Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Waarabu wakatili sana .. wanaifanya dini ya allah kuonekana dini ya kikatili.

Note : Sio waarabu wote ni waislam.
Mungu mwenyewe KATILI mkuu ndio maana aliua watu wengi na wanyama wengi wakati wa NUHU , akaua tena Sodoma akaua akaua kweli kweli wakati wa FIRAUNI
 
Mungu alifanya hivyo kwa kutoa adhabu sio waarabu wanaoua wamama na watoto wadogo wasio na hatia na bado wanasubiri thawabu siku ya kiama..thubutuu

hata kwny Qur'an hayo yamebainishwa.

Soma vizuri qur'an iliyotafsiriwa kwa kiswahili cha masheikh wa Tanzania sio wa mombasa.

Mungu ana muadhibu nani? alishindwa kuwasamehe viumbe wake mpaka awaue? Sasa Mungu akimuua mbuzi anakuwa amemuadhibu kwa kosa gani ?
 
Mungu ana muadhibu nani? alishindwa kuwasamehe viumbe wake mpaka awaue? Sasa Mungu akimuua mbuzi anakuwa amemuadhibu kwa kosa gani ?
wee ni mjuzi zaidi ya Mungu [emoji348] [emoji351] kama ni mjuzi zaidi ya allah [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
wee ni mjuzi zaidi ya Mungu [emoji348] [emoji351] kama ni mjuzi zaidi ya allah [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
Unatakiwa ujibu swali sio ufanye majumuisho , unaposema lengo la Mungu ni kuadhibu , sasa inapaswa utuambie Mbuzi anaadhibiwa kwa kosa gani? au mtoto anae nyonya katenda kosa gani mpaka aadhibiwe ? usitie huruma hapa
 
Hahahaha...Mtumishi amakweli nimeamini hawa wengine ni kujipendekeza tu.

Kumbe waarabu hawana habari na hawa wenye pua pana, nywele ngumu na lips nene.

Cha ajabu ni kwamba nao wanajiita waarabu na kuwaita kuwa ni ndugu zao.

Mtumishi! Hawa watu ni ajabu ya dunia [emoji15] allah aka muhammad ameeleza bila kificho [emoji117]
IMG_20181214_071044_259.jpg
nawashangaa kila wakisherehesha na ku-edit ili nao wawemo aya bado inawagomea [emoji53] [emoji15]
 
Unatakiwa ujibu swali sio ufanye majumuisho , unaposema lengo la Mungu ni kuadhibu , sasa inapaswa utuambie Mbuzi anaadhibiwa kwa kosa gani? au mtoto anae nyonya katenda kosa gani mpaka aadhibiwe ? usitie huruma hapa

HEKIMA Amenifundisha [emoji117]
IMG_20181214_072252_625.jpg
Huna HAQI WALA MAMLAKA ya KUHOJI HUKUMU ZA MUNGU [emoji47] [emoji53] Ninacho KUONA toka kwako ni hakika una wazimu wa habari ya maswali [emoji117]
IMG_20181214_072745_452.jpg
 
Mbona Allah alishamaliza kazi wewe ni mvivu tu wa kufatilia mambo
QURAN 21:107
"; Na hatukukutuma ila uwe Rehema kwa WALIMWENGU WOTE ";

sasa wewe kama sio sehemu ya ulimwengu sawa, endelea kula MAKOMBO ya Yesu kama yule mama msamaria alieitwa MBWA

Mbwa [emoji117]
IMG_20181213_095015_942.jpg
kwa ukali mbele ya boss wake kama yeye ndie boss [emoji15] [emoji12]
 
Ahahahahaahahaahaha masikini unasikitisha sana ahaahhhhhahaha tumekujibu hili zaidi ya mara mia moja , mtume ni wawaarabu na wasio waarabu , mtume ni rehema kwa ulimwengu mzima

QURAN 21:107
",Na hatukukutuma ila uwe rehema kwa WALIMWENGU WOTE "

Ahahahahaahahaahaha inawezekana wewe sio sehemu ya walimwengu , haya nenda kale MAKOMBO ya Yesu maana wewe ni MBWA ahahhahahhhahahajajjjajaj

allah Amekidhi haja ya maarabu [emoji117]
IMG_20181214_114427_210.jpg
ndipo akawaletea baba fatuma [emoji117]
IMG_20181214_071044_259.jpg
yaani mudi sawa na chief wa mazengo wa Dom, mirambo, Michele. Sina....wote walikuwa na maeneo yao! Hakuna alicho sahau Mungu hadi amtume baba fatuuû na mafundisho dhaifu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom