Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Said una hakika hayo nilosema hayapo vitabuni mwenu?
1. nieleze/ueleze uwanja huu, kwanini kwenye misikiti yenu mmeweka alama ya NYOTA na MWEZI( a star & Crescent moon) na ni kwanini lazima mfunge na kufungua mpaka uonekane MWEZI?
2. Unaposema msemaji hajui hata ameyatoa wapi maneno yake, na amekurupuka!! je, mimi niliyeandika humu ama Muhammad ayesema hayo 1400yrs ago na wewe unamfuata ndiyo alikurupuka?
3. Je, ukipewa ref. utazikubali?
Nashkuru umeelewa upande wa wanawae kutofautia na wanaume. Sasa tumeenda kwengine.
Haya kwanza fahamu kua si kila jambo unaloliona linafanywa na waislam limewekewa sheria na dini yenyewe. Yapo mengi yanayofanywa na watu na hayana asli katika mafundisho bali yalikuja kwa watu kuzua na kudhani kufanya hivyo kutapendezesha hali ya kua walikua wanaharibu na mwisho wa siku matatizo ya ufahamu kama haya yanakuja. Hivyo popots uonapo alama ya nyota na mwezi msikitini hayana mafungamano yoyote na uislam na nasema haya kwa kukosekana uthibitisho katika kitabu changu na hadithi za mtume wangu na ikiwa unahakika wamefanya hivyo kwa mujibu mafundisho ya dini lete uthibitisho.

Tuje kwenye case ya pili.
Kwanini tunagmfunga kwa kuonekana mwezi.
Kwanza Allah ametuumbia jua na mwezi na akavipimia viwili hivyo vituo ili tujue idadi ya miezi,masiku na hata miaka.
Na hilo kalitaja kwenye sura ya 10:5

"Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua."
Hivyo basi kuingia kwa mwezi mpya hugundulika kwa kuchomoza mwezi mwandamo. Hilo ndilo lililopo na halina shaka. Ntasubiri kama utakua na la ziada ntakufafanulia
 
Lengine na hakika umekurupuka na nikutoe shaka ikiwa una ref zilete madamu tu ziwe sahihi. Na zikiwa sahihi ntakufafanulia mana na hakika ref sahihi hazina utata ndani yake. Na zikiwe ref za kutunga ntakuacha nazo mwenyewd hazitakua na kazi nami.
 
Sasa kwanini auliwe? ikiwa aliingia mwenyewe kwa hiyari yake na kutoka ni hiyari yake? kuna siri gani ndani Allah anaogopa mtu akiijua akiwa huko kwenye uislam kisha akatoka na hamsini zake. ikiwa kweli DINI ya allah ni njema ama inahubiri wema. hofu ya nini??

1. Umeanza na KUMTAKASA mola wako kutokana na kuwa na HOFU ya watu kuuhama uislam. mola wako ni wa aina gani mpaka awe na HOFU? na ahitaji msaada wa utakaso toka waumini wake?
Hapa naona umeelewa tofauti neno kumtakasa.
Nakusudia hivi. Mola wangu hana mapungufu. Na ukisema ana hofu umemsifu na sifa mbaya sifa isiowezekana kusifika nayo yeye. Hofu ni sifa za viumbe yeye. Niliposema namtaka namaanisha maneno ya kusema kwamba ana hofu hayana mahala kwake. Bali yeye ame epukwa na sifa zenye mapungufu kama hizo.

Kwenye swala la mtu kuhama dini ufafanuzi wa mwanzo niliouleta kaurudie na imani una jibu la swali lako. Kutoka katika ufafanuzi ule kama kuna ambapo hujaelewa paqoute kisha nioneshe nikufafanulie.
 
Nashkuru umeelewa upande wa wanawae kutofautia na wanaume. Sasa tumeenda kwengine.
Haya kwanza fahamu kua si kila jambo unaloliona linafanywa na waislam limewekewa sheria na dini yenyewe. Yapo mengi yanayofanywa na watu na hayana asli katika mafundisho bali yalikuja kwa watu kuzua na kudhani kufanya hivyo kutapendezesha hali ya kua walikua wanaharibu na mwisho wa siku matatizo ya ufahamu kama haya yanakuja. Hivyo popots uonapo alama ya nyota na mwezi msikitini hayana mafungamano yoyote na uislam na nasema haya kwa kukosekana uthibitisho katika kitabu changu na hadithi za mtume wangu na ikiwa unahakika wamefanya hivyo kwa mujibu mafundisho ya dini lete uthibitisho.

Tuje kwenye case ya pili.
Kwanini tunagmfunga kwa kuonekana mwezi.
Kwanza Allah ametuumbia jua na mwezi na akavipimia viwili hivyo vituo ili tujue idadi ya miezi,masiku na hata miaka.
Na hilo kalitaja kwenye sura ya 10:5

"Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua."
Hivyo basi kuingia kwa mwezi mpya hugundulika kwa kuchomoza mwezi mwandamo. Hilo ndilo lililopo na halina shaka. Ntasubiri kama utakua na la ziada ntakufafanulia
Usishukuru kwasababu maelezo yako hayajajitosheleza kuhusiana na issue ya mwanamke maana hakuna sehem umeelezea hizo tofauti na sababu zake.

Sasa kwenye MWEZI mchanga mpevu hapo ndio unazidi kutuchanganya zaidi. ina maana unataka kutwambia hapa Masjid al Haraam kuwekwa MWEZI na NYOTA hazifungamani na Uislam, for all 1400yrs, kweli?? kuanzia Saudia panda mpaka Uturuki shuka mpaka Egypt, cross mpaka Morocco dondoka mpaka Timbuktu, anguka mpaka Kigoma, Mtwara, Tanga, Dar, Zanzibar yote mpaka kule Indonesia(Kwenye idadi kubwa ya ummah wa uislam) kote huko wanajiwekea tu hilo SANAMU la MWEZI na NYOTA.
 
Lengine na hakika umekurupuka na nikutoe shaka ikiwa una ref zilete madamu tu ziwe sahihi. Na zikiwa sahihi ntakufafanulia mana na hakika ref sahihi hazina utata ndani yake. Na zikiwe ref za kutunga ntakuacha nazo mwenyewd hazitakua na kazi nami.
Naomba unambie mimi na Muhammad nani kakurupuka au inawezekana akawa Sahii al Bukhary.

Chapter: A menstruating women should leave observing Saum (fasting)
(6)
باب تَرْكِ الْحَائِضِ الصَّوْمَ

Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:

Once Allah's Messenger (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."

حَدَّثَنَا سَعِيدُ بْنُ أَبِي مَرْيَمَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مُحَمَّدُ بْنُ جَعْفَرٍ، قَالَ أَخْبَرَنِي زَيْدٌ ـ هُوَ ابْنُ أَسْلَمَ ـ عَنْ عِيَاضِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، قَالَ خَرَجَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي أَضْحًى ـ أَوْ فِطْرٍ ـ إِلَى الْمُصَلَّى، فَمَرَّ عَلَى النِّسَاءِ فَقَالَ ‏"‏ يَا مَعْشَرَ النِّسَاءِ تَصَدَّقْنَ، فَإِنِّي أُرِيتُكُنَّ أَكْثَرَ أَهْلِ النَّارِ ‏"‏‏.‏ فَقُلْنَ وَبِمَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ ‏"‏ تُكْثِرْنَ اللَّعْنَ، وَتَكْفُرْنَ الْعَشِيرَ، مَا رَأَيْتُ مِنْ نَاقِصَاتِ عَقْلٍ وَدِينٍ أَذْهَبَ لِلُبِّ الرَّجُلِ الْحَازِمِ مِنْ إِحْدَاكُنَّ ‏"‏‏.‏ قُلْنَ وَمَا نُقْصَانُ دِينِنَا وَعَقْلِنَا يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ ‏"‏ أَلَيْسَ شَهَادَةُ الْمَرْأَةِ مِثْلَ نِصْفِ شَهَادَةِ الرَّجُلِ ‏"‏‏.‏ قُلْنَ بَلَى‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَذَلِكَ مِنْ نُقْصَانِ عَقْلِهَا، أَلَيْسَ إِذَا حَاضَتْ لَمْ تُصَلِّ وَلَمْ تَصُمْ ‏"‏‏.‏ قُلْنَ بَلَى‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَذَلِكَ مِنْ نُقْصَانِ دِينِهَا ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 304
In-book reference : Book 6, Hadith 9
USC-MSA web (English) reference : Vol. 1, Book 6, Hadith 301
(deprecated numbering scheme)
 
