Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Vatican kununua sauna inahusiana nini na adhabu ya kuchinjwa?Ni kweli kwa watu kama wewe mliozowea kwenda sauna kufanyishana yale mambo ya kiroho , mtakimbia , kwani huko mkikamatwa ni kukatwa vichwa tu
The Vatican Buys Europe's Biggest Gay Sauna
Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??Sasa Vatican kununua sauna inahusiana nini na adhabu ya kuchinjwa?
Badala kunilalamikia mimi kuhusu sauna, kwanini husienda Vatican kulalamika juu ya kununua sauna?
Hivi umeshawahi kuniona nikenda gay sauna? Au uliamua kuleta matusi kutukana kila mkristo kwa sababu ya mambo ya Vatican? Kama Vatican kununua sauna kwa ajili ya mambo ya kiroho si wao ndiyo wameamua hivyo! Wewe sijui kinakuwasha nini?Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??
Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??
[emoji115]Ni kweli kwa watu kama wewe mliozowea kwenda sauna kufanyishana yale mambo ya kiroho , mtakimbia , kwani huko mkikamatwa ni kukatwa vichwa tu
The Vatican Buys Europe's Biggest Gay Sauna
[emoji115]
Upuuzi huo unaoniletea unisaidie kitu gani? Mambo ya Vatican kawalalamikie Vatican, siyo mimi! Kwanza mimi siyo Catholic! Kama unaona wanafanya makosa fulani waambiye wenyewe directly, maana mimi siyo advocate wao.
Wewe mapepe!Wacha kurusha vichwa !!!! Endelea tu na ukatoliki wako , hapa hutokatwa kichwa kwa hayo mambo yenu ya kanisa , hatuko Saudi arabia
Asante sana chief..Always you never disappoint thank you very much "The bold"
Hakika mkuu... Inatia uchungu na hasira...Rizana kudadeki Saudi Arabia huruma hawana
Bint kafyekwa Mbichi kabisa..
Rizana rizana...mpk huruma ningekua n kaka yake waarabu wa huku wangelisoma jiji revenge ingehusika
Karibu mkuu..Aisee nitarudi kusoma vema
Pole sana shemeji yangu... Ndio Dunia yetu ilivyo hivyo... Kuna mambo yanatia uchungu sanaWalahi nimelia
Mungu atawalipia..
Bila shaka mkuu.... Will do thatMkuu The Bold
Ukipata Wasaa Tuletee Makala Kuhusu Nchi Za Huko Huko Kuhusu Utajiri Wao Wa Mafuta
Hahhahah.. DahHuu uzi hawatasema ni uchochezi kweli??
Sehemu ya pili na ya tatu yatari...aisee nimeogopa sana navuta picha tu wenye ndg zao masikini wanaochinjwa inasikitisha sana
the bold shukrani ubarikiwe sana
Bila shaka mkuu Bravo Engliash, tayari nimekuweka kwenye taglistThe Bold...big up sana kwa makala zako....kazi nzuri kuelimisha jamii.
Nimeipenda sana ile thread yako ya "Behind the Scene September 11"
Naomba uni-tag ktk makala zako.