Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Kuhusu sheria za Mungu kubadilika au kutokubadilika,hili ni somo gumu kwako na linahitaji darasa kabisa. Siwezi kukuelewesha humu ukaelewa. Ndo maana Yesu alipokuja alifundisha kusamehe saba mara sabini pia kuwapenda wengine hata adui zako.

Kuhusu Musa aliwafanyaje wazinzi nafikir nimeeleza mwanzoni.
Pia nimeeleza nyakati za Yesu ilikuwaje.
Duh!! kwa hiyo mungu wenu ana update sheria zake dah amakweli mungu wenu nomayaani anaandika mwenyewe afu anafanya marekebisho
 
Sina lakusema zaidi ya kupinga utaratibu huu
umebase upande upi hasa wa serikali au wa dini kwa kuwa kuna watu hapa wanasubiri uukashifu uislamu nao wakupe sapoti siku zote hakuna kiumbe anaupenda uislamu.bila kuelewa maaada husika m2 anawahi kukashifu 2
 
Hoja, hoja, hoja! Husichukie na ukweli huko wazi ubaoni!
Mi sijachukia labda wewe mwenye chuki na waarabu na waislamu ndiyo unapata tabu,hoja ziko kweli tunaona mashoga wanaoona makanisani ila laiti mashoga wangekuwa wanaoona misikitini sijui ingekuwaje!

Wamarekani weusi wanapigwa shaba huko USA karibu kila siku ila hakuna anayewalaani wazungu au kuona ukristo ndiyo tatizo.
 
Angali factual data kuhusu nchi takatifu ya Allah.

Islam under the guise of Sharia law and the Quran endorses rape of women and incest of infants and children. The effect of this is a massive number of sexual assault cases on women and children. Over 23% of Muslim children in a University study claimed to have been raped (1/4 of the entire population). Over 46% of Muslim male students in Riyadh are homosexuals, and over 25% of Muslim male student in Jeddah are homosexuals. Homosexual relations are common due to restriction of association between genders

(In broader surveys sexual assault and incest of children in Islamic societies are much higher than in this study.)

TRANSCRIPT: Guest - More than 23% of children in Saudi society have been raped.
Host -- So about a quarter of Saudi children have been--
Guest - About a quarter of Saudi children have been raped. Sixty-two percent of those people—
Host -- Those children.
Guest - No, I'm sorry, the study was directed at university students. Twenty-three percent had been raped during their childhood. For 62% of those, the rape was never reported. This was because it was one of the victim's relatives. In the study, it was mentioned that more than 16% of the rapists were relatives, specifically 5% were siblings, 2% were teachers, and 1% were parents. In another study, which was conducted by Dr. In'am (al-Rabu'i), who is the president of children's studies at the Armed Forces Hospital in Jeddah, she mentioned, or warned, that in the coming years we will suffer as a society from extremely widespread cases of homosexuality. The reason for this is the increase in the cases of sexual assault of children (brought) to the hospital, as well as the societal violence inflicted on children. She also mentioned that the hospital had on average three sexual assault cases per week.
Host -- How large of an area did the study cover?
Guest - I don't know, this is just what she mentioned on behalf of the Saudi nation. It was published on behalf of the nation, and can be considered very reliable. In addition to that, there is a study from the Office of Societal Supervision, which is also very serious. This study reported that 46% of students in the city of Riyadh suffer from homosexuality. Twenty-five percent of students in Jeddah suffer from homosexuality. We must be aware of this in order to combat these numbers quickly. The society has become fragmented. When we have a percentage of students—children or teenagers—who are gay, this is a catastrophe, a true catastrophe. I mean, we don't have a strong society. We should really look at this more seriously.
Host -- This is a new thing in Saudi Arabia for newspapers to write articles on this subject. The studies which you mentioned, are they saying this is something new?
Guest - No, it's not new.



We habari za Saudi achana nazo maana waarabu wote mnaona wamelaaniwa,tuzungumzie ndugu zetu maalbino jinsi wanavyoteseka.
 
Mbona hata taifa lenu TZ linahukumu kifo hamsemi ?
Juzi polic walituambiaje .......kule jaribu mkuranga
 
