1. Hata maji ya bahari watu wanatupa mavi na kila aina ya uchafu , kwenye mito vilevile kwa sababu akili yako ndogo ndio maana kila uchafu unaweza kutia unajisi maji , ngoja nikufunze kidogo utaratibu ni uwingi wa maji sio uchafu uliopo , elimu hii huweza ipita popote zaidi ya humu JF, hata utupe kitu gani maji mengi ayawezi kutoka utwahara , kama ni uchafu utasogeza pembeni au utautoa nje kisha utatumia maji bila tabu
2.tatizo sio kuitwa mtu shetani ni mazingira gani unaitwa shetani , wewe akili yako ndogo sana ata Yesu alimuita mama msamaria mbwa , vile vile aliwaita wale mayahudi ni watoto wa iblisi( unaweza kunionyesha lini iblisi alizaa na wayahudi) , maana mpaka anafikia mwanaume kutamani maana yule mwanamke akuvaa stara anawapa watu tabu ,kwa kushindwa kuvaa stara huu ni ushetani hata hili tukufundishe bwana mdogo