Kaka una hama na kuhama
Huenda una mambo mengi sana umeyaelewa tofauti.
Sijajua lengo la kuleta hadithi hii.
Umetatizika wapi?
 
Usishukuru kwasababu maelezo yako hayajajitosheleza kuhusiana na issue ya mwanamke maana hakuna sehem umeelezea hizo tofauti na sababu zake.

Sasa kwenye MWEZI mchanga mpevu hapo ndio unazidi kutuchanganya zaidi. ina maana unataka kutwambia hapa Masjid al Haraam kuwekwa MWEZI na NYOTA hazifungamani na Uislam, for all 1400yrs, kweli?? kuanzia Saudia panda mpaka Uturuki shuka mpaka Egypt, cross mpaka Morocco dondoka mpaka Timbuktu, anguka mpaka Kigoma, Mtwara, Tanga, Dar, Zanzibar yote mpaka kule Indonesia(Kwenye idadi kubwa ya ummah wa uislam) kote huko wanajiwekea tu hilo SANAMU la MWEZI na NYOTA.
Kaka mtu fulani kufanya sio ushahidi. Reference ni quran na hadithi lete kutoka humo ukiniambia flani kafanya mi ntakwambia kazua tu.
Lete kutoka kwenye quran au hadithi wapi yamefunzwa hayo?
 
1528: Taking the crescent as a symbol

What is the symbolism behind the Muslim star and crescent? I did a keyword search of your site and searched my library's reference books and cannot find anything more than a reference to the flag of the Ottoman Empire. Thank you for your interest.

Published Date: 1998-10-18

Praise be to Allaah.

There is no basis in sharee’ah for taking the crescent or star as a symbol of the Muslims. This was not known at the time of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or at the time of the Khulafa’ al-Raashidoon (the first four leaders of Islam after the death of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or during the time of the Umawis (Umayyad dynasty). It emerged some time after that, and historians differ as to when this symbol was first adopted and who was the first to adopt it. Some say it was the Persians, others say it was the Greeks, and that this symbol was somehow passed to the Muslims. (See Al-Taraateeb al-Idaariyah by al-Kittaani, 1/320). It was said that the reason why the Muslims adopted the crescent was that when they conquered some western countries, the churches there had crosses on top of them, the Muslims replaced the crosses with these crescents, and the practice spread in this way. Whatever the case, symbols and banners must be in accordance with the teachings of Islam, and as there is no evidence that this symbol is prescribed by Islam, it is better not to use it. Neither the crescent nor the star are symbols of the Muslims, even though some Muslims may use them as symbols.

As regards what Muslims think about the moon and the stars, they believe that they are part of the creation of Allaah, and as such can neither benefit nor harm people, and they do not have any influence over events on earth. Allaah has created them for the benefit of mankind, an example of which is seen in the aayah or verse of the Qur’aan (interpretation of the meaning):

“They ask you (O Muhammad) about the new moons. Say: These are signs to mark fixed periods of time for mankind and for the pilgrimage…” [al-Baqarah 2:189]

[The commentator] Ibn Katheer said, explaining the phrase Say: these are signs to mark fixed periods of time: “From them (the new moons) they may know the times for repaying loans, the ‘iddah (waiting period) of their women [after being divorced or widowed] and the timing of their Hajj (pilgrimage)… Allaah has made them signs to mark the times when Muslims should start to fast and break their fast [the beginning and end of Ramadaan], to count the ‘iddah of their women and to know the times for repaying loans.” (Tafseer Ibn Katheer).

[Another commentator] Al-Qurtubi (may Allaah have mercy on him) said in his commentary on this aayah [verse]: “This explains the wisdom behind the waxing and waning of the moon, which is to avoid any confusion in appointed dates, dealings, oaths, Hajj, ‘iddah, fasting, breaking fasts, length of pregnancy, rentals and other matters that concern mankind. Similar to this aayah are others (interpretation of the meanings):

‘And We have appointed the night and the day as two aayaat (signs). Then, We have made dark the sign of the night while We have made the sign of day illuminating, that you may seek bounty from your Lord, and that you may know the number of the years and the reckoning…” [al-Isra’ 17:12]

‘It is He Who made the sun a shining thing and the moon as a light and measured out its (their) stages, that you might know the number of years and the reckoning…’ [Yoonus 10:5]

Counting the new moons is easier than counting days.” (See Tafseer al-Qurtubi).

With regard to the stars, the scholars of Islam say that Allaah created these stars for three reasons: to adorn the heavens, to drive away the devils (shayaateen) and as signs for navigation. (Saheeh al-Bukhaari, Kitaab Bad’ al-Khalq), as Allaah says (interpretation of the meaning):

“It is He Who has set the stars for you, so that you may guide your course with their help through the darkness of the land and the sea…” [al-An’aam 6:97]

“And indeed We have adorned the nearest heaven with lamps, and We have made such lamps (as) missiles to drive away the shayaateen (devils), and have prepared for them the torment of the blazing Fire.” [al-Mulk 67:5]

Link:Taking the crescent as a symbol - islamqa.info
 
Kaka mtu fulani kufanya sio ushahidi. Reference ni quran na hadithi lete kutoka humo ukiniambia flani kafanya mi ntakwambia kazua tu.
Lete kutoka kwenye quran au hadithi wapi yamefunzwa hayo?
Sasa kwanini mnaweka ikiwa haina uhusiano? mpaka leo bado sanamu ya MWEZI na NYOTA mnaweka kwenye minara ya misikiti yenu.
 
Sasa kwanini mnaweka ikiwa haina uhusiano? mpaka leo bado sanamu ya MWEZI na NYOTA mnaweka kwenye minara ya misikiti yenu.
Hii isiwe mada tena. Jibu fupi watu wamezua so hapo huwezi kusema uislam umefundisha mambo kama hayo yasiyo na maana.
 
tumekuelewa mkuu.
vipi kuhusu hadithi niliyokupa kuhusu mwanamke kuwa ni wa motoni??
Nukuu hiko kipande kilichosema hivyo.
Hapa naona kuna tatizo la uelewa na kulazimsha yale mtu anayofikiria yawe ndiyo.
Ninukulie hiko kipande kilichosema mwanamke ni wa motoni.
 
Kaka una hama na kuhama
Huenda una mambo mengi sana umeyaelewa tofauti.
Sijajua lengo la kuleta hadithi hii.
Umetatizika wapi?
Sijahama. nipo kwenye mada juu ya shariah. na utekelezwaji wake baina ya mwanamume na mwanamke katika uislam. niliongea kuwa Muhammad anamuona mwanamke kiumbe duni ndio maana hata hukumu ya huyo binti iliamuliwa kihuni hivyo. nikatakiwa nilete ref. sasa nimeweka hiyo nawe unasema nimehama. kuna mwenzako atakuwa kaisoma naona kakaa kimyaaa! sasa tufafanulie kwanini wanawake ndio wawe wa motoni tena kwa sababu za hizo alizotoa Muhammad?
 
