Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mbabe marekani mwenyewe hajaona tatizo lolote amenyamaza,sasa nyie ni kama nani hadi muone kinachoendelea Saudia sio sawa?

Marekani ndio mwenye kuamua nani yupo sahihi na nani amekosea.
 
Kungekuwa na tatizo Marekani angechukua hatua ila kwa kuwa hakuna tatizo na ndiyo maana yuko kimya.
 
Nchi za kiislamu zinavyo ruhusu waajiri kutesa wafanyakazi waafrika, kuwanyanganya passport na kutaka mapenzi nao. Waarabu na uislamu wao wabaya sana, wana laana kweli kweli.

 
Kiongozi mimi ni muislamu sio tu wakuzaliwa bali ni muislamu ambae nimezaliwa katika uislamu na kujifunza uislamu.Mzee mada hii imekuzidi sana uwezo.Kabla ya kuileta kwanza ulitakiwa utenge muda kujua ni kitu gani unataka ukiwasilishe kwa watu,pia uangalie sana chanzo ambacho unaitoa hii habari.

Kwa uchache ulitkiwa ufahamu yafuatayo,si tu ufahamu juu juu bali ufahamu kielimu.
Ulitakiwa ujue

1.Ni ipi nchi ya kiislamu.

2.Uijue saudia ni nchi ya aina gani

3.Hukmu kwa mujibu wa sheria,yaani kilugha na kiistilahi

4.Ujue ya kuwa kuzungumza jambo ambalo huna elimu ni dhambi

5.Ujue hukumu hazipimwi kwa hisia

Japokuwa sijui imani yako mzee.Ila kuitendea haki misingi ya kielimu nakushauri rudi tena kafanye utafiti au ungekuja kwa mtindo wa kuuliza swali ili ufundishwe lakini si kupotosha umma.

Kaka nina mengi sana ya kusema kuhusu uongo uliomo katika hii makala yako,na hakuna kitu kibaya kama kuwazulia watu uongo.
 
 
Kwa wasiojua watanena mengi, lakini hizo hukumu zinatolewa kidini, umenena vizuri sana.
Sasa tulinganishe kidogo tu, wao mwizi akikamatwa anakatwa mkono lakini mbona sisi huku mwizi akikamatwa anauliwa? Je sisi tunatumia sheria zp?
Waachwe wahukumu watakavyo kidini ilimradi hawaji kufuata watu huku kwetu na kwenda kuwahukumu kwao.
 
Sidhani kama kweli waijua dini yako.
 
mkuu acha kudanganya watu mtume wapi kapinga utawala wa kifalme?leta ushahidi hata wa hadithi dhwaifu Saudia ni nchi ya kiislamu na demokrasia sio katika mwenendo wa kiislamu bali ni mwenendo wa wasio waislamu, na hao wanao resist utawala ni katika makhawaariji maana moja ya sifa ya makhawaariji ni kutoka juu ya twaa ya kiongizi kitu ambacho uislamu umekataza na mtume ameruhusu watu wa namna hio wauliwe maana wakiachwa mafsada yao ardhini ni makubwa mno
 
Kuua kwa kuchinja na kuua kwa kumnyonga mtu vyote sawa tu juzi niliangalia BBC swahili wa marekani dawa ya kunyongea inakaribia kuisha kulikuwa na watu 8 walitakiwa kunyongwa haraka kabla ya hio dawa kuexpr date so kuua ni kuua tu sema staili zimetofautiana tu ila pia mfahamu paka hao watu wafikia hatua ya kuuliwa basi mjue wamefanya matukio ya kutisha ya mauaji na wao lazma wapate athabu kama hio
 
Huwi jui dini na sheria zake anayeua na yeye lazma awawe ndivyo ilivyo nchi zingine wananyonga sema ni staili tu za kutekeleza athabu hiyo hatahao wanaochinjwa pia wamefanya mauaji ya kutisha sio wanafanyiwa ivyo kwa bahati mbaya.naona mada za kuchafua dini zinaletwa kwa fujo mbona hawaleti za mataifa mengine wanavyonyonga watu mbona hawaleti mada za waisraeli walivyokuwa wanawaua wa palestina kikatili hao waisrail sindoalipotokea yesu au nimekosea? Leteni mada za mauaji ya wapelestina tuoanishe
 

Nchi kama Saudi Arabia inaongozwa direct Na agents wa kuzimu hizo zinazoitwa Sharia laws Ni Sheria kutoka kuzimu Na ibilisi ndio anayezisaini Ni Sheria za kishenzi sioni mantiki yake. Wanawake Ni miongoni mwa wanaopata sana shida juu ya Sheria hizi
 
Ubinadamu ni upi? Ni kumwacha muuaji atambe mitaani?
Wauwaji wa nchi nyingine huwa wanafanywaje?
Kufanywa hivi na watu wanaojinadi wanamjua Mungu kunaleta maswali mengi juu ya huyo Mungu wao.
Au wewe umeona sawa tu?
Tupende dini zetu lakini turuhusu akili zetu kuhoji.
 
"well said"unajua wa2 wanjaribu kuuchafua uislamu kwa kuangalia 2 baadhi ya hukumu ambazo wanafanyiwa wa2 ingawa hao hao wa2 hayaangaliwi makosa yao binafsi mbona hapa tz tulikuwa na sheria ya kunyonga ??
Huoni baada ya kujihoji hatunyongi kwa Sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mno ,et anaenda kuwaombea msamaha wachinjwaji
sia ajabu ndugu zake wanasapoti na hawataki kumuona ndugu yangu , ndio maana umesema anazikwa na serikali
Utashangaa katika hao ndugu yupo alotenda kosa sawa na la anayeenda kuchinjwa ila tu tofauti ni kwamba hakuonekana na mtu!!!!

Wasaudi sijui IQ yao ngapi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…