Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ndiyo aya ya old testament hiyo umeletaBiblia Takatifu haikuandikwa kama atakavyo gavana [emoji15] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo aya ya old testament hiyo umeletaBiblia Takatifu haikuandikwa kama atakavyo gavana [emoji15] [emoji12]
[emoji12] angalia ulicho post ndio ile fani [emoji350] [emoji350] [emoji33]Ndiyo aya ya old testament hiyo umeleta
[emoji12] angalia ulicho post ndio ile fani [emoji350] [emoji350] [emoji33]
Safi, Mgeni.Biblia Takatifu haikuandikwa kama atakavyo gavana [emoji15] [emoji12]
Huyo neno alifanyika mwili au alijifanya mwili? Mbona mnajikanyaga sana katika maandiko? Ndio maana dini yenu imekaa ki dili dili....Safi, Mgeni.
Wewe umekamilika katika kulithibitisha NENO la Mungu.
Naye NENO ndiye Mungu,
NENO akafanyika mwili na akakaa kwetu, kama alivyomtembelea Ibrahimu katika umbo la mwili pale "Mwanzo 18"
Nasi wenye dhambi tukauona utukufu wake kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, (kumbe sio Mwana ni Yeye) Amejaa Utukufu na Mamlaka.
Heri yao wasio na shaka Naye, waliomtambua Akiwa katika umbo la mwili, kama alivyomtambua Ibrahimu pale Mwanzo 18, ukianza na aya ya kwanza tu.
Je Wewe ungekuwa Ibrahimu ungewatambua wale watu watatu wakikutembelea ghafla, hata sasa utawatambua ?
Je kati yao hao ungemtambua Mungu ni yupi, kama alivyomtambua Ibrahimu ?
Basi kama zama zile za Ibrahimu, Mungu alimtokea Ibrahimu akiwa katika umbo bora la Binadamu,
zama hizi za Agano Jipya Mungu amekuja kutukomboa akiwa katika umbo la mwanadamu kama wakati wa Ibrahimu.
Nimefurahi Mgeni umemtambua, hata abadilike vipi wewe Mgeni utamtambua tu.
Kama unavyoutambua mwendo wa baba yako mzazi au mama.
Hata avae vazi la namna gani wewe Mgeni utamjua tu.
Utamjua kuwa huyu ni Bwana wangu na Mungu wangu, kwani hutaangalia umbo bali utaiona Tabia, Utukufu, Uwezo, Mamlaka, Nguvu, Utisho, Upendo wa Kimungu ndani ya huyo unayemwona hapo karibu.
Bahati hii wamejaaliwa Watoto wa Mungu pekee.
Wanamjua Mungu wao hata aje katika umbo la Upepo wa Kisurisuri, au umbo la Moto, Radi, Wingu, Nguzo ya Maji, au umbo laBinadamu, au aina zote za umbo hao wanamtambua kama alivyomtambua Babu yao Mzee Ibrahimu.
Itaendelea, Mgeni.
Inaendelea.
Alifanyika, au alijifanya, yote sawa tu, ni kwamba,Huyo neno alifanyika mwili au alijifanya mwili? Mbona mnajikanyaga sana katika maandiko? Ndio maana dini yenu imekaa ki dili dili....
Mungu ana watoto? Unaona ulivyo mweupe kwenye elimu ya dini!Alifanyika, au alijifanya, yote sawa tu, ni kwamba,
"amekuwa Binadamu"
Amejivika mwili kama ule aliomvika Adamu.
Ili azungumze na watoto wake bila shida, bila kuwatia hofu.
Ili awaeleze ukweli ulivyo kwa ufasaha.
Mwulize Nabii wako Ibrahimu, alipomtembelea nyumbani kwake akiwa katika umbo la binadamu,Mungu ana watoto? Unaona ulivyo mweupe kwenye elimu ya dini!
Eti Muungu ajibadilishe awe kama binadamu ili aongee na sisi bila shida....
Hivi ni vichekesho....
Alipo plan kutuumba ina maana alidhani atazungumza na sisi bila shida ila baadaye alipotuumba akagundua ni shida mpaka ajibadilishe awe kama sisi? Mungu gani huyo ambaye hajui kitakachotokea baadaye?
Hamna kitu kama hicho acha ubabaishaji!Mwulize Nabii wako Ibrahimu, alipomtembelea nyumbani kwake akiwa katika umbo la binadamu,
Soma kitabu cha Mwanzo 18,1...
Mungu wa Mgeni anaweza kujigeuza katika umbo lolote analotaka na kwenda popote anapoamua.
Watoto wake wanaitwa Wana wa Mungu kama rafiki yako Mgeni, hata wewe ukipenda kuwa mwanaye hakatazi.