Nukuu hiko kipande kilichosema hivyo.
Hapa naona kuna tatizo la uelewa na kulazimsha yale mtu anayofikiria yawe ndiyo.
Ninukulie hiko kipande kilichosema mwanamke ni wa motoni.
Soma bandiko langu bado lipo hapo juu, hadithi nzima inamuongelea mwanamke na udhaifu wake. je ulitegemea/tutegemee kweli kesi ya binti ingepata hukumu ya halali kabla Al Beshi hajala kichwa!! ikiwa Muhammad mwenyewe anasema hayo???
 
Subiri nikusaidie.
Kunukuu
(Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women).").
Katika safar ya mtume kwenda miiraj katika vitu alivyopata fursa ya kuviona ni hali ya pepo na watu weke pia hali ya jahanam na watu wake. Moja katika masiku akasema kuwaambia wanawake "toeni sadaka......" kaanza na kuwausia kutoa sadaka ambayo kwetu sisi ni tendo la kujikurubisha kwa mola wetu na ni moja kati ya sababu ya mtu kuuepuka moto na kuingia peponi na hilo limekuja kwa kua katika yale aliyooneshwa ni kua wengi katika wanawake wapo motoni kwa sababu alizozitaja hapo. So amewausia watoe sadaka yenye kufuta madhambi kama vile maji yanavyozima moto.
قال صلى الله عليه وسلم:{والصدقة تطفئ الخطيئة كما يطفئ الماء النار}.(صحيح سنن الترمذي).
Kwahiyo umezungumza maneno bila kusoka kwa makini alichokisema mtume sala na salam zimfikie.
Nakusikiliza wapi hujaelewa nikueleweshe
 
Sijahama. nipo kwenye mada juu ya shariah. na utekelezwaji wake baina ya mwanamume na mwanamke katika uislam. niliongea kuwa Muhammad anamuona mwanamke kiumbe duni ndio maana hata hukumu ya huyo binti iliamuliwa kihuni hivyo. nikatakiwa nilete ref. sasa nimeweka hiyo nawe unasema nimehama. kuna mwenzako atakuwa kaisoma naona kakaa kimyaaa! sasa tufafanulie kwanini wanawake ndio wawe wa motoni tena kwa sababu za hizo alizotoa Muhammad?
Ref uliyoleta haijathibisha hukmu imetolewa kihuni kama yalivyo madai yako. Hadithi yazungumzia swala lengine kabisa.
Na katika utekelezaji wa hiyo sheria hautofautiani baina ya mwanaume na mwanamke. Yeyote katika ya hao wawili ikithibitika ameua au kua sababu ya kuua hukumu moja haina tofauti.
Dini ipi iliyo na uadilifu kama uislam..
 
kilichonishangaza, KUMBE MCHINJANJI NI MTU MWEUSI, MWAFRIKA PURE KABISA HUYO, MBONA HAWACHINJI WENYEWE???? WATU WEUSI TUNAFANYWA WAJINGA?
 
Unajua sisi tunaposema watu msome tunamaanisha mjue sio kila wa kala.Huwezi kuufikia ukweli kwa kutumia hisia na mihemko isiyo kamili.Leo hii kwa uchachefu wa elimu unaijengea hoja nchi ya NIGERIA juu ya uislamu ? Hiki ni kituko cha mfano wake,nchi ya Nigeria haihukumu kwa sheria za kiislamu.Sababu sheria za kiislamu hutekelezwa chini ya utawala wa kiongozi wa kiislamu yaani dola lazima ifuate uislamu nje ndani.Ukitaka kuzungumzia nchi inayofata sheria za kiislamu jengea hoja nchi ya Saudi Arabia sio hizo nyingine.

Ukija kuzungumzia suala la uislamu ni dini ya shetani,hapo kilugha umezungumzia vitu vitatu viwili ni kimoja na cha tatu hakiwi bila ya cha kwanza.Uisalmu ni njia kwayo inakupeleka kufikia lango la kuumbwa kwetu.Unaposema uislamu ni dini ya shetani,watu wa lugha watakushangaa sana,yaani tangu lini sifa ikamilikishwa ? Na ukisema uislamu dini ya majini kauli yako si sahihi sababu sababu uislamu ni dini kwa ajili ya viumbe wote yaani majini na binadamu,na majini ni viumbe ambao wapo wema na wapo waovu kama ilivyo kwa binadamu.Sasa kwa ujinga wako na kupeleka mambo kihisia kunakupelekea wewe kusema vitu ambavyo havipo.

Ukisema ukisema kwamba dini ya kiislamu imemfanya vipi mwanamke kuwa dini.Hakika hutoweza kuthibitisha hilo kielimu.
Sisi na ninyi kwa uelewa wako nani anatakiwa asome??
Nigeria Majimbo yote ya kaskazini wanaishi kwa shariah za Kiislam, na ndio maana BOKO HARAM wanatamba huko. na ndiko kisa kilipotokea. Kisa kingine kilitokea miaka ya karibuni Sudan binti wa kiislam kaolewa na mkristo na wamesha zaa katangaziwa Fatwa akatwe kichwa.
Tunaweka hizi kama ref. kusupport mada juu ya udhalim unaofanyika kwa kisingizio cha uislam na dini kwa ujumla, mnakuja na hoja nyepesi, ref. hizi hazitakiwi kwasababu hazitoki Saudia. Shame on you! sasa wewe unatetea nini ilhali uko Tanzania, unataka kutwambia wewe na Saudia ndio muislam na hao wa Nigeria siyo?
Uislam umeasisiwa na shetani ndio ukweli huo.
Ref. Sahih Al bukhar
Narrated Ibn `Abbas:

Allah's Messenger (ﷺ) went out along with a group of his companions towards `Ukaz Market. At that time something intervened between the devils and the news of the Heaven, and flames were sent down upon them, so the devils returned. Their fellow-devils said, "What is wrong with you? " They said, "Something has intervened between us and the news of the Heaven, and fires (flames) have been shot at us." Their fellow-devils said, "Nothing has intervened between you and the news of the Heaven, but an important event has happened. Therefore, travel all over the world, east and west, and try to find out what has happened." And so they set out and travelled all over the world, east and west, looking for that thing which intervened between them and the news of the Heaven. Those of the devils who had set out towards Tihama, went to Allah's Messenger (ﷺ) at Nakhla (a place between Mecca and Taif) while he was on his way to `Ukaz Market. (They met him) while he was offering the Fajr prayer with his companions. When they heard the Holy Qur'an being recited (by Allah's Messenger (ﷺ)), they listened to it and said (to each other). This is the thing which has intervened between you and the news of the Heavens." Then they returned to their people and said, "O our people! We have really heard a wonderful recital (Qur'an). It gives guidance to the right, and we have believed therein. We shall not join in worship, anybody with our Lord." (See 72.1-2) Then Allah revealed to His Prophet (Surat al- Jinn): 'Say: It has been revealed to me that a group (3 to 9) of Jinns listened (to the Qur'an).' (72.1) The statement of the Jinns was revealed to him .

