Ni kweli shetani alikuwa anakwenda kulalamika ili aruhusiwe kumjaribu Ayubu. Lakini soma Ufunuo 12:10 -12 inaonyesha shetani amefukuzwa mbinguni, hatogusa tena mpaka atakapo hukumiwa yeye na majini pamoja na vibaraka zake.
Ufunuo 12:10 Nami nikaisikia sauti kubwa mbinguni ikisema: “Sasa kumekuwa na wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu na mamlaka ya Kristo wake, kwa sababu mshtaki wa ndugu zetu ametupwa chini, anayewashtaki mchana na usiku mbele za Mungu wetu!
Hamna tena kwenda mbinguni ataishia hapahapa na wafuasi wa Muhammad.