Yeye hashindwi kufanya chichote kile kila kitu ni cha kwake.
Nadhani utapenda kuitwa mwana wa Mungu.
Au siyo mkuu Malyenge..?
Ha..ha..ha Mheshimiwa Malyenge, hiki kitu kipo.Hamna kitu kama hicho acha ubabaishaji!
Hapana!Ha..ha..ha Mheshimiwa Malyenge, hiki kitu kipo.
Tatizo tumeshapata elimu nyingine ambayo hatutaki kutoa fulsa ya kuielewa Imani nyingine.
Tumejifunza kubisha tu na sio kujifunza.
Unajua manabii wote walikuwa na udhaifu wa kibanadamu na wakafanya dhambi, hawakuwa mfano bora wa utakatifu.
Hakukuwa na jinsi Mungu anatupenda sana kama unavyowapenda watoto wako.
Hata wawe wakorofi huwezi kuwachukia watoto wako.
Mungu anatupenda sawa bila kujali dini au kabila zetu kwani sisi sote ni kazi yake mwenyewe.
Hapo hakuna Mwanaharamu.
Basi ndio maana ikabidi aje mwenyewe kutufundisha na kutupa namna ya kuishi maisha matakatifu kama Yesu alivyoishi.
Wewe Malyenge ungetulia na kusoma Agano jipya kwa utulivu na kutafakari ungeijua kweli kwani una akili na busara nyingi tu. Naona michango yako mingi.
Tatizo baadhi ya wachangiaji wapo kwa ajiri ya kuitetea imani fulani au dini na sio kupata hekima nyingine ya Imani.
Ndio maana mimi huwa sibishi ila naweza kukuambia jibu la kwa mfano kutokana na
Qurani, Issa bin Mariam hakusurubiwa wala sio mwana wa Mungu, ni mtume tu kama mitume wengine
Ila kutokana na Agano jipya habari hiyo ni kinyume chake.
Ni hivyo tu. Ndivyo wasomi wanavyojibu mada mbalimbali.
Mimi huwa nasoma na kutabasamu jinsi mnavyozungumza.Hapana!
Ni bora ukalale maana time hizi ni JF USIKU WA MANANE....Mimi huwa nasoma na kutabasamu jinsi mnavyozungumza.
Utakuta Mwislamu anaeleza ukweli ulioandikwa kwenye Qurani, cha ajabu Mkristo anabisha hayo maelezo ya Mwislamu.
Si mambo ya ajabu hayo...!
Au Mkristo anasoma kwenye kitabu chake Agano la kale au Jipya. Anatumia alichosoma humo kimsahihisha Mwislamu, hapo malumbano hayawezi kwishwa.
Kila kitabu kina aina yake ya mafundisho ndio maana vina majina yofauti, Zaburi ni Zaburi na Fulkani ni Fulkani.
Vingeandika sawa vyote vingeitwa jina moja.
Panahitajika muda kuweza kutambua kuwa huu ni msahafu na huu ni Wimbo ulio Bora.
Alamsiki.
[emoji15] [emoji38] [emoji38] kwa kuwazia ngono mmefuzu [emoji4] ona hapa [emoji117] View attachment 705826 hapa lazima uniambie anae apia kwa aliyeumba viungo nyeti ni nani? ona na hii [emoji117]Mungu ana watoto? Unaona ulivyo mweupe kwenye elimu ya dini!
Eti Muungu ajibadilishe awe kama binadamu ili aongee na sisi bila shida....
Hivi ni vichekesho....
Alipo plan kutuumba ina maana alidhani atazungumza na sisi bila shida ila baadaye alipotuumba akagundua ni shida mpaka ajibadilishe awe kama sisi? Mungu gani huyo ambaye hajui kitakachotokea baadaye?
hapana nini [emoji351] [emoji351] hujui kwamba unakufuru kwa kushahadia kuwa [emoji117] Mwenyezi Mungu Atakalo hawezi na anae mc [emoji15] [emoji12]Hapana!
Nimesema hapana! Acha ubabaishaji...hapana nini [emoji351] [emoji351] hujui kwamba unakufuru kwa kushahadia kuwa [emoji117] Mwenyezi Mungu Atakalo hawezi na anae mc [emoji15] [emoji12]
umesongwa hadi hujui la dhara wala maskhara [emoji15] [emoji12]Nimesema hapana! Acha ubabaishaji...
Hapana wewe! Vipi vile vikatuni siku hizi havikusaidii kujenga hoja?umesongwa hadi hujui la dhara wala maskhara [emoji15] [emoji12]
aya za furqan na ahadith unaita vikatuni [emoji15] [emoji38]Hapana wewe! Vipi vile vikatuni siku hizi havikusaidii kujenga hoja?