Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Asante kwa taarifa,naendelea kutafakari.

Kinacho nisikitisha ni kitendo
cha
1. Kuwanyima mawakili watuhumiwa wanaokabiliwa na adhabu ya kuchinjwa
2.Hukumu ya kuchijwa kutekelezwa harakaharaka.
3. Adhabu ya kuchinjwa kutekelezwa hadharani
4. Kulazimisha mtu asaini kukubali kosa, bila kuzingatia kuwa ushahidi wa kweli ndio unaomtia mtuhumiwa
hatiani.
5. Vitendo hivi kushabikiwa na watu wachache huku wengi wakivipinga kwa nguvu zote.

Naendelea kutafakari
 
Ni kweli kwa watu kama wewe mliozowea kwenda sauna kufanyishana yale mambo ya kiroho , mtakimbia , kwani huko mkikamatwa ni kukatwa vichwa tu

The Vatican Buys Europe's Biggest Gay Sauna
Sasa Vatican kununua sauna inahusiana nini na adhabu ya kuchinjwa?
Badala kunilalamikia mimi kuhusu sauna, kwanini husienda Vatican kulalamika juu ya kununua sauna?
 
Sasa Vatican kununua sauna inahusiana nini na adhabu ya kuchinjwa?
Badala kunilalamikia mimi kuhusu sauna, kwanini husienda Vatican kulalamika juu ya kununua sauna?
Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??
 
Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??
Hivi umeshawahi kuniona nikenda gay sauna? Au uliamua kuleta matusi kutukana kila mkristo kwa sababu ya mambo ya Vatican? Kama Vatican kununua sauna kwa ajili ya mambo ya kiroho si wao ndiyo wameamua hivyo! Wewe sijui kinakuwasha nini?

Hivyo, nilishakueleza kwamba nausika na gay sauna au gay sauna ni ya kwangu au mimi ni Vatican mpaka unaniletea habari zao?? Unaleta mambo ambayo not relevant na hoja ili kuchochea marumbano yasiyo na tija. Kama huna la maana la kuchangia kaa kimya au nenda kasali msikitini.
 
Umechanganyikiwa? Wapi nilipokulalamikia wewe kuhusu gay sauna yenu??

Ni kweli kwa watu kama wewe mliozowea kwenda sauna kufanyishana yale mambo ya kiroho , mtakimbia , kwani huko mkikamatwa ni kukatwa vichwa tu

The Vatican Buys Europe's Biggest Gay Sauna
[emoji115]

Upuuzi huo unaoniletea unisaidie kitu gani? Mambo ya Vatican kawalalamikie Vatican, siyo mimi! Kwanza mimi siyo Catholic! Kama unaona wanafanya makosa fulani waambiye wenyewe directly, maana mimi siyo advocate wao.
 
Wacha kurusha vichwa !!!! Endelea tu na ukatoliki wako , hapa hutokatwa kichwa kwa hayo mambo yenu ya kanisa , hatuko Saudi arabia
 
Thanks the bold

HV mijitu ya Asia INA nn??

Wahindi
Wachina aka panya
Waarabu

Yaan hapo watu keroooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom