanaadamu kamwe haupatikani kwa njia ya laana (kusulubiwa) ambayo i katika nyumba ya waovu. (Mithali 3:33).
MISALABA
Wakristo wengi hafahamu kuwa, alama za kwanza kabisa za ukristo zilikuwa ni alama ya samaki kwa kumaanisha ndie kristo. On sacramental cups, seals, and lamps na roho mtakatifu akapewa alama ya njiwa (huwa - dove) (perhaps because at the time, fish was one of the elements of the sacred meal), au kwa alama ya mchungaji aliyebeba kondoo mabegani. (Luke 15:3-7) na si misalaba kama tuonavyo ivi leo. Misalaba ilikuja kupatikana miaka michache baada ya kuondoka Nabii Yesu. Na hii ni baada ya kuasisiwa na bwana Paulo. Kwa kusema laana ya kusurubiwa kwa Yesu ndo ilotukomboa kutoka kwenye dhambi. (Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya Sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa (Galatians 3:13).
Historia inatufahamisha kuwa, alama za kutumia misalaba zilikuwa ni alama za dini za kale za kipagani. Miaka mingi kabla ya kuja Nabii Yesu. Mfano mmoja wapo ni kule India, wao walitumia misalaba kwa kumnasibisha na mungu wao mpendwa aitwae Agni (" Agni light of the world."), na msalaba huu ulikuwa unawekwa mikononi mwa miungu hii ifuatayo, Siva (Śiva tamka ‘Shiva), Brahma, Vishnu, Krishna, Tvashtri, na Jama.
Misalaba haitumiwi na wahindu tu, hata hii dini ya kibudha, huitumia kama miongono mwa alama zao za kidini. Na haswa wafuasi wa Lama of Thibet. Wamiisri wa kale (The ancient Egyptians) walitumia misalaba kwenye dini zao za kipagani. Alama nyingi nyingi zilizo ifadhiwa kule Misri zinaonyesha miungu yao wakiwa wamekamata misalaba mikononi. Mmoja wa miungu hiyo ni huyu aitwae “Mkombozi Horus” (the Egyptian savior Horus). Vile vile uonyeshwa kwenye michoro na masanamu yao ya mtoto aliye pakatwa na mama yake na huku amekamata msalaba. Mslaba ulokuwa maalufu ukitumika sana kipindi hicho cha dini za kipagani huko misri ulijulikana kwa jina la the CRUX ANSATA. Msalaba huu baadae ulirithiwa na wakristo. Vile vile mkombozi Osiris (OSIRIS.)mungu wa wa Kimisri, ajulikanae kama mungu wa mauti na wafu walioko kuzimu, naye pia huchorwa akiwa amekamata, au kushika msalaba, huku akimuonyesha mtu kwa kumaanisha kuwa binadamu huyo siku zake za kuisho zimekwisha na anatakiwa kuzimu. Misalaba mingine ilifukuliwa kule Ireland. Misalaba iliyokuwa ikiabudiwa na Wairani wa zamani. Ikimuwakilisha Mithra (angalia Mithraism) akiwa na Dubu. (god of the sun). Wagiriki na Warumi wa kale nao waliitumia misalaba kwenye dini yao karne nyingi kabla ya kuja ukristo. Misalaba mingi ya dini za kale unaweza kuipata kwenye mapango ya mfalme Midas kule Phrygia. (the tomb of king Midas in Phrygia)The great luminary of the Church, Saint Augustine (354-430 C.E.), amenukuliwa akisema:"The same thing which is now called CHRISTIAN RELIGION existed among the ancients. They have begun to call Christian the true religion which existed before."Bwana James Bonwick alisema maneno haya;"Our love for what is old, our reverence for what our fathers used, makes us keep still in the church, and on the very altar cloths, symbols which would excite the smile of an Oriental, and lead him to wonder why we send missionaries to his land, while cherishing his faith in ours". Na ndio sababu, kutokana na uzito wa shutuma za Mungu dhidi ya mtu anayesulubiwa (kama tulivyoona hapo awali), Mwenyezi Mungu katika Qur'an Tukufu akaeleza wazi kwamba:
"Hawakumwua wala hawakumsulubu."
(Qur. 4:158).
Kwa maandiko haya na mengine mengi niliyo kwisha yaeleza kabla ni dhahiri kuwa dhana ya kufa na kufufuka Yesu katu haimo katika mafundisho ya Mungu. Na kwa mantiki hiyo, Pasaka iliyofundishwa na Mungu haina uhusiano wowote na dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu hasa ukizingatia kuwa Pasaka hiyo (ya Mungu) imekuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa, na pia kufa na kufufuka kwa Yesu ni jambo lililozuliwa na wanaadamu baada ya Yesu kuondoka kama tutakavyokuja kuona hapo baadae, Insha’Allah.
hayo maneno kwenye hicho kipande cha karatasi hata kwenye kanga yapo [emoji38] [emoji38]
kisilamu silamu amepatia huyo uliko c$p [emoji106] nikuulize [emoji120] jee [emoji117] View attachment 704349 ndio mafundisho ya Mungu [emoji351] [emoji351] mungu aseme nimewafananishia yaani [emoji117] View attachment 704364 mbabaishaji [emoji15] [emoji38] halafu anasema wanahitilafiana kuhusu hicho kisa [emoji4] mnaohitilafiana ni nyinyi ndugu ktk Adam [emoji4] kadiani anasema kafa sunni wanasema walahi hajafa [emoji38] [emoji38] hakuna Mkristo hata mmoja mwenye shaka na kisa cha kufa na kufufuka kwa Yesu! sana sana [emoji117] View attachment 704372 [emoji123] [emoji106]
View attachment 704373 [emoji38] [emoji38]
utapiga kelele mpaka ukalale na ukiamka endelea tena na tena...ukweli bado umesimama kwamba ilimu ya Roho huna na hata unae muabudu kakupasha [emoji117]Mimi sizungumzii kadiani wala suni anavyosema .
Nakuwekea biblia inavyosema, Kusuka au kunyoa ni kazi yako si yangu
Yesu mwenyewe aliwahi kumla Pasaka
Ili kuonyesha zaidi kwamba Pasaka haina uhusiano wowote na dhana potofu ya kufa na kufufuka kwa Yesu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa Bwana Yesu naye kabla ya kuondoka aliwahi kumla Pasaka. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu.
"Hata siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Ni wapi utakapo tuende tukuandalie uile Pasaka? Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni; na popote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, ki wapi chumba cha wageni, niile Pasaka humo, pamoja na wanafunzi wangu? Naye mwenyewe atawaonyesha orofa kubwa, imeandikwa tayari; humo tuandalieni. Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka. Basi ilipokuwa jioni yuaja na wale Thenashara, wakila, Yesu alisema, Amin, naawaambieni, mmoja wenu, naye anakula pamoja nami atanisaliti".
(Marko 14:12-18)
Kufuatana na maandiko hayo juu, tunaona hapa kwamba Bwana Yesu aliwatuma wanafunzi wake wakaandaa mahali atakapomla pasaka na wala haielezwi kwamba aliwatuma wakaandaa mahali "yeye atakapokufa kwa pasaka". Aidha, haielezwi kwamba wanafunzi wake walipochinja, walimchinja Yesu kuwa Pasaka. Lakini tunaona kuwa baada ya kupatikana hicho chumba na maandalizi kwa ujumla kukamilika, naye Yesu pia alimla Pasaka. Hii yote ni kudhihirisha kuwa Pasaka ni mnyama anayechinjwa na kuliwa na siyo binadamu. Na kwamba Pasaka ilifanyika mwenyewe akiwa hai na wala hajafundisha kwamba Pasaka ni kufa na kufufuka kwake.
Mapinduzi ya Paulo dhidi ya Pasaka aliyefundishwa na Mungu!
Pamoja na Mungu kufundisha wazi kwamba Pasaka ni mnyama (kondoo, ng'ombe au mbuzi) anayetakiwa achinjwe na kuliwa kwa utaratibu na kwa lengo maalum kama tulivyoona hapo awali, lakini Paulo hakukubaliana kabisa na mafundisho hayo ya Mungu. Yeye alikuja na mafundisho mapya kabisa. Tofauti na Pasaka yule aliyefundishwa na Mungu, Paulo alikuja na Pasaka wake, kama mwenyewe anavyosema hapa chini:
"Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani Kristo".
(1 Wakorintho 5:7)
Kulingana na maelezo yake hayo juu, mbali na kuwataka watu waache kufuata anavyokiri kuwa ni kuishika sheria za Torati (angalia Wagalatia 3:10-13 na Warumi 7:14), katika juhudi zake hizo za kupindua mafundisho ya Mungu, Bwana Paulo amejaribu kumgeuza Yesu kuwa ndiye Pasaka badala ya mnyama (kondoo, ng'ombe au mbuzi) aliyefundishwa na Mungu, na Yesu mwenyewe kabla hajaondoka!
Kwa shuhuda hiyo, ni dhahiri kuwa Bwana Paulo ndiye muasisi mkuu wa dhana ya kuchinjwa (kusulubiwa), kufa na kufufuka kwa Yesu. Vinginevyo asingethubutu kumwita Yesu kuwa ni "Pasaka" kwani hilo siyo fundisho la Mungu.
Azma ya Paulo dhidi ya mafundisho ya Mungu tangu awali
Hapo juu tumeona jinsi Bwana Paulo alivyogeuza Pasaka wa kweli aliyefundishwa na Mungu. Pamoja na mapinduzi yake hayo, Bwana Paulo tangu awali hakuficha azma yake juu ya Bwana Yesu. Mara tu alipofika hakuhofu kuutangazia wazi umma kwa kusema:
"Basi, ndugu zangu, mimi nilipokuja kwenu, sikuja niwahubiri siri ya Mungu kwa ufasaha wa maneno, wala kwa hekima. Maana naliazimu nisijue neno lolote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulubiwa". (1 Wakorintho 2:1-2).
Kwa maelezo yake hayo, kikubwa alichoazimia Paulo kukieneza kwa watu si kingine isipokuwa "kusulubiwa tu kwa Yesu"! Ambapo msingi wa kusimamisha dhana yake hiyo aliona aanze kumwita Yesu kuwa ni pasaka. Dhamira yake ikiwa ni kupotosha mafundisho sahihi ya Mungu kuhusu pasaka apate kumchinja Yesu kinadharia ili dhana yake (ya Yesu kusulubiwa) isimame!
Hitimisho
Kama tulivyoona shuhuda nyingi za maandiko ya Biblia, jambo la kusisitiza hapa ni kwamba, sikukuu ya Pasaka iliwekwa na Mungu kwa ajili ya kumbukumbu ya kukombolewa wana wa Israeli kutoka nchi ya Misri (tazama Kumbukumbu la Torati 16:3); na siyo kufa na kufufuka kwa Yesu kama inavyodaiwa na Wakristo. Aidha, tumeona kuwa dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu haimo kabisa katika mafundisho ya Mungu, bali ni katika mafundisho ya Paulo ambayo mara nyingi amekuwa akieleza wazi kuwa mafundisho yake ni ya kibinadamu (tazama Wagalatia 5:15)
Aidha, dhamiri ya Bwana Paulo kuibua mafundisho yake hayo kama tulivyoona ilikuwa ni kufanya mapinduzi dhidi ya mafundisho ya Mungu.
Kwa mantiki hiyo basi, ni wazi kuwa imani hiyo (ya msalaba) haitomsaidia kitu mwanadamu hasa kwa kuwa lengo lake ni kutaka watu waache kufuata amri na sheria za Mungu (kama atakavyo Bwana Paulo), badala yake wategemee damu bandia ya Yesu!
Umefika wakati wa wanaadamu kujiepusha na imani potofu (kama hizo za kusulubiwa Yesu) na badala yake waanze mara moja kufuata maamrisho ya Mungu kwani hata Yesu mwenyewe alipoulizwa na mtu mkubwa mmoja "nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?" Yesu hakumwambia "nitakaposulubiwa na kufa ndiko kutakakofanya upate uzima wa milele", hapana! Lakini Yesu alimwambia hivi:
"...wazijua amri; usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo... Viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha njoo unifuate".
(Luka 18:18-22)
"Nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzuliya uwongo Mwenyezi Mungu, au anaye sema: Mimi nimeletewa wahyi; na hali hakuletewa wahyi wowote. Na yule anaye sema: Nitateremsha kama alivyo teremsha Mwenyezi Mungu. Na lau ungeli waona madhaalimu wanavyo kuwa katika mahangaiko ya mauti, na Malaika wamewanyooshea mikono wakiwambia: Zitoeni roho zenu! Leo mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyasema juu ya Mwenyezi Mungu yasiyo ya haki, na mlivyo kuwa mkizifanyia kiburi Ishara zake."