9090854b8f4de605c099c1a28957ac44.jpg


Watu wanachanganya uslam na uarabu hata mtume alisema waheshimunu waarabu kwa mambo mawili tu kwamba Quran imeteremka kwa lugha yao na pili mimi nimetoka kwenye asili yao basi....mengine hayana uhusinao na uislam sema.kuna juhudi za kubwa za wasio kuwa waislam kunasibisha hizo tabia na uislam na uonekane ndio uislam huwez kukuta waislam wana nasibisha ukristo na ushoga na usagaji hata freemason na illuminat chimbuko lake sababh tunajua nu tabia za wazungu ila wao wapo busy kuwalisha mambo haya jjj ya uislam ili muogope...na pili lazima wote mjue kwenye uislam hamna adhabh ya kuchinja adhabu iliyopo ni kupigwa mawe hadi kufa na muuaji auwawe ila haijatamkwa kuchinjwa kwasababu zimesemwa na uislam ni tatizo ila zipo hata kwenye bible ila hazionekan sema wanakimbilia kusema hilo ni agano la kale ila kwenye agano jipya yesu anasema yeyote ataevunja sheria hata moja ya agano la kale hata uona ufalme wa mbingu kasomen vitabu vyenu bible inasema mwanamke anaeacha kichwa chake waz anatakiwa kukatwa nywele zake ila aya hiyo ingekuwa kwente Quran mngekuwa mnaijua na mngesema mwanamke ananyanyswa lakin naamin wakristo wengi hawaijui somen kuliko kumezeshwa matango pori mi nimezaliwa kwenye ukristo na nilichimba sijakubali kurithi dini nilitaka kujua kama wazazi walikuwa sahihi...hiz ni propaganda zilikuwepo tangu Muhhamad...sasa hiv kuna maaskofu mashoga lakin hakuna muislam anasema ukristo unafundisha ushoga lakin kesho akitokea shekhe shoga basi watasema ndio uislam ulivyo..najua shida kubwa ni kwamba kuna sheria za makanisa na sheria za bible mkiristo ukiamua angalau kufata mafundisho ya bible sio muda mrefu utaiona kweli....kila jamii ina matatizo yake kila jamii inamapungufu yake tofauti inayojuja kwenye uislam matatizo na mapungufu yalipo kwenye jamii za waislam wengi watu wa propaganda wanawaambia watu huu ndio uislam...ukiisoma aina ya utawala wa korea kaskazin kama inavyoekezwa sipati picha ingekuwa ni nchi ya kiislam sijui kama kuna mtu angetaman kuingia uislam..!ushsuri wangu mkubwa somen wemyewe bila kuwa na bias mind mtaona ukwel wa mambo someni sana ukweli upo nyuma ya mlango tu hapo.!
 
Kabisa aisee! Kuna nchi ambazo hata ndugu yako ukisikia amepata kazi ameenda unajikuta unatokwa na machozi badala ya kufurahi...

Sio Nchi tuseme kuna dini zingine ambazo ukisikia rafiki zako wanaabudi machozi yananitoka full stopu. Tuwe wazi.
 
Wauwaji wa nchi nyingine huwa wanafanywaje?
Kufanywa hivi na watu wanaojinadi wanamjua Mungu kunaleta maswali mengi juu ya huyo Mungu wao.
Au wewe umeona sawa tu?
Tupende dini zetu lakini turuhusu akili zetu kuhoji.
Mama nakushauri tu utenge muda wako usome kidogo tu adhabu za kifo zilivyotekelezwa nchi mbalimbali zamani na hata sasa. Nchi inayotumika kama SI unit ya kila kitu walipata hata kumnyonga tembo kama hukmu ya kuua. Na hakuna nchi inawafikia wao kwa mbinu za kikatili za kuua
 
Hata kwenye Biblia kuna sehemu imeandikwa "Atakaeua kwa upanga nae atauliwa kwa upanga"

Binafsi natamani Sharia ifanye kazi kwenye nchi kama Tanzania, wale wanaoua Albino wote hili lingewahusu ! haiwezekani mtu akuulie Kaka, Dada, baba Mama au mtoto ama Binaadamu yeyote halafu anaachiwa tu na wakati mwengine anatamba !

Mimi naona fakhari kuzaliwa kutoka kwa wazazi wailam, na nashukuru wazazi wangu walinipeleka Madrassa nikasoma Dini na pia nimesoma elimu ya kunisaidia kula mkate wangu wa siku!

Yeyote ambae haijui dini hii Povu litamtoka! naunga hoja! IKITHIBITIKA KUWA UMEUA NA WEWE UUAWE! FAQAT!
 
Hawezi kujibu hilo, maana dini zote hapo zimeweka wazi kuhusu aliyeua.
Haya yote yanasababishwa na watu kupenda hukumu za kidunia zaidi kuliko hukumu alizoweka Mungu. Na ndio maana mwizi anaiba anafungwa akitoka anaendelea kuiba lakini je kama angekatwa mkono angeiba tena.
Kama ulivyosema watu wanajiamulia wao zuri na baya badala ya Mungu kuwa ndiyo mwenye nafasi hiyo,wao hata Musa wanaona alikuwa anakosea.
 
Wana macho lakin hawaoni wana masikio lakin hawasiki... ......... Ngoja niende zangu Arabia nikutafute MN maisha
 
Bado kuna mtu anasema dini ya amani.. hehehe kalio kabisa, itapita miaka laki kadhaa kama bado binadamu wapo watajishtukia dini ilikua ujinga tu uliotungwa na watu wachache kucontrol people's mind, watakua wanasoma tu kwenye vitabu vya history jinsi dini ilivyoua watu. Anayebisha aone list ya mataifa yanayoua watu hapo ni dini gani.
Wala hakuna kumumusa maneno dini ya mwamedi mungu wako ni shetani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom