Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
hivi hizi picha za AI Kuna ujuzi Gani unaotumika kuzitengeneza?
Kuna app inatumika ? please mwenye abc na hizi picha nazipenda Sana 🙏🙏
Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)
Anaandika bwana Kenge, Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na kuonekana na Tija kwenye sekta ya Technology. Muongozo jinsi ya kutengeneza picha za AI. Sasa...