Al -An'am 6.93
Je msalaba siyo alama ya upagani?[/paste:font]
Posted by Besty
/ Comments: (0)
Siri zilizomo Kanisani am
utapiga kelele mpaka ukalale na ukiamka endelea tena na tena...ukweli bado umesimama kwamba ilimu ya Roho huna na hata unae muabudu kakupasha [emoji117] View attachment 704512 ndio sababu unamwaga pumba humu [emoji4] sisi Wafuasi wa Yesu hatuna shaKa kuwa kisa cha Msalaba ni Dhahir [emoji106] na Tunaamini [emoji117] View attachment 704513 [emoji123] [emoji106]
utapiga kelele mpaka ukalale na ukiamka endelea tena na tena...ukweli bado umesimama kwamba ilimu ya Roho huna na hata unae muabudu kakupasha [emoji117] View attachment 704512 ndio sababu unamwaga pumba humu [emoji4] sisi Wafuasi wa Yesu hatuna shaKa kuwa kisa cha Msalaba ni Dhahir [emoji106] na Tunaamini [emoji117] View attachment 704513 [emoji123] [emoji106]
Kwa taarifa yako msalaba umekuwa nongwa hasa kwa wakatoliki.
Kwani huchora alama ya msalaba kila waingiapo kanisani, kunywa au kula, wakati wa kulala wakati wa kuamka n.k
Pia msalaba huchorwa kwenye mwili wa mtu tangu siku ya kuzaliwa (kubatizwa) hadi kuzikwa huku kaburi lake likiubeba milele !
Kwa waroma msalaba uko kila mahali. Kwenye meza, makanisa, hata tumbo la kanisa limejengwa kwa ishara ya msalaba, hata kwenye vikombe wanavyotumia kanisani hufunikwa kwa kitambaa chenye alama ya msalaba.
Kwa taarifa yako ni kwamba padre hufanya alama ya msalaba mara 16 wakati akiendesha misa huku akiongeza mara 30 za kuibariki altare!
Kama kweli msalaba ni alama ya laana na ya kipagani huku ni kufanya nini kama siyo kuwalaani waumini hata madhabahu yao. Je hapa kunaweza kuepukika kwa mabalaa na majanga yanayolikumba kanisa kama vile ulawiti na uzinzi wa mapadre wake?
Imekuwa ni jadi kwa mkristo kujilaani kwa kila afanyalo. Hali wala hanywi bila kujitia alama hii ya laana.
Hata tukiambwa kuwa msalaba unatumiwa kama alama ya kusulubiwa kwa Yesu ambaye ni alama ya ukombozi wa kinjozi, bado haiingii akilini kwani zana na nyenzo hii ilianza kutumika kabla ya kuzaliwa na kusulubiwa kwake.
Je ni wapi ukiachia siku ya kusulubiwa ulipoona Yesu na wanafunzi wake wakiongozana na msalaba kwenye shughuli zao za kueneza injili?
Huko Misri, Ugiriki , Syria na Karthago, Palestina na Roma msalaba pia ulitumika kuwaadhibia wahalifu waliokuwa wametenda maovu makubwa kama alama ya kulaaniwa kwao.
Kimsingi msalaba na matumizi yake vimepotoshwa sana kama ilivyo kwa dhana kuu ya ubaba.
Soma Matayo 23:9-11. tukiache magube ya kanisa, hili liko wazi kuwa msalaba hauna uhusiano na ukristo wala dini aliyoileta Yesu.
Huenda tukikubali kusema kuwa Ukristo siyo dini aliyoleta Yesu twaweza kuyakumbatia na kuyakubali matumizi ya msalaba kwa raha bila ubishi.
Lakini si kosa la kanisa. Kwani kama hadi leo halijamjua Yesu mwenyewe litajuaje upogo na najisi ya msalaba kwa kazi ya Mungu?
Tuhitimishe kwa kumnukuu Bwana J. D. Parsons katika kitabu chake kiitwacho The Non-Christian Cross anaelezea kuwa:
“There is not a single sentence in any of the numerous writings forming the New Testament, which, in the original Greek, bears even indirect evidence to the effect that the stauros used in the case of Jesus was other than an ordinary stauros; much less to the effect that it consisted, not of one piece of timber, but of two pieces nailed together in the form of a cross.”
Nakaribisha hoja juu ya kuyavinjari haya tunayoletewa.
Huu ndiyo wakati muafaka wa kuhoji na kuhoji na kuhoji hadi kweli ipatikane ili ituweke huru kweli kweli.
Tumsifu Yesu Kristo gavana! hebu, kipindi hiki cha toba Isali Zaburi ya 51 huku ukikumbuka kwamba Huruma ya Mungu ina Kikomo [emoji120] nakupenda hadi najihadika nikunusuru na ahadi ya allah!A serious forgery in Luke 24:44-48 about Jesus' "resurrection on the third day" claiming that it was foretold in the OT when it wasn't!
Let us look at Luke 24:44-48 from the NIV Bible:
Luke 24
44 He said to them, "This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms."
45 Then he opened their minds so they could understand the Scriptures.
46 He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day,
47 and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem.
48 You are witnesses of these things.
There is a serious forgery in Luke 24:44-48! It says that it is written that Jesus will die and resurrect on the third day.
Where in the Old Testament do you have that?!
Show me one Old Testament verse that prophesized about Jesus' third day resurrection?
Tumsifu Yesu Kristo gavana! hebu, kipindi hiki cha toba Isali Zaburi ya 51 huku ukikumbuka kwamba Huruma ya Mungu ina Kikomo [emoji120] nakupenda hadi najihadika nikunusuru na ahadi ya allah!
hakuna fogery hapo ilaha hizi hapa [emoji117] View attachment 705392 [emoji117] View attachment 705393 View attachment 705394 badala ya kutuuliza kama ulivyo agizwa umebakia forgery forgery [emoji15] [emoji33] [emoji33] hii [emoji117] ndio pumba haswaKumsifu kwako yesu na kusoma hiyo zaburi yako ndio imeondosha forgery kwenye Luke24:44
A serious forgery in Luke 24:44-48 about Jesus' "resurrection on the third day" claiming that it was foretold in the OT when it wasn't!
Let us look at Luke 24:44-48 from the NIV Bible:
Luke 24
44 He said to them, "This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms."
45 Then he opened their minds so they could understand the Scriptures.
46 He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day,
47 and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem.
48 You are witnesses of these things.
There is a serious forgery in Luke 24:44-48! It says that it is written that Jesus will die and resurrect on the third day.
Where in the Old Testament do you have that?!
Show me one Old Testament verse that prophesized about Jesus' third day resurrection?
Kumsifu kwako yesu na kusoma hiyo zaburi yako ndio imeondosha forgery kwenye Luke24:44
A serious forgery in Luke 24:44-48 about Jesus' "resurrection on the third day" claiming that it was foretold in the OT when it wasn't!
Let us look at Luke 24:44-48 from the NIV Bible:
Luke 24
44 He said to them, "This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms."
45 Then he opened their minds so they could understand the Scriptures.
46 He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day,
47 and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem.
48 You are witnesses of these things.
There is a serious forgery in Luke 24:44-48! It says that it is written that Jesus will die and resurrect on the third day.
Where in the Old Testament do
hakuna fogery hapo ilaha hizi hapa [emoji117] View attachment 705392 [emoji117] View attachment 705393 View attachment 705394 badala ya kutuuliza kama ulivyo agizwa umebakia forgery forgery [emoji15] [emoji33] [emoji33] hii [emoji117]ndio pumba haswa [emoji117]![]()
![]()
hakuna fogery hapo ilaha hizi hapa [emoji117] View attachment 705392 [emoji117] View attachment 705393 View attachment 705394 badala ya kutuuliza kama ulivyo agizwa umebakia forgery forgery [emoji15] [emoji33] [emoji33] hii [emoji117] ndio pumba haswa
Biblia Takatifu haikuandikwa kama atakavyo gavana [emoji15] [emoji12]Show me one Old Testament verse that prophesized about Jesus' third day resurrection?
A serious forgery in Luke 24:44-48 about Jesus' "resurrection on the third day" claiming that it was foretold in the OT when it wasn't!
Let us look at Luke 24:44-48 from the NIV Bible:
Luke 24
44 He said to them, "This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms."
45 Then he opened their minds so they could understand the Scriptures.
46 He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day,
47 and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem.
48 You are witnesses of these things.
There is a serious forgery in Luke 24:44-48! It says that it is written that Jesus will die and resurrect on the third day.
Where in the Old Testament do you have that?!
Show me one Old Testament verse that prophesized about Jesus' third day resurrection?