حَدَّثَنَا مُوسَى بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا أَبُو عَوَانَةَ، عَنْ أَبِي بِشْرٍ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ انْطَلَقَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي طَائِفَةٍ مِنْ أَصْحَابِهِ عَامِدِينَ إِلَى سُوقِ عُكَاظٍ، وَقَدْ حِيلَ بَيْنَ الشَّيَاطِينِ وَبَيْنَ خَبَرِ السَّمَاءِ، وَأُرْسِلَتْ عَلَيْهِمُ الشُّهُبُ فَرَجَعَتِ الشَّيَاطِينُ فَقَالُوا مَا لَكُمْ فَقَالُوا حِيلَ بَيْنَنَا وَبَيْنَ خَبَرِ السَّمَاءِ وَأُرْسِلَتْ عَلَيْنَا الشُّهُبُ‏.‏ قَالَ مَا حَالَ بَيْنَكُمْ وَبَيْنَ خَبَرِ السَّمَاءِ إِلاَّ مَا حَدَثَ، فَاضْرِبُوا مَشَارِقَ الأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا فَانْظُرُوا مَا هَذَا الأَمْرُ الَّذِي حَدَثَ‏.‏ فَانْطَلَقُوا فَضَرَبُوا مَشَارِقَ الأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا يَنْظُرُونَ مَا هَذَا الأَمْرُ الَّذِي حَالَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ خَبَرِ السَّمَاءِ‏.‏ قَالَ فَانْطَلَقَ الَّذِينَ تَوَجَّهُوا نَحْوَ تِهَامَةَ إِلَى رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم بِنَخْلَةَ، وَهْوَ عَامِدٌ إِلَى سُوقِ عُكَاظٍ، وَهْوَ يُصَلِّي بِأَصْحَابِهِ صَلاَةَ الْفَجْرِ، فَلَمَّا سَمِعُوا الْقُرْآنَ تَسَمَّعُوا لَهُ فَقَالُوا هَذَا الَّذِي حَالَ بَيْنَكُمْ وَبَيْنَ خَبَرِ السَّمَاءِ‏.‏ فَهُنَالِكَ رَجَعُوا إِلَى قَوْمِهِمْ فَقَالُوا يَا قَوْمَنَا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا يَهْدِي إِلَى الرُّشْدِ فَآمَنَّا بِهِ، وَلَنْ نُشْرِكَ بِرَبِّنَا أَحَدًا‏.‏ وَأَنْزَلَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ عَلَى نَبِيِّهِ صلى الله عليه وسلم ‏{‏قُلْ أُوحِيَ إِلَىَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِنَ الْجِنِّ‏}‏ وَإِنَّمَا أُوحِيَ إِلَيْهِ قَوْلُ الْجِنِّ‏.‏
USC-MSA web (English) reference : Vol. 6, Book 60, Hadith 443
Arabic reference : Book 65, Hadith 4921

Quran 72:1-- Sura yote inazungumzia Majini kuwa ndio wa kwanza kuiamin quran ndio maana ipo kwenye quran.
Say O Muhammad s to people ‘It has been revealed to me that is to say I have been informed by way of revelation from God exalted be He that annahu the suffixed pronoun is that of the matter a company of the jinn the jinn of Nasībīn. This was at the time of the morning prayer at Batn Nakhla a location between Mecca and Tā’if — these jinn being those mentioned in God’s saying And when We sent a company of jinn your way…’ Q. 4629 — listened to my recitation then said to their people upon returning to them “We have indeed heard a marvellous Qur’ān whose clarity the richness of its meanings and other aspects one marvels at which guides to rectitude to faith and propriety. Therefore we believe in it and we will never after this day associate anyone with our Lord.
And we believe that annahu the pronoun in this and in the next two instances is that of the matter — exalted be the majesty of our Lord transcendent is His majesty and magnificence above what is ascribed to Him — He has taken neither spouse nor son.
hapo kwenye nyekundu ndio mnapopata kumkataa Yesu kuwa siyo Mwana wa Mungu.
Sababu Mungu Wa majin hana mke hivyo hawezi kuwa na mtoto.( mada nyingine tuiache kwanza).

Tupe ufafanuzi hapo. Ninyi na sisi nani anatakiwa asome na asome nini, ikiwa vitabu vyenu wenyewe hamsomi! na mngesoma kwa maana ya kusoma leo hii hii mada isingeletwa na The Bold.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom