masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mungu mwenyewe KATILI mkuu ndio maana aliua watu wengi na wanyama wengi wakati wa NUHU , akaua tena Sodoma akaua akaua kweli kweli wakati wa FIRAUNIWaarabu wakatili sana .. wanaifanya dini ya allah kuonekana dini ya kikatili.
Note : Sio waarabu wote ni